Mpenzi wako anajali usafi au mnavumiliana?

MFALME WETU

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2021
Posts
5,522
Reaction score
13,803
Ugonile,

sijajua ni kwangu tu au namna gani vipi. wanawake naokutana nao sikuiz wananuka midomo ni balaa, yani kila napojiambia hii Pisi ni kali na imenyooka sana siwez kuiacha iviivi nakutana na madudu.

Unaopoa bonge la Pisi unasema yes huyu leo naua kunako 5×6, mkifika ukijaribu romance stimu zote zinakata ila ukiangalia Mungu alivompendelea unaamua kufunika Kombe mwanaharamu apite.

Ladies, usafi ni kitu cha muhimu sana. kama mnavojitaidi kuosha huko kwa Bibi basi msisahau na reception.
Pengine hamjui ila ukijiona wewe keki mwanaume haez kukuacha basi % kubwa utaachwa kisa usafi, Mambo ya vizinga yanazungumzika ila sio usafi maana ni ngumu Mtu wako kukwambia "unanuka mdomo"

Astaghfirullah, this is too much.
 
vya kuopoa ni betting Mkuu, lolote linakukuta
 
Back
Top Bottom