Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).
Chukua mshahara wako gawanya kwa siku unazoenda kazini uone unalipwa shilingi ngapi kwa siku
Mimi kwa siku nalipwa 30k sawa na 900k kwa mwezi
Sijui wewe
Kwenye mahusiano mengi wapenzi hua wanatamani kujua body count zao, sasa nilikua naulza je ni sawa ??
Kwa sababu mimi sioni umuhimu wa mpenzi wangu kujua body count yangu kwasababu haina msaada kwake na spendelei kabsa maswali ya mtindo huu
Moderator kusema kuna falme nyingi za shetani ndo mnafuta uzi kwelii?????
Mbona hii forum imekua ya ajabu sana serious Moderator uzi unaosema kuna tawala nyingi za shetani sijatuhumu mtu au kikundi cha watu wowote unafuta uzi aisee nimeshangaa sana
unajua hii nchi ni ya ajabu sana kwanini hadi...
Mwaka 2022 ni mwaka ambao sitaka niusahau hivi vyote navyoandika huku jamiiforums ikiwemo na huu uzi wa sahivi niliuandaa mwaka 2022
(Kuna mambo mengi sana sijaandika sababu nitazua taharuki) mfano au baadhi ya mambo ambayo niliyaandika mwaka 2022 na nimesha-share huku ni kama yafuatayo;-...
Unaweza kujipima thamani ya utendaji kazi wako kwa jamii; wengi tunaamini kama wewe ndiye unayetafutwa ili kutatua jukumu fulani, inaonyesha wewe ni mbobezi na unakubalika katika eneo hilo.
Usipokuwa eneo la kazi, unapigiwa simu nyingi na mabosi zako; hiyo inaonyesha uwezo ulionao katika...
Wafugaji wa kuku
Chukua tunda moja au mawili, kata vipande vipande loweka kwenye maji ya kunywa ya kuku wako.
✅Ni kinga nzuri sana kwa maradhi ya kuku
Mdharau asili hufa masikini
Kiungo nyota wa kimataifa kutoka Zambia, Clatous Chama, amesema kuwa klabu ya Simba SC inapendwa na kuheshimiwa zaidi nchini kwao Zambia ikilinganishwa na Yanga SC.
:
Chama ambaye ameachana na Yanga, amesema kuwa staili ya mpira ya klabu ya Simba, historia yake barani Afrika, pamoja na uwepo...
Ni sahihi kabisa kumtafuta mzazi wako aliyekutelekeza utotoni, ingawa uamuzi huu ni unaweza kuchukuliwa kama ubnafsi na unategemea mambo mengi.
Watu wengi huchagua kuwatafuta wazazi walio watelekeza kwa sababu mbalimbali ikiwemo kutaka kufaham historia yao ya kifamilia, kupata majibu kuhusu kwa...
Wakuu habari zenu?
Kama mada tajwa hapo juu inavyojieleza.
Mimi binafsi toka nijiunge JF nina nyuzi mbili, japo nimesema mmoja imeniwia vigumu kuzitenganisha hizi nyuzi kisha nichague mmoja.
Hizi nyuzi za hawa memba wenzetu waliotangulia mbele za haki, folk, Mpauko, zimeelezea hali halisi ya...
Hellow
Ni kitu gani kilikufanya au kili mfanya x wako akutafute iwe kwa namba ngeni au namba yake shida ilikuwa nini?
Mimi nilimtafuta kwasababu ilikuwa mwezi wa Saba kama hivi baridi kalii af yule binti alikuwa ana nisusia so najipimia mpaka nikinai na siku nime mtafuta haku pindua alikuja...
Mambo ya falagha yabaki kuwa ni siri baina yenu iwe kwenye ndoa au mahusiano ya kiuchumba. Kuyasema maufundi anayo unayofanyiwa na mwenza wako unawatafutia watu lawama.
Kuna baadhi ya wanawake hawajawai kufikishwa na kukunwa vilivyo kutokana na madai mengi ya baadhi yao, sasa unapo waambia...
Ndugu Wana ukumbi,
Nina swali kwenu, Je JWTZ na vyombo vingine vya ulinzi vinaweza kula kiapo cha kumtumikia na kumlinda Rais aliyeingia madarakani kwa kuvunja Katiba ya nchi?
Wakati wao huapa kuilinda Katiba ya nchi?
Sikuhizi wazazi wamekuwa wavivu sana katika uangalizi wa watoto wao. Wazazi wanawaacha watoto wao wadogo wanavuka barabara kuu (high way) pekee yao wakati wa kwenda shule.
Right Marker
Dar es salaam
Watu wako serious —baada tu ya kujifunza na kujua faida zake wameanza kuyapanda majumba. Huu mmea unasurvive popote hata kama unaishi nyumba ya kupanga, panda kwenye ndoo na uweke chumbani kwako.
Mdharau asili hufa kikatili
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.