wako

Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Nimeulizwa swali kwanini wakenya wako vizuri kwemye riadha sina jibu

    Aliyeniuliza ni mtu wa Australia yeye anachojua kwamba hata sisi watanzania tunafanya vizuri kwenye riadha ila ina reality ninachojua ni wa kenya ndo wanaoshinda Sana marathon..kiufupi nikamjibu kwamba kenya kuna watu wenye asili ya wembamba na miguu mirefu ni jamii za wafugaji ila sidhani kama...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Baada ya marufuku ya maandamano ya D9 tutarajie nini? Nani wako interested kukaidi amri hiyo? Vipi mbinu?

    Habari ya Sabato! 1. Nimesikia tamko na marufuku iliyotolewa na Jeshi la Polisi kuhusu maandamano yaliyopangwa huku mitandaoni na gen Z ambayo wameyaita D9. 2. Hoja za Jeshi la Polisi kwa kuyazuia zipo hoja kuu mbili nilizoziona. Hoja ya kwanza ni Hakuna barua yoyote ya kuomba uwepo wa hayo...
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania Unaposema kijana ni taifa la kesho, kwa hiyo kesho ndio afikie uzee wako

    Hii kauli ya kusema kijana ni taifa la kesho ni kama unamzuia leo ukisubiri ujana wake umeisha. Vijana wanaitajika kuanza leo sio kesho sababu ndoto zao zipo leo wala sio kesho. Hata sisi tulidanganywa sasa kuwa taifa la kesho mwisho wa siku tunafanya mambo ya kijana wakati ni watu wazima.
  4. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia umemaliza upande wako, subiri nao GenZ, EU, US na TEC watakujibu very soon

    Target kubwa ya speech ya jana ilikuwa kwa makundi makubwa matano yafuatayo. WAFADHILI, kundi hili linajumuisha nchi za ulaya EU countries na Marekani. Aliwaambia 'Who are You', kwanza vihela vyenu vidogo. Hili group huwa halina haraka lipo very systematic, consistent litamjibu kwa wakati wake...
  5. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Hawa vijana wanafanya nini kwenye mkutano wa wazee? Na mbona inaonekana wako wengi!

  6. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msigwa: Uhakiki wa video za CNN unaendelea, serikali inatoa wito wa CNN kufuata weledi na maadili ya uandishi

    Kuhusu serikali kufanya uhakiki wa ripoti ya CNN, Msigwa amesema: Uhakiki wa makala unaendelea, lakini hawajafuata weledi na uadilifu kwenye uandishi wa habari. Si kweli CNN ilishindwa kupata upande wa serikali, akisema inashangaza chombo kama CNN kufanya makosa ya kiweledi kama hayo...
  7. The patriot man

    JamiiForums Tanzania Leo wazee wa kazi nimewaona Segerea na wako full combat na bunduki juu je kuna nn?

    Wakuu leo mda siyo mrefu wazee wa kazi wapo mtaani kwetu wako full commbat sijui kuna ishu gani aisee nauliza tuu
  8. Penguinelli Cactussini

    JamiiForums Tanzania Kwa hiyo polisi walioko doria mtandaoni WAKO NORMAL wanavyoona watu wanavyoumia kisa wao?

    Enyi polisi mlioko doria mtandaoni MKO NORMAL mnavyoona watu wanavyoumia kuomboleza KUULIWA ndugu zao? Lakini Yesu aliwaonya muwe watu wa haki.
  9. G

    JamiiForums Tanzania Genz wanazidi kutoa uchambuzi wa maadui wa Taifa tutoe maoni kama wako sahihi wakuu

  10. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Kuna watu humu wanaandika kama wako ndotoni, nahisi wametumwa wanalipwa elfu tatu

    Wakuu, Aminini kuwa Kuna members wanaugua ugonjwa wa akili kiasi cha kutetea huu uchafuzi uliofanyika October 29. Natumai hawa ndio wale ambao usiku wakilala wanaota wanataga mayai ila asubuhi wakiamka wanakuta wamejinyea. Haya ni mawazo yangu tu, na simpangii mtu Cha kuandika mtandandaoni...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe, sijasikia kauli yako kuhusu mauaji ya watanganyika, wanachama "wako". Umeyafurahia mauaji haya? Hapana!

    Pamoja na yoooote yaliyotokea mpaka sasa ndani ya Chadema na may be kukuweka/kukukatisha tamaa, nilitegemea ulaani kwa nguvu ya Mungu wetu wa Mbinguni mauaji ya watanganyika wenzako. Umenyamaza kimyaaaaa. Si sawa. Jitafakari sana. Mchango wako ni mkubwa kisiasa kwa taifa hili. Usiharibu historia...
  12. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Bila kujali Umri wako unatokea wapi ni Mda wa kupambana Kuondoa vyombo vya Dola mikononi mwa wahuni viwe huru.

    Bila kujali unatokea wapi una umri gani ni mda kupambana kuondoa vyombo vya dola mikononi mwa wahuni. Tafadhali sana nilikua sijawahi kupata mda wa kuangalia clips za...
  13. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Pale ukifulia hivi ndivyo mke wako anavyokuona kila akiingia chumbani

  14. Brayan_Jk

    JamiiForums Tanzania Namna rahisi ya kupunguza mzigo wa kutunza kumbukumbu na kupiga hesabu kwenye Ufugaji wako wa Kuku

    Unatafuta namna rahisi zaidi ya kutunza rekodi zako za Ufugaji wa Kuku ili kukupunguzia mzigo wa kupiga hesabu kila siku? Rekodi Matumizi ya Kuku Wako ukiwa na Fuga App kwa urahisi kwa namna ambayo haijawahi kutokea,ili uelewe gharama zako zote na mwisho wa siku ufanye maamuzi sahihi kulingana...
  15. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Wako wapi akina Peter Msigwa na wasaliti wenzake walioramba matapishi wakatapikwa na machawa?

    Ni muda mrefu sijamsikia Peter Msigwa aliyetimkia CCM kuramba matapishi yake akaishia kutapikwa kwa aibu na bila huruma? Najua wapo wengi. Kwanini tusiwaorodheshe hapa lao wajione au waambiwe tunavyoachukulia chawa hawa wachafu waramba makalio ya muuaji.
  16. Mr Devil

    JamiiForums Tanzania Nime gundua BODA BODA wetu wako vizuri sana kwenye ulengaji wa shabaha

    Kupitia misuko suko ya maandamano kuna jambo moja nime weza kuli gundua . BODA BODA wetu wako vizuri sana kwenye kulenga shabaha na kulinda upotevu wa risasi , kwani wahanga wengi uki achilia walio pigwa risasi wakiwa wame lala chini wengi wame pigwa risasi za kichwa . Ova and Out
  17. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Maandamano yajayo hatushoboki na JWTZ. Wao ndo wataamua watuue au waungane nasi

    GT Tulijipa matumaini hewa kwamba tuna JW inayodhamin̈I maisha yetu kumbe ni wahuni wachumia tumbo. Amini nawaambia hawa jamaa walisaidia police kutuua 100%, JW walipiga san̈a risasi hasa nyakati za usiku mchana wanajifanya wapole. JW na Police lao ni moja kulinda.mafisadi ya CCM na wala siyo...
  18. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Guardian, wahariri wako likizo, picha na caption haviendani!

    GUARDIAN NEWSPAPERS, Wahariri wako likizo. Hili ni gazeti la leo.
  19. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Sikujui wala haunijui ila popote ulipo embrace na kuwakumbatia very passionate tena kwa nguvu wana familia wako.

    Uhai ni zawadi, pumzi ni ya kuazima, ipo siku tuitarudisha. WISH U THE BEST GUYS🕊️🕊️🕊️
  20. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Nimekuwa traumatized, vp kwa upande wako?

    Wish u the best guys🕊️🕊️
Back
Top Bottom