Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).
Yesu Kristo Messiah alipowafundisha wanafunzi wake kusali, ninaquote moja ya kifungu kimoja katika Sala hiyo kisemacho,
"USITUTIE MAJARIBUNI, BALI UTUOKOE NA YULE MWOVU, AMEN."
Kwa kimombo,
DO NOT LEAD US INTO TEMPTATION, BUT RESQUE US FROM EVIL ONE, AMEN.
Rabbi Yeshua amachiah alitufundisha...
Kuna misemo mingi wapenzi huwa wanapenda kutamka/ kutamkiwa na wapenzi wao.
Kwa mfano:
your my chocolate, my honey, my apple, my banana, my angel, my bank. Etc embe share idea ni kitu gani kizuri huwa ukimtamkia mpenzi wako huwa anajiisi yupo peponi.
Hapa chini nimeweka video ya wana Dar es Salaam wakisherehekea ushindi (kombe), ambapo wengi wao ni vijana.
Jana taifa lilikuwa na jambo muhimu sana kwa mustakabali wa vizazi na vizazi, jambo lililogusa Bandari ambazo ndizo kiini cha uchumi na heshima ya nchi.
Mpira na furaha ni muhimu sana...
Mtoto anajifunza kwa kuona na sio hayo matusi Makubwa unayomwabia na Viboko.
Kuwa mtu smart hakikisha Mwanao unamfanya anakuwa smart kwa mjengea Huwezo wa kusoma vitabu , kuhoji na kuwa na utamaduni wa kuhakikisha unampa Muda wa meditation akae peke yake Sehemu tulivu then uone Kama ajakaa...
Huku tunaojali na Kuipambania Tanzania yetu tukiwa busy Kuiokoa Wasiojali na Vibaka wako Jangwani muda huu
Hakika Asali ya Shilingi Milioni 20, Asali ya Ndege Uarabuni, Asali ya Mapochopocho Magogoni Big House na Ndege Umbeyani imewafanya wasiwe na Uchungu wa kutaka kujua lolote lihusulo...
Kuwasiliana na daktari wako kwa ufanisi ni muhimu sana kwa afya yako. Hata hivyo, inaweza kuwa na changamoto kwa baadhi ya watu kuhisi hofu au kukosa uhakika jinsi ya kuzungumza na daktari wao.
Kama wewe pia huwa unahisi uzito kuwasiliana na daktari wako kwa uwazi bila hofu, makala haya ni...
Hi,
Guys hivi unatumia siku ngapi kumaliza mshahara wako wote mimi kwangu huwa siku tano naanza kukopa tenaa yaani upya ila nikipata tu kabla sijalipa madeni natenga 30000 ya kula kitu nachokitaka kwa muda huo kama ni biriyani nakula, sio mtu wa mademu mimi kwahiyo kula na out ndio starehe...
Habari ya wakati huu mashabiki wa Azam na Yanga, ninyi wengine mtapewa salamu zenu na Prince Dube Mfalme wa Bulawayo
Leo nataka niongee na wanaume, kama kawaida beberu wenu J nakuja na mada ya jinsi ya kuwasaidia wanaume kuongeza nguvu za kiume, zifuatazo ni hatua hizo tano zitakazo kusaidia...
Habari za asubuhi ndugu zangu awali ya yote tumshukuru Mungu kwa kutuamsha salama.
nahitaji ushauri ndugu zangu ni hivi, Siku ya jumamosi nilitafuta hawa vijana wanaouza simu online, kuna simu niliipenda kwa bahati mbaya baada ya kumpigia muhusika nilikuta imeshatoka.
Bac muhusika akaniahidi...
Ulikuwa na mwili wako wa kawaida tu lakini ghafla imeshaanza kuwa kawaida kuambiwa "Umenenepa siku hizi?”
Kama una nia ya kurudisha mwili uwe wa kawaida siwezi kusema ni rahisi ila inahitaji uwe na nia thabiti. Dawa ni hii hapa. Ni mwezi moja tu. Milo miwili tu kwa siku!
Unavyoamka kula...
Daah salamu zenu wadau.
Kuna hili balaa la kudate na mademu wq vyuo vikuu ni kama kujipaka upupu wa hiari na kujilipua nq baruti ya moyo.
Hawa viumbe kwanza nadhani hata hamu au hisia hawana inaonekana hizi meseji za Tiktok zimewaharibu.
Videmu vina wanaume kwa uchache saana watatu ila kwao...
Kuna Mwanamke anatafutwa, tunaomba utusaidie kutuonesha alipojificha.
Kama mnavyojua, safari ya kumtafuta mwenza wa maisha ina njia nyingi, na hakuna njia maalumu ndio maana nchi zilizoendelea wana mpaka dating sites zinazowaunganisha wenza.
Kijana wetu anatafuta mwenza ama mke kwa njia...
Wazazi mwanao kama yupo form four, aendelee kusoma na kujisomea, haya matamko ya wanasiasa ni matamko ya kisiasa.
Wewe mwanao yupo shule ya kata, na unajua kuwa ili aweze kupata nafasi ya kwenda hata VETA au kuongeza ujuzi wowote basi cheti cha Form four lazima.
So akili kichwani, yaani mzazi...
Siku moja Heri akiwa katika kutembea alimkuta mwanaume wa makamo akiwa ameketi Kando ya barabara. Mwanaume yule kwa muonekano tu na vile alivyokuwa amekaa pale chini hata wewe ungejua kabisa kuwa mwanaume yule alikuwa ni ombaomba.
Alikuwa amechafuka sana, nywele zake na ndevu zake zilikuwa ni...
Muonekano wako ndo kila kitu. Ndio unaamua watu wengine tukuchukuliaje. Ndio unaamua watu wakuheshimu haraka au la. Muonekano wa nje upo juu yako kabisa. Unaweza kuubadili muda wowote na ukaufanyia kazi. Wala usisingizie kitu. Unaweza kujiweka utakavyo. Hivyo usipuuze hilo ukabaki kujisemea...
Hii ndio tafsiri yake...
Kila mtu ana njia tofauti linapokuja suala la ngono lakini je, unajua kwamba uwazi kwenye mapaja yako unaweza pia kusema mengi kuhusu ujuzi wako wa kufanya mapenzi?
Jua zaidi uwazi kwenye mapaja yako unaashiria nini kuhusu mtindo wako, na uchague kutoka kwa aina 4...
Mtafiti yupo kule NIMR Center. Anakesha kuandika tafiti mbalimbali ili apate ufadhili, pasipo msaada wowote toka NIMR HQ. Kwa jasho na damu anapata ufadhili na kupeleka pesa kituoni kwake ambazo zinasaidia hata kuendesha kituo. Halafu from nowhere anakuja mteule mmoja wa Rais anataka hizo pesa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.