Mtu akitembea na mkeo nawe tembea na mkewe wake

bongo dili

JF-Expert Member
Feb 13, 2015
12,371
24,606
Na uchungu sana.

Sababu ya ukengeufu wa maadili ndoa haziheshimiwi kabisa,watu wanapita tu ukiacha mlango wazi.

Watu Wana ndoa home wakienda makazini Wana ndoa zingine yaani ndoa juu ya ndoa.

Uhitaji kuumia utaacha wangapi wote wameoza.

Mtu akipita na mke / mme wako nawe pita na wake kwa uchawi au kwa pesa kisha hakikisha nyote wanne mmejuana ibakie Siri yenu hapo hakuna maumivu.

Usiende jela kisa mapenzi ni upumbavu. Dawa ya mchepukaji nawe mchepukie ajue.

Jana mme wa mtu kamdrop mke wake mahali kumbe pale mahali yupo mchepuko wake ambae nae ni mme wa mtu. Uchafu mtupi siku.

Maofisini ndio usiseme kabisa. Nilishagoma wife asinitambulishe ofisini kwao wala sijawahi enda na sitoenda unaweza enda ukawa unasanifiwa na wanaume wenzako.
 
ukiwajibika na kutekeleza wajibu wako vema na kwa ukamilifu hiyo kitu mchepuko ni nadra kutokea kwa familia yako....

ukiwajibika kwa kugusagusa tu huku ukikwepa na kurukaruka majukumu yako utasaidiwa tu....
 
Mimi Mke wangu anajua kabisa nikichepuka mimi ni bahat mbaya, ila akichepuka yeye Red Card (talaka) inamuhusu.
 
Uhuni ni tabia ya Mtu tu. Kama Mwanamke ni malaya kiasili ataendelea tu kufanya

Wangapi wanahudumiwa kila kitu, kuanzia Sex, Makazi, Mavazi, Usafiri n.k na bado wanachepuka?
 
Mimi Mke wangu anajua kabisa nikichepuka mimi ni bahat mbaya, ila akichepuka yeye Red Card (talaka) inamuhusu.
Atachepuka kwa akili.
Njia rahisi ya kumnasa mwizi ingilia mawasiliano yake.
Ukipata print out text zake hata za miaka mitano nyuma zikiwa safi ndo unakuja na jibu wangu anajitambua.
 
ukiwajibika na kutekeleza wajibu wako vema na kwa ukamilifu hiyo kitu mchepuko ni nadra kutokea kwa familia yako....

ukiwajibika kwa kugusagusa tu huku ukikwepa na kurukaruka majukumu yako utasaidiwa tu....
Malaya afugiki labda aombewe kumfukuza jini wa ashiki.
Hata umchape usiku kucha mwezi mzima mjengee ghorofa nusu saa nyingi juma kapewa.
Umalaya ni tabia na sio kipato
 
Tatizo la pili kutokua Makini "UMEOA MALAYA" labda kwa sababu ya tamaa na vichocheo vya kimwili au fedha na labda harakaharaka za kuwa na familia kwasababu mdogo wako au rafiki zako wameoa mapema zaidi yako, nawe bila kujua vizuri unatumbukia kwenye janga na mzigo mzito sana wa kuchapiwa.

Wabantu husema "kusea vyote ila usikosea kuoa"
 
Back
Top Bottom