wako

Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. Q

    JamiiForums Tanzania Kila siku wako Misikitini na Makanisani wakihubiri siasa lakini wa kwanza kusema tusichanganye dini na siasa

    Kama ni kusali nenda kasali ukipewa nafasi ya kusalimia waumini toa fungu la biblia au msitari wa Quran lkn ukianza kuongelea siasa au kuwananga wanasiasa kwenye kibweta na wewe unaingiza siasa kanisani. Nyerere kila Jumapili alikuwa anahudhuria misa St. Peter’s lkn ilikuwa nadra sana kupanda...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Watoto wasiocheza nje (Wanaokaa Ndani Sana) wako hatarini kupata tatizo la Macho kutoona mbali

    Utafiti mpya uliofanywa na Global Myopia Awareness Coalition (GMAC) umebaini kadri Mtoto anavyokaa ndani au kunyimwa fursa ya kucheza nje ya Nyumba, ndivyo anavyopata athari katika Afya ya Macho. Utafiti huo umeonesha kuwa kitendo cha Mtoto kucheza nje angalau kwa Dakika 76 kila siku...
  3. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Hao wahehe wanaojinyonga wako wapi, nilikaa Iringa ila mbona nilikuwa sisiki haya mambo?

    Niliwahi kukaa Iringa hapo kwa miaka kama miwili, Katika vitu nilovyokuwa na shauku ya kuvihakikisha ni ule usemi wa wahehe kusifika kujinyonga. Nilitegemea kusikia habari za kujinyonga kila wiki ila nilichoambulia kwa muda huo wote kuna mwanafunzi alijinyonga kitu ambacho hakikunistua.
  4. Equation x

    JamiiForums Tanzania Mtathmini mpenzi wako, anafaa kuwa mke/mme?

    Kwa haraka haraka, muonekano wa mtu kimavazi, kimiondoko, kimaongezi, na alivyosuka kichwani; humtambulisha huyu ni mtu wa namna gani, na kupitia maeneo hayo unaweza pia kujua tabia ya muhusika. Kwa hiyo kama wewe ni mwanaume na unatafuta mke, kwa haraka haraka anza na mavazi; kama anavaa...
  5. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania Ndani ya vyama vya kijamii kuna wenyewe sio uenyekiti wako au ukubwa wako utakaokupa nguvu ya usaliti

    Hello Bazzukulu, Kwenye jamii zetu kuna vyama vingi vya kijamii huanzishwa na watu kwa malengo ya kudumu. Ni vema ifahamike ukipewa nafasi ya uenyekiti au urais wa chama hicho cha kijamii tambua wenyewe wapo na usithubutu kupindisha malengo yako, hasa nyakati za kupewa dhamana kipindi cha...
  6. Replica

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndumbaro: Tibaijuka alikosoa mkataba wa bandari, amekamatwa? Asema ukitukana viongozi uhuru wako unaishia hapo

    Akizungumza katika kongamano la huduma ya msaada wa kisheria na upatikanaji haki kwa wananchi linalofanyika mkoani Arusha jana Alhamisi Agosti 17, Dk Ndumbaro amehoji kutokamatwa kwa Prof. Anna Tibaijuka na wengine ambao wamekosoa mkataba wa bandari. Ndumbaro amesema kukatwa kwa Dkt. Slaa na...
  7. Superbug

    JamiiForums Tanzania Viongozi wengi wa dini wako kwenye payroll ya idara nyeti hivyo matamko yao yako engineered na idara

    Viongozi wengi wa dini wako kwenye payroll ya idara nyeti na wamewekwa makusudi ili kuituliza jamii kipindi cha hamkani si shwari. Jiulize kwani mara nyingi hutoa matamko ambayo ukiyaweka kwenye mizania unayaona kabisa yako kinyume na jamii na hayana upako wa kimungu bali wa kisiasa? Bosi wa...
  8. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Garbage in Garbage out: Acha kulalamika jambo lililo ndani ya uwezo wako au mamlaka yako

    Hello JF, Nitoe angalizo na kuwakumbusha viongozi au wenye mamlaka, acheni kulalamika au kuaibisha mamlaka zenu au nafasi mlizonazo, fanyeni kazi, nchi hii ina heshima kubwa epukeni kuaibisha nchi. Mnaowateua hawaombi kazi sasa iweje uropoke maneno ya aibu kwa taifa, libebe mwenyewe kifuani...
  9. O

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Azam FC Vs Kitayosce imemalizwa kabla ya muda baada ya Kitayosce kubakiza wachezaji pungufu uwanjani

    Mpaka muda hii Kitayose hawajatokea uwanjani kupasha misuli. Bado dkk 18 mpira uanze. --- Kitayosce FC ilianza mechi dhidi ya Azam ikiwa na wachezaji nane [8], Bodi ya Ligi tulipokea uthibitisho kutoka TFF kuwa wachezaji nane [8] tu wa Kitayosce ndio wanastahili kucheza mechi ya Ligi. Kikanuni...
  10. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania JF Members Madam S na Dahan, wako wapi siku hizi?

    Zime pita siku, wiki na Sasa miezi kadhaa ndugu zetu Hawa hawaonekani? 👉Je wame badilisha I'd? 👉Wazima au wagonjwa? 👉Wame amua kustaafu?
  11. malisak

    JamiiForums Tanzania Je, umemsave vipi kwenye simu mwenzi/mpenzi wako?

    Najaribu kuwaza nakosa majibu sahihi, ni kitu gani kinapeleka wanaume kusave wanawake zao majina ya kiume kwenye simu na wanawake pia halikadhalika. Kwani hata kama mnachepukiana si usave jina lake tu halisi badala ya kuweka majina maalum ya kuonesha uhusiano wenu? kama babe, honey, sweetiee...
  12. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Ahmed Ally kutetea ugali wako ni sawa lakini uhalisia wa timu yako uwanjani unakuumbua

    Ifike mahala awa maafisa habari wawe wanaweka akiba ya maneno pindi wanapotoa matamko yao, kuaminisha mashabiki na wanachama ya kuwa unayo timu bora wakati uhalisia wa timu husika ni mdebwedo uwanjani ni kichekesho kingine! Huyu Ahmed Ally anachowaaminisha mashabiki wake na mpira unaochezwa...
  13. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Unajisikiaje unapoonekana mdogo kuliko umri wako?

    habari wanajf, Hili Jambo la kuonekana mdogo kuliko umri wangu limekuwa Jambo ambalo naona kwangu ni Kama laana au kama baraka Tena maana nikimwambia mtu umri wangu akanitazama na Mimi haamini. Naonekana mdogo miaka kumi nyuma kuliko umri wangu halisi na hii imekuwa na madhara haya kwangu 👉...
  14. Street brain

    JamiiForums Tanzania Mwambie mdogo wako mambo haya

    "Mwambie mdogo wako chuoni hakuna adhabu wala viboko, ila adhabu atayoipata ni supp na carry ikiwa hatazingatia kile kilichompleka." "Mwambie akifika chuoni atakutana na watu wa mikoa tofauti na hata majiji ila akumbuke kuwa anatokea kijijini tena ndani ndani kbsa..." Mwambie makundi makundi...
  15. Jackal

    JamiiForums Tanzania Ole Wako Umuangushe Wakati Wa Kumkaba!

    Kim Jong Un. Stay informed. .....
  16. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Masharti gani ya ajabu umewahi kupewa na Mwenye Nyumba wako?

    Salamu wakuu, katika maisha wengi tuna pitia au tume pitia mengi, na hasa ukija katika swala la upangaji. 👉Hapa ndo huwa kuna vilio au malalamiko mengi, kutoka pande zote. - Iwe mwenye nyumba au mpangaji. 👉Mimi nili wahi ambiwa ni mwiko kujitenga na wapangaji au familia ya mwenye nyumba😁...
  17. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Leo tupeane uzoefu wako, unajua nini kuhusu huyu kiumbe vunja jungu? (Mantis) je ni kweli ana super natural kama wazungu wanavyoamini?

    Ndugu wana nzengo amani iwe kwenu. Leo kuna jambo naomba tushirikishane uzoefu limeniumiza kichwa muda mrefu sana. Katika maisha yangu nimebahatika kuishi na wazungu kwa ukaribu sana kiasi kwamba nilipaswa kujuwa ukweli wa ninachokiuliza lakini wazungu ni wagumu kufunguwa codes, ukiwauliza...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Mzigo wako mbona umekuwa mdogo?

    Wasaalam! Kutokana na kuwa jobless kulana ndio imekuwa sehemu ya kupunguzia mawazo. Leo ikanibidi nimtafte X wangu mmoja angalau tupashe kiporo, tukapanga mida ya saa 10 atakuja geto tufanye yetu. Shetani hakuniangusha saa 10 katimba geto tukaanza kufanya yetu katikati ya mchezo akanambia...
  19. Ulimbo

    JamiiForums Tanzania Kwa nini DP World ya Dubai wako kimya kweye hili suala la mkataba?

    Nimekuwa najiuliza hili swali lakini bado sijapata majibu. Huu mkataba ni baina ya sehemu mbili, The said Tanzania na DP World ya Dubai. Huku Tanzania viongozi wa nchi na CCM wanajitahidi kutotoa ukweli kuhusu huu mkataba, na wameshajiwekea uadui mkubwa na watu wanao oji uhalali wa mkataba...
  20. Ngaliwe

    JamiiForums Tanzania Chongolo: Watanzania wako tayari uwekezaji wenye tija na mabadiliko bandarini

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo amesema Watanzania kwa ujumla wao wameonesha utayari na uhitaji mkubwa wa kuona uwekezaji na uendeshaji utakaoleta maboresho, ufanisi na kuongeza mapato katika Bandari ya Dar Es Salaam, hivyo ameielekeza Serikali ya Chama Cha...
Back
Top Bottom