Ukumbusho: Wapende sana Wazazi wako

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,304
Fanya utakalofanya, penda utakavyopenda lakini usisahau kuwapenda wazazi wako zaidi.

Mwanamke/Mwanaume unaempenda sasa hawezi kukupenda kuzidi wazazi wako, wathamini sana wazazi wako maana wao ndio watu pekee wanaokuthamini kuliko mtu yoyote ulimwengu.

Tafadhali usivunje uaminifu wa wazazi wako, kwani wao ndio wanaosimama nawe kila wakati bila ubinafsi katika ulimwengu huu.

WAPENDE WAZAZI WAKO SANA

Mjanja M1 kwasasa napatikana Berlin Germany 🇩🇪
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom