Mfahamu kimapenzi Mwenza wako

Mhaya

JF-Expert Member
Aug 20, 2023
1,658
4,861
Swala la kimapenzi ni jambo mtambuka na pana sana, sio kila jambo kwenye mapenzi linamfahaa kila mtu. Zifuatazo ni tips tu kuhusu kumfahamu mwenza wako;

1. Kuna wanawake wanaofika kileleni mara moja tu katika faragha za kufanya mapenzi, yani akishafika hawezi kufika tena hata ukiendelea kumfanyiaga, wengine wanaweza kufika mara nyingi. Gundua ni yupi mkeo.

2. Kuna wanaume wanaopenda kuchezea makende yao, wengine wanahisi sio sawa na sio vizuri. Gundua ni yupi mumeo.

3. Kuna wanawake wanaochangamka unapowatekenya au kuwabusu masikio, wengine wanahisi ni kero na usumbufu. Gundua ni yupi mkeo.

4. Kuna watu wanaopenda mazungumzo ya ngono, mada za kuchochea ngono na kauli za kingono, wengine wanahisi ni udhalilishaji. Gundua ni yupi mwenzi wako.

5. Kuna watu wanapenda kuoga kwanza kabla ya kufanya mapenzi, wengine wanaweza wakati wowote. Gundua ni yupi mwenzi wako.

6. Kuna wanawake wanaofurahia kupigwa kofi kidogo, wengine wanahisi wanatendewa au kufanywa chombo cha starehe. Gundua ni yupi mkeo.

7. Kuna wanaume wanaweza kufanya mara ya pili baada ya kufika kileleni kwa kuunganisha, wengine mara moja ni imetosha labda mpaka avute pumzi tena kidogo. Gundua ni yupi mumeo.

8. Kuna wanawake ambao titi zao ni sehemu ya kimapenzi na zina hisia kali, wengine hawasikii chochote. Gundua ni yupi mkeo, husije ukawa unabinyabinya tu kumuumiza.

9. Kuna wanaume ambao wanafurahia chuchu zao zikiguswa au kuvutwa vutwa, wengine hawapati raha. Gundua ni yupi mumeo.

10. Kuna watu wanapenda kunyonywa ulimi na kucheza ulimi wao na mwenzi wao, wengine wanahisi umezidisha sifa. Gundua ni yupi mwenzi wako.

11. Kuna watu wanapenda michezo ya aina mbalimbali, kama kufungwa kitandani na kufanyiwa mapenzi, kuwekewa cream ya kulamba mwilini, kushikwa kwa nguvu wakati wa mapenzi, wengine hawapendi. Gundua ni yupi mwenzi wako.

12. Kuna wanawake wanaofurahia kulambwa kwenye kisimi chao, wengine wanahisi ni chafu na kinyume cha maumbile. Gundua ni yupi mkeo.

13. Kuna wanaume wanapata furaha wanapolambwa uume wao, wanaweza hata kufika kileleni kupitia hilo, wengine hawapendi. Gundua ni yupi mumeo.

14. Kuna wale wenye hisia kali za kimapenzi kwenye mapaja ya ndani, kitovu na kiuno, wengine ni tofauti. Gundua ni yupi mkeo.

15. Kuna wanaume wanavutiwa na matiti, wengine na makalio, wengine wanavutiwa na yote mawili. Gundua ni yupi mumeo.

Kujua zaidi kuhusu mwenzi wako kutakusaidia kukidhi mahitaji yake ya kimapenzi.
 
Back
Top Bottom