Je Iran iko serious?

ward41

JF-Expert Member
Apr 3, 2022
397
1,398

Eti wamedeploy kimeli hicho hapo juu Mediterranean kukabiliana na dude hilo la USA

Waarabu mbona wana utani mwingi. Vitu vingine tusilete utani
220108-N-DF558-1067.jpeg
AP_389319574857.jpg
 
Mbona Ant tank ndogo za dora 1000 zimeweza kuteketeza vifaa 850 vya kijeshi vya Israel vikiwemo vile vifaru vikubwa kama nyumba mliyo mnatuambiaga havipigiki vyenye thamani ya mabilion ?
Alafu mbona hakuna sehemu ambayo Iran alisema anapeleka meli kupambana na Marekani?
 
Eti wamedeploy kimeli hicho hapo juu Mediterranean kukabiliana na dude hilo la USA

Waarabu mbona wana utani mwingi. Vitu vingine tusilete utani
Kama Hamas wangekuwa wanatishika na mavifaa ya kijeshi basi wasingeanzisha mtiti na kama mavifaa makubwa makubwa ndio ushindi usa anageshinda vietnam hii mavifaa mengi tishia watu wenye inferiority mind ila kwa watu wenye kujitambua wanajua hayana maana sana sana ni target ya kubutuliwa hayo madude hiyo ndio doctrine ya asymetrical warfare dont dare kujaribu kumatch level zako ziwe sawa na adui yako hutapambana nae ila angalia ni namna gani kidogo kile kidogo chako kinaweza kuleta madhara makuu mpaka adui asitamani kukudhuru .
 
Hivi huko shule mlikuwa mnaenda kusoma ujinga?

Iran ni muarabu?
Mmmm mambo ya shule na wewe utasimama ? Nyambafuu.....very low IQ in the row......mbali sanaaaa......kuleeeeee ....unabebwa tu...subiri nyota izime utaelewa hata huyo mlezi anasubiri akunyooshe......mtoto mama sele...muuza ubwabwa.....baganoyo....very low IQ.
 
4766.jpg

Well, wanakufa wakilinda ardhi zao, baharini, hewani na jangwani

Watu kama hawa huwezi kwenda kuwatapeli bandari

Kwa sababu hata kwa mtutu hawapigi goti

Amekula yamini ya nchi, oath to country, kwamba kumuibia lazima kwanza umuue

Na Mzungu anafahamu fika, kwamba akitua jangwani lazima atie adabu, afunge kwanza hijabu

Tungekuwa tuna Waafrika kama 200 hivi, bara zima, wanajeshi vichaa watano kila nchi, wenye mentality kama hizi, za uzalendo uliotukuka, tungetoka aisee.....

hillary.PNG

Mbona Ant tank ndogo za dora 1000 zimeweza kuteketeza vifaa 850 vya kijeshi vya Israel vikiwemo vile vifaru vikubwa kama nyumba mliyo mnatuambiaga havipigiki vyenye thamani ya mabilion ?
Alafu mbona hakuna sehemu ambayo Iran alisema anapeleka meli kupambana na Marekani?
Iyo ni kweli,bila kusahau javelin zilivyovichakaza vifaru vya urusi!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mmmm mambo ya shule na wewe utasimama ? Nyambafuu.....very low IQ in the row......mbali sanaaaa......kuleeeeee ....unabebwa tu...subiri nyota izime utaelewa hata huyo mlezi anasubiri akunyooshe......mtoto mama sele...muuza ubwabwa.....baganoyo....very low IQ.
😂😂😂

Chalinze Kwetu
 
Eti wamedeploy kimeli hicho hapo juu Mediterranean kukabiliana na dude hilo la USA

Waarabu mbona wana utani mwingi. Vitu vingine tusilete utani
Hivyo wewe unategemea Iran aandikwe vizuri na media za kimagharibi,, kule Ukraine tuliambiwa Russia kaishiwa silaha anatumia makoleo, nini kinaendelea mpaka sasa Zaidi ya Russia kuimega Ukraine kama si kuichukua yote,, shtuka Hollywood zinakudanganya..
1702985362187.jpg
 
Back
Top Bottom