wake

In fluid dynamics, a wake may either be:

the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz: Hakuna mwekezaji atakubali kuwekeza halafu umwambie aende Mahakama ya Kisutu ambapo Majaji wanaweza kupigiwa simu na watu wa Serikali

    "Kwanini wanaenda court ya kimataifa na sio hapa nchini? hiyo ni sheria ambayo hauwezi kupata muwekezaji. Hamna muwekezaji atakuja hapa kuwekeza pesa zake halafu kesho unamwambia aende kisutu, Kisutu ambapo mtu yeyote wa Serikali anaweza kumpigia simu jaji akamwambia huyo usimpe hukumu hiyo...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Sikumkubali Magufuli ila nisingependa waliokuwa washauri wake wamdhalilishe; hawa hata Rais Samia akistaafu watamtendea hivyo

    Rostam Aziz alijiweka karibu na JPM akafanikiwa kuzindua Taifa gesi. Leo JPM hayupo anamdhalilisha kwamba alionga na utawala wake ulikuwa unaelekeza nini mahakama ifanye....kama kweli anachosema ndicho anachokiamini kwanini hakusema JPM akiwa hai? Kwanini hakuwahi kukemea? Mwigulu ameonyesha...
  3. O

    JamiiForums Tanzania EDO KUMWEMBE:Mbappe alivyoiweka dunia katika mfuko wake

    WAKATI mwingine dunia unaweza kuiweka mfukoni. Unaishi katika dunia ambayo unaitawala. Dunia ambayo unatingisha na inakunyenyekea. Dunia ambayo unaibabaisha. Nimecheka namna ambavyo Kylian Mbappe amefanya ndani ya miezi 12 iliyopita. Mwaka jana alisaini mkataba mpaka wa miaka mitatu na PSG...
  4. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Mwanariadha Gabriel Gerald Geay aweka muda wake Bora Marekani

    Mwanariadha wa Kimataifa Gabriel Gerald Geay ashinda mbio za Boston 10K (B.A.A 10K) na kuweka muda wake bora wa 27:49 huko Boston, nchini Marekani Jumapili, tarehe 25 Juni 2023. The B.A.A. 10K 2023 Results: Men’s 10k results: Gabriel Geay (Tanzania) – 00:27:49 Edwin Kurgat (Kenya) – 00:28:01...
  5. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mkataba wa Bandari na DP World: Athari za Kimkataba kwa Uchumi wa Tanzania na Uwajibikaji wa Serikali kwa Wananchi wake - Je, ni Faida au Hasara?

    MKATABA WA BANDARI NA DP WORLD: ATHARI ZA KIMKATABA KWA UCHUMI WA TANZANIA NA UWAJIBIKAJI WA SERIKALI KWA WANANCHI WAKE - JE, NI FAIDA AU HASARA? Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI A. Muktadha wa mkataba wa Bandari na DP World Mkataba wa Bandari na DP World ni makubaliano yaliyofikiwa kati ya...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Amchoma Kisu Mpenzi wake shingoni baada ya kutishia kumuacha

    David Njuguna (32) mkazi wa Githurai nchini Kenya ametiwa mbaroni kwa kudaiwa kutaka kumuua mpenzi wake Mary Wangechi ambaye inadaiwa alimtishia kumuacha baada ya kugombana. Njuguna ambaye kwa sasa kesi yake inarindima katika Mahakama ya Makadara iliyoko jijini Nairobi anadaiwa kumchoma kisu...
  7. 5

    JamiiForums Tanzania BBC: Marekani ilijua kuwa mkuu wa Wagner alikuwa akipanga kuchukua hatua kabla ya uasi wake

    Wakati maasi ya Prigozhin yalionekana kuipata Kremlin kwa ghafla mashirika ya kijasusi ya Marekani yalikuwa tayari yamepata ishara kwamba alikuwa akipanga kuchukua hatua na yalikuwa yamemjulisha Rais Biden pamoja na viongozi wakuu wa bunge mapema wiki hii, vyombo vya habari vya Marekani...
  8. P

    JamiiForums Tanzania SoC03 Serikali bora ni ile inayowajibika kwa wananchi wake

    JE, SERIKALI INAPASWA KUWAJIBIKA KWA WANANCHI WAKE? Ndiyo, serikali inapaswa kuwajibika kwa wananchi wake.Makala hii inaelezea namna ambavyo serikali inapaswa kuwajibika kwa wananchi wake. Utawala bora ni dhana inayohusu jinsi serikali inavyopaswa kuendesha shughuli zake kwa kuzingatia...
  9. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaongoza Afrika kwa kuwa na asilimia chache ya raia wake ambao ni diaspora

    World Bank wametoa report inayoitwa 'Ratio of persons living abroad to origin country population' ambapo kwenye report hiyo Tanzania inapungufu ya asilimia moja ya raia wake wanaishi nje ya nchi. Asilimia hizo ni chache kuliko mataifa yote ya nchi za Africa. Mind you, Tanzania ni nchi pekee...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Bandari imepewa DP-World kwa kuwa utendaji wa TICTS ni mdogo

    Akielezea suala linaloendelea kuhusu mkataba wa DP-World na Tanzania ametoa sababu kuwa ni utendaji kazi mdogo wa TICTS ambao umesababisha meli nyingi ziwe zinashushia mizigo Lamu, Mombasa au Afrika kusini hali ambayo imepunguza wateja wa Bandari ya Dar es salaam. Waziri Mkuu, Kassimu Majaliwa...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania yafungua rasmi Ubalozi wake Nchini Indonesia

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefungua rasmi Ubalozi wake Jijini Jakarta nchini Indonesia. Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Ubalozi huo, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb.) amesema kufunguliwa kwa Ubalozi huo...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Utata kesi Askari Polisi aliyetuhumiwa kumjeruhi mtoto wake kisha kesi kufutwa

    Miezi mitano tangu kutokea kwa tukio la Askari Polisi, Abati Benedicto kumjeruhi mtoto wake mwenye umri wa miaka 7 na kesi kufikishwa mahamani, kesi hiyo imefutwa kwa kinachodaiwa kuwa ni kukosekana kwa mashahidi wa kuthibitisha tuhuma zilizomkabili askari huyo aliyekua akifanya kazi kituo cha...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mifuko ya Hifadhi ya Jamii yapewa siku 60 kuwalipa Wanachama wake

    Wizara ya Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, imetoa agizo hilo ikiwa ni siku moja tangu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson kuitaka Serikali kuwawajibisha Waajiri wanaoshindwa kuwasilisha Michango pamoja na Mifuko kutolipa madeni ya Wanachama wake. Wizara hiyo imeagiza Majina ya Waajiri wote...
  14. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Hivi ni Mabunge yote duniani Mbunge akisimama badala ya kutumia muda wake vizuri ni lazima aanze kumsifia Rais?

    Hili bunge la bajeti ingawa bunge lenyewe lilishapoteza uhalali lakini nikiwa home huwa nafuatilia michango ya wabunge. Kinachonikwaza Mimi najiuliza inakuwaje kwa dakika chache wanazopewa wabunge kutowa michango muda mwingi wanatumia kumsifu Rais, waziri na serikali? Inawezekana Mimi ndio...
  15. carnage21

    JamiiForums Tanzania Iringa: Mbwa Mayele asifika kusaidia kufanikisha doria ya kuwasaka Simba waliovamia vijiji

    Siku chache baada ya Simba kuvamia vijiji mbalimbali katika Kata ya Maboga wilayani iringa,doria iliyofanywa kwa usaidizi wa mbwa anayeitwa Mayele, yatajwa kuleta mafanikio baada ya kuonekana kwa Simba huyo. lets give credit kwa mbwa mayele😂😂😂. =========== Siku chache baada ya Simba kuvamia...
  16. The Boss

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kumkosoa Rais Samia, tumuombe radhi kwanza Hayati Mkapa na familia yake na washauri wake

    Sisi wengine tulikuwepo wakati Rais Mkapa (1995-2005)anatukanwa kila siku kuwa "anauza nchi Kwa makaburu".....ilifikia wakati hadi nyimbo zilitungwa zikimuimba naukumbuka wimbo mmoja .."Kama sio juhudi zako Nyerere, Mkapa angeuza nini"???..Mkapa alikuwa anatukanwa kisa ni kuleta wawekezaji wa...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Japan yapuuza maslahi ya nchi nyingine kwa mpango wake wa kutupa maji machafu ya nyuklia baharini

    Kampuni ya Umeme ya Tokyo ya Japan hivi karibuni imeanza kazi ya majaribio ya mitambo ya kupeleka maji machafu ya nyuklia baharini. Baada ya kumalizika kwa majaribio hayo, Japan inatarajia kuanza rasmi mpango wake wa kutupa maji machafu ya nyukilia kwenye bahari ya Pasifiki. Mwaka 2011...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Hivi Hayati Magufuli angekubali huu ujinga wa kugawa Bandari?

    Kwenye magumu marehemu wanakumbukwa. Hivi pamoja na akili zake Magufuli naamini asingeingia ujinga wa kugawa gateway ya nchi kizembe namna hiyo. Na bado naamini mtu mwenye akili timamu kamwe hawezi kugawa bandari ya nchi kizembe kiasi hicho haiwezekani. Tuanze kugawa bandari ya Zanzibar kwanza...
  19. plan z

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TANESCO Arusha inawanyanyasa Wafanyakazi Wake

    Lengo la uzi huu ni kuitaka serikali iwe makini na utendaji wake, na pia kuwataka wananchi wazinduke na kupinga matendo maovu yanayoendelea nchini. Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) kule mkoani Arusha limekuwa na historia kwa muda mrefu sasa ya kutojali wafanyakazi wake pamoja na maslahi yao...
Back
Top Bottom