wake

In fluid dynamics, a wake may either be:

the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh Ponda alalama mawakala wake 35 kuzuiwa jimbo la Temeke

    Mgombea Ubunge jimbo la Temeke kwa tiketi ya Chama cha ACT Sheikh Issa Ponda akielezea mchakato mzima wa usahili wa mawakala huku akisema kwenye zoezi hilo amefanikiwa kuweka mawakala wengi, licha ya mawakala 35 kuzuiwa, lakini bado yupo kwenye maongezi na tume kuhusu suala hilo.
  2. JamiiForums Tanzania Ualimu ndo kada ambayo wakikosa mshahara kwa miezi 2 tu watumishi wake watakuwa ombaomba

    Watumishi wa hii kada ni kama wana laana vile hasa hapa Tanzania, watumishi wake karibia 95% wanategemea mshahara tu kwa 100% ajira hazijawasaidia kabsa kuanzisha miradi ya pemben yenye tija. Tatizo bado sijajua ni nini haswa lakn hii kada ndo inaongoza kwa vilaza, yan watu ambao hawajui lolote...
  3. JamiiForums Tanzania Atakaeyenda kupiga kura ajue amefuta utegemezi wake kwangu ndani ya miaka 5

    Kwa huzuni sana nimelazimika kuweka status kuwa mwanafamily yeyote ambae kwa namna moja ama nyingine kutokana na tamaduni zetu kiafrica wenye nafuu huzisaidia jamii zao mimi kwangu nimetoa angalizo kwa yeyote atakae kwenda kushiriki kupiga kura ajue nitasitisha msaada wangu kwao. Kwa watoto wao...
  4. JamiiForums Tanzania Mchakato wa katiba mpya ya warioba ilikuwa ni wake up call ila kama wananchi tuli-ignore tukahisi hautuhusu

    Kuanzia mwaka 2010 vuguvugu la katiba mpya liliongezeka maradufu kabla sijaendelea ngoja niongelee jambo flani Mungu kama kuna Jambo baya linakuja mbeleni kuna namna utapewa taarifa ufanye jambo mara nyingi inakuwa anaondoa amani hasa pale unapofikiria jambo flani ukignore madhara utakuja...
  5. JamiiForums Tanzania Vichekesho vinavyotokea Tanzania huko kuzimu bwana shetani anaangua kicheko kweli na watu wake

    Embu ona kichekesho kama hiki Padri anatoa maoni kuhusu mstaafu...gafla anapotea katika mazingira ya kutatanisha...ni mtu mzima na umri umeenda, ghafla wanampata porini vichakani, wakisema "amejiteka", kwamba ana madeni... Umri wote Hadi utu uzima kuelekea uzeeni hajawah kupata stress ya...
  6. JamiiForums Tanzania Suluhu hana suluhisho, ubabe wake umefikia mwisho, jukwaani anatoa mipasho, hoja zake hazina mashiko.

    Yule fedhuli mwenye roho ya korosho, Mwenye hoja zisizo mashiko, Anadhani katiba ni hadithi za esopo, Kila mara hutoa boko, Kwasasa amekosa soko, Kila kona mi miwasho, Mikali zaidi ya ile ya uamsho, Ataipata ya joto, Kiti kitawaka moto. Wahuni wenye mikoko, Wanaotegemea pisto...
  7. JamiiForums Tanzania Trump aendelea kuwatia nyavuni wakosoaji wake, John Bolton ashitakiwa kwa makosa ya ujasusi na utunzaji mbovu wa nyaraka za siri

    Balozi John Bolton aliyekuwa mshauri wa masuala ya ulinzi wa Trump kabla ya kutofautiana pakubwa na kugeuka kuwa mkosoaji mkubwa wa Trump na utawala wake ameshitakiwa kwa makosa mazitio yanayohusu ujasusi dhidi ya nchi, umilikaji na utunzaji mbovu wa nyaraka za siri za serikali.
  8. H

    JamiiForums Tanzania Airtel wamepunguza kutuma matangazo ya bure kwa wateja wake ila Yas, Vodacom,nk bado wana kiburi

    Ni wazi matangazo ya bure ya mitandao ya simu yanakera sana,sana,sana, yawe ya serikali au ya mtandao husika. Ni vyema kuwe na kipengele cha kukubali matangazo au kusitisha na kiwepo kipengele cha kuwajibu wote wanaotuma sms za bure zenye maslahi yao. Tcra msijiamini sana na mnapaswa kufungua...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Account ya Akon yakutwa ipo mil 24 tu kwenye mchakato wa kugawana Mali na mke wake

    Mke wa msanii maarufu anayejulikana Kama Tomeka Thiam ambaye ni mke wa msanii maarufu wa R&B Akon ameenda kudai talaka mahakamani baada ya kuwa kwenye ndoa kwa miaka 29 akidai alipwe euro million 100 Kama fidia ya kuvunja ndoa yake na Akon. Katika mchakato wa kugawana Mali mahakama imekuta Akon...
  10. JamiiForums Tanzania Mwambieni Gerson Msigwa wakati wake unakuja. Polepole alikuwa na vyeo vikubwa kumshinda lakini leo ni kama panya buku sembuse yeye mshika maiki?

    Mwacheni aropoke si ndio kazi yake. Lakini abakize akiba ya maneno. Cheo chake ni kidogo sana. Hana mizizi na hana ushawishi wowote kwa watawala na wananchi. Asijisahau tofauti yake na Polepole ni wakati tuu. Tena yeye atapotea na hakuna wakumuulizia zaidi ya familia yake. Na bado.
  11. JamiiForums Tanzania Wanaojua uhusiano wa Kikwete na Samia watusaidie kabla ya kujadili wake na Daudi Albert Bashite

    Kichwa cha habari kinajieleza. Tanzania kuna wato wawili ambao kwa rais Samia siyo wana ushawishi mkubwa bali ni maalum ambao ni Jakaya Mrisho Kikwete na Daudi Albert Bashite. Kwa wanaojua undani wa wandani hawa watujulishe lau tujue kwa sababu rais ni public figure.
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Boda boda na wake zetu

    Aiseee leo nilimpeleka wife saloon na usafiri wangu, akanipa cash nijaze mafuta ili nimfate baadaye. Wote ni watumishi. Ile kamaliza, katuma text “nimemaliza,” nikaanza kujipanga nimfate, mara namuona kaibuka home. Nikamuuliza umekujaje, akasema kampigia boda. Nikamuuliza ulipo text ukaona...
  13. JamiiForums Tanzania Polepole bado yupo tunataka ashuhudie usaliti wa watu wake. Alifanya kazi na nyoka

    Badobado! Yule shujaa wenu ataendelea kuwepo mpaka mtu wa mwisho kwa watu wake atakapomwona akimsaliti. Hayo maumivu yake ndio yatafanya ajutie venye ametumiwa kama chambo na wajanja. Alianza yule mzee Buti la kuku, yupo wali wa oda, kuna yule mjeshi aliyejiita Kapteni aliyewaingiza watanzania...
  14. JamiiForums Tanzania Mwangaza Uliozimwa – Safari ya Mkombozi na Mwisho Wake Wenye Machungu

    Mwangaza Uliozimwa – Safari ya Mkombozi na Mwisho Wake Wenye Machungu Ndugu zangu, wenzangu, wapenzi wa haki na uwajibikaji, Leo, tunakutana hapa kwa mioyo mizito na roho zilizojaa huzuni. Tunakutana kuzungumza kuhusu kisa ambacho kinatuacha na maswali mengi yasiyo na majibu, kisa...
  15. JamiiForums Tanzania Taaluma ya Uwakili ndio watu wake wanaongozwa kwa kufungwa gerezani au kutafutwa na polisi

    Mawakili ndio taaluma pekee inayoongoza kuwa na bifu na polisi, na kila kukicha utasikia wakili fulani anatafutwa na Pongo, mara wakili fulani kashitakiwa kwa kosa fulani tofauti na taaluma za kada nyingine. Utasikia wakili madeleka, wakili kibatala, mwanasheria Tundu lissu, mara sijui...
  16. JamiiForums Tanzania Lissu amelalamikia watu wake kuzuiliwa kesi imesimamishwa kwa muda

    Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),. Tundu Lissu, inaendelea leo, Jumatatu Oktoba 06.2025 katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam ambapo kwa mara ya kwanza Mahakama inatarajiwa kuanza kusikiliza ushahidi kutoka upande wa...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Kikwete Anampotosha Samia: Wakati Wake Alisimamia Demokrasia, Ajira na Kuepusha Mauaji

    Wanasemaga mchawi hatoki mbali au mchawi ni nduguyo Yaani Mstaafu wetu ndo amshauri Samia mambo ya ajabu kama haya 1. Wakati wa Kikwete Democrasia ila hai Leo anamshauri mwenzake apeleke wabunge wa Chama kimoja tu bungeni 2. Wakati wa Kikwete hapa kuwa na mauaji kama kipindi hiki. Watu...
  18. JamiiForums Tanzania Ali Kibao:Hatuwezi kulinda amani ya watu waliomteka, kumtesa, kumwagia tindikali na kuutupa mwili wake jalalani

    Hakuna amani kwenu, amani itakuwa kwa nchi yetu Tanzania pekee. Wote mliohusika kwenye hili, mtalipia
  19. JamiiForums Tanzania Huyu Mchungaji, anafanya uchochezi au anatimiza wajibu wake kiimani?

    Wakuu nimekuta na hii video sehemu, Mchungaji anawasimanga vijana na kuna mahala anaenda mbali zaidi mpaka kusema Vijana hawezi hata kudai haki, wakipewa Elfu 5 tu wavaa T-shirt. Hii mijadala ya dini na siasa imekuwa yakawaida sana hivi karibuni na mpaka wa Viongozi wa dini kuonekana wanafanya...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi ni kwa nini Rais Samia hakupata mafunzo ya jkt kama walivyopata watu wa umri wake?

    Nimekua nikipitia profile ya Rais Samia mara kwa mara lkn hakuna sehemu nimewahi kuona kuwa Rais Samia aliwahi kupitia jkt kama ambavyo watu wa rika lake walifanya mfano Magufuli,Majaliwa na wengine wengi. Ilikuaje huyu mtu yeye akakwepa kwenda jkt halafu leo tumuite ni mzalendo na mpambanaji?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…