wake

In fluid dynamics, a wake may either be:

the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).

View More On Wikipedia.org
  1. Juuchini

    JamiiForums Tanzania Trump Ahofia Kung'olewa Kabla Muhula Wake Haujaisha

    Rais wa Marekani, Donald Trump, ametoa onyo kali kwa wabunge wa chama chake cha Republican, akidai kuwa wasiposhinda uchaguzi wa katikati ya muhula wa Novemba 2026, wapinzani wake wa chama cha Democratic watamng'oa madarakani kwa kumfungulia mashtaka ya kikatiba. Akizungumza Jumanne katika...
  2. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Kenani Kihongosi upo? Huyu ndiye Katibu wa itikadi, uenezi na propaganda wa CCM - Mwigulu Nchemba katika ubora wake. Anaustahili u - PM huyu?

    Tunaishi katika nyakati ambazo ni za ajabu sana, kijana asiyeoa anahangaika hata kupata msichana wa kumpenda, lakini mwanaume aliyeoa ana mahusiano ya siri ( michepuko) zaidi ya mitano. Imagine this guy ni kiongozi? =========================
  3. BIG BROTHER ALEX

    JamiiForums Tanzania Mkubwa Fella marafiki wamemtenga baada ya kuugua

    Timu kataa NDOA, mmhhh haya, jamaa yetu anapiganiwa na mkewe, WAKUU NDOA SIO mbaya, SHIDA huanza unapo kosea kuchagua, HAPO NDO tatizo linapo tutafina vijana wengi, wkuangalia matrako, rangi, ujanja, uzuri nk, MKE WA fella kqnifurahisha SANA jinsi anvo pambana mumewe arudi barabarani kuendelea...
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna mada inasema ukiweza kutoka kwenye sayari,nyota ukatafuta mwisho unaweza usipate na kama umepata mwisho wake umerudi nyuma

    Wanasayansi kujikita zaidi kwenye quantum technology za hesabau mpaka sasa kwenye nyota yetu solar system tumefikisha sayari zaidi ya 5900 na zengine zikiendelea kutambuliwa . Hii yote ni mapinduzi ya hesabu na teknolojia ambazo wagunduzi wamechangia. Kuna kitu mpaka sasa kina wapa maulizo...
  5. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Samia hakusema nani kawaondosha hao wapendwa wake

    Nimemsikia mkuu wa dola Samia Suluhu Hassan, katika salamu za mwaka mpya 2026 amesema "Tumeondokewa na wapendwa wetu, tuendelee kuwaombea" Katika kusema huko hakusema nani kawaondosha hao wapendwa? Lakini juzi kati tu hapa alisema wale walifuata mkumbo na aliwapa kubwa kulingana na walivyokuja...
  6. Fbn

    JamiiForums Tanzania Jennifer Lopez's umri wake sasa 56 ila unaweza kusema wa miaka 30.

  7. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Baada ya samia kumaliza mda wake, uchumi utakua mgumu kidogo! JItahidi hiki kipindi uwe na uwekezaji wa maaana

    Baada ya samia kumaliza mda wake, CCM itakuja na projects mpya kidogo za kiuchumi lakini hazitaanza mda huo huo, kipindi cha miaka 4 ya kwanza ya raisi atakaechaguliwa mda huo basi serikali itajikita sana katika kulipa madeni, ni tafauti sana na saahv ambapo pesa mtaani ni nyingi sana haswa...
  8. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Tunawindwa kwenye suala la dini, mtego wake hauna mshindi

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, amewaonya Watanzania dhidi ya kuingia kwenye kile alichokitaja kuwa ni mtego wa migogoro ya kidini, akisisitiza kuwa migogoro inayogusa imani za watu haina mshindi na inaweza kulivuruga taifa zima endapo haitakwepwa mapema. Akizungumza na wananchi wa...
  9. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Video: Msanii kipenzi cha Gen Z na wimbo wake wa "bonyeza kende"

    Huyu hapa msanii kipenzi cha Gen Z, akitumbuiza goma lake pendwe la "mshike kende, bonyeza pembe, kende ndende ndendeee". show ilipigwa Maeneo ya Gaza kimara
  10. Richard

    JamiiForums Tanzania HOUSE OF BLOOD: Gazeti la "The Sun" la Uingereza lilivyomuita Rais Samia mchinjaji na juu ya ukatili uliofanyika kwa raia wake

    Vyombo kadhaa vya habari barani Ulaya na Marekani vimeuandika raisi Samia vibaya sana kuhusu azma yake ya kung'ang'ania madaraka ambayo ilimpelekea kuamuru raia wake wauawe na vyombo vya usalama vya Tanzania. Lakini gazeti la The Sun la nchini Uingereza toleo la tarehe 6 Disemba nalo...
  11. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Tukiwaambia Mwakinyo hushinda kwa mchongo/Maelekezo machawa wake mnatupopoa

    Nimesema nisilale niangalie Afcon na Ngumi. Kumbe mavi ya nyoka tu. Ngumi gani za hivi? Ushindi gani round ya2 mdebwedo. Nikanywe Bia.
  12. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Hassan Mwakinyo ameibuka mshindi kwa knockout (KO) dhidi ya mpinzani wake, Eribo kutoka Nigeria, baada ya kumaliza pambano mapema raundi ya pili

    Wadau hivi hili pambano la mwakinyo ni kweli au kiini macho?
  13. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Anaitwa Zuhura Othman aka Zuchu, yupo YouTube analipia wimbo wake Namba Zisome!

    Inasemekana watu wengi wameondoka mijini na kwenda vijijini kwao kusiko na fiber, kwahiyo wasanii wanakosa viewers. Ikumbukwe anavotoa Sukari 2021 alipiga views Mil 1 chini ya masaa 24. Sema nyakati zinabadirika. There’s a reason Reason was sponsored, because reason without reason won’t...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kampuni ya Ujenzi iliyopo Madale Midizini ina changamoto ya kutotoa mikataba kwa baadhi ya wafanyakazi wake

    Mimi ni Mfanyakazi wa Kampuni ya Ujenzi wa miundombinu yenye makazi yake Madale Midizin Jijini Dar es Salaam. Changamoto ni kwamba mpaka sasa nina Mwaka wa nne kazini ila sijawahi pewa mkataba, nakosa haki zangu muhimu, bado najulikana ni kibarua tu wa hii kampuni. Tabia hiyo imekuwa ikitokea...
  15. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mzee warioba mpaka sasa anaona ilikuwa sawa kwa watu kuivamia nchi nzima kuharibu mali za umma na watu binafsi bila idadi wala ukomo

    Mzee huyu amewahi kuwa Makamu wa Rais na Waziri Mkuu kwa nyakati tofauti. Mzee huyu alikuwa kiongozi wa ngazi ya juu wakati watanzania wanaandika Katiba hii ya sasa na hata wakati wanaifanyia mabadiliko Katiba ili kuwa ya vyama vingi. Wakati wote huo alikuwa na sauti ya kutoa mapendekezo yake...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Tathmini yako ni ipi kuhusu mgawanyo wa miradi ya serikali mikoani, serikali inajali usawa kulingana na uhitaji katika kutekeleza miradi l?

    Ni muhimu kuangalia kama rasilimali zinagawanywa kwa haki, zikihakikisha mikoa yote inapata fursa sawa ya maendeleo, bila upendeleo wowote. Tathmini yako ni ipi kuhusu mgawanyo wa miradi ya serikali atika kila mkoa ? Je, serikali inazingatia usawa kulingana na uhitaji halisi wa wananchi katika...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Israel imepanga kuifundisha ChatGPT kuwa upande wake zaidi (Pro-Israel) inapojibu maswali

    Katika mkataba mpya wa dola milioni 6, kampuni ya Marekani iitwayo Clock Tower X itazalisha na kusambaza maudhui katika majukwaa mbalimbali, kusaidia kuchezea mifumo ya algoriti, pamoja na kusimamia “mifumo ya AI” ili iwe rafiki zaidi kwa ajenda hiyo. Serikali ya Israel imeajiri kampuni mpya...
  18. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Uvaaji wa Majoho, Gradu, Mahakama nakadhalika na Uhusiano Wake Kiimani

    1️⃣ Majoho yamekuwepo katika historia ya binadamu kama alama ya mpito wa hadhi—kutoka mtu wa kawaida kwenda mtu mwenye dhamana maalumu mbele ya jamii. 2️⃣ Kiimani, joho humaanisha kujitoa: mtu anaacha nafsi binafsi na kuingia kwenye wito, kiapo au agano linalomzidi yeye binafsi. 3️⃣ Ndiyo maana...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Tumwamimi nani kati ya Rais Samia na wasaidizi wake?

    Tangu ghasia za kuukataa uongozi wa Rais Samia ile tarehe 29 Oktoba mpaka leo naona kama kila Kiongozi anaongea la kwake. Na hii ndio inazidi kuleta mkanganyiko zaidi. Kila anakopita Waziri mkuu Mwigulu Nchemba anasisitiza ghasia zile zilikuwa ni sababu ya vita vya kiuchumi. Yeye mkuu wa nchi...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Nay Wa Mitego awashukuru Watanzania kwa kuufanya wimbo wake mpya kuwa No. 1 trending, awasifu kwa misimamo na umoja

    Msanii Nay wa Mitego kupitia ukurasa wake wa Insta ameeleza hayo hii ikiwa ni katika kipindi amabacho wananchi wanajitahidi kuwawajibisha wasanii waliokataa kusimama nao kipindi cha matatizo. Nay ameanika; "Watanzania Wa Sasa Sio Watu Wa Kuchezea Wana Maamuzi , Wana Misimamo Na Umoja✊. Jana...
Back
Top Bottom