the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ezekiah Wenje, amesema Serikali ya Tanzania ina wajibu na nafasi ya kikatiba kulinda maisha ya wananchi wake na mali zao, hasa wakati wa matukio yenye viashiria vya uvunjifu wa amani.
Akizungumza katika mahojiano na Citizen TV ya Kenya siku ya Alhamisi, Wenje...
Maana kama ataendelea kuishi Zanzibar I'm 100% atakua targeted.
Samia kwa maumivu aliyowasababishia watanganyika hata kama atakua ametoka Madarakan watakua bado wanamsaka.
Tanzania inaendeshwa kwa mujibu wa Sheria na kanuni .
Kuandamana ni haki ya kila Mtanzania ila ni haki ya serikali kupinga au kukataa maandamano kwa sababu za kiusalama na kijamii.
Hakuna serikali itakayotoa kibali cha maandamano ya kuiondoa serikali husika.
Mngetaka kuiondoa mngepiga kura na...
Kwanini viongozi wengi wa Kiafrika ikiwemo nchi yetu ya Tanzania hukengeuka pale wanapopata nafasi ya kuongoza nchi zao?
Wasalaam Wakuu!
Ni swali linaloumiza kichwa na kutufanya tutafakari kwa kina: Kwa nini viongozi wengi Barani Afrika ikiwemo nchi yetu Tanzania wakishapata madaraka hugeuka...
Kwa wale walioshindwa ku stomach spichi yote ya Samia jana wakamzima katikati, Rais kaongelea 2030, from nowhere! Kaanza mbio za 2030 wakati watu hatujamaliza ma mauaji ya Oct 29, wala yeye hajui hatima yake na ICC, na Gen Z, na EU, au na wanamgambo wowote waliouliwa watoto na wake zao...
Hili sijalielewa kabisa? Kwamba niachieni kwanza nimalize hii ngwe iliyobaki.
Huku ufisadi, dhuluma, utekaji, upendeleo wa familia zetu ukiendelea mpaka nimalize.
Mnanichukia Sababu natoka Zanzibar na mimi ni muislamu!
Watanzania kwa wingi wenu tunaomba mjitokeze tarehe 9 December hasa Dar es salaam.
Mkifanya hizi tutakuwa na uwezo wa Kuunda/Kutangaza serikali Mbadala kutokea Dar es salaam, Jambo hili ni muhimu sana kama Samia atakataa kutoka madarakani.
Lazima tuwe na serikali nyingine ya uma, ambayo ita...
Kumekuwa na tabia ya mahakimu na makarani wa mahakama za Tanzania kuwataka wateja wao kununua flash au kutoa anwani za barua pepe zao ili kuwatumia hukumu zao.
Hivi jamani 80% ya watanzania waishio vijijini wanauelewa na hivi vitu wanavyokaa tu viongozi wa mahakama na kupanga kwa maamuzi yao...
Hivi ndiyo muhubiri anasema
"Kila kitu kina majira yake, kila jambo duniani lina wakati wake: Wakati wa kuzaliwa na wakati wa kufa; wakati wa kupanda na wakati wa kuvuna kilichopandwa; wakati wa kuua na wakati wa kuponya; wakati wa kubomoa na wakati wa kujenga; wakati wa kulia na wakati wa...
Mimi si mwislamu ila nataka kuwauliza swali ndugu zangu Waislamu
Kinachotakiwa kutendwa kwenye ndoa zao ili ndoa zibaki kuwa na Amani na kudumu ni nini?
Kutenda haki kwa wake hao au kuwatendea Amani?
Lalamiko ambalo huwa linasikika kwa nguvu kutoka kwa wake za Waislamu ni kutokutendewa haki...
Tanzania ina Serikali Korofi, Onevu kwa wananchi wake. Wanaaongea wao tu. Sisi tukiongea hatua kali zinachukuliwa. Mtaua wangapi?
Watawala wanataka waongee wao tu. Mwanchi akiongea anatafutwa alipo ili wamuue.
Msikilize huyu bibi hapa kwenye Video
Wananchi wote wale watapewa hela walete...
Haya ndio matatizo ambayo Katiba iliyofanya yaani Rais kama kamaliza muda wake kutojihusisha na serikali.
Leo hii tumejionea kwa Jakaya Kikwete yaani unaweza kusema bado yupo Serikalini na anafanya kazi kama Rais.
Upande wa chama chao unaona kabisa kama ni mwenyekiti wa maamuzi...
Mara nyingi tumekuwa tukisema shetani hana rafiki ndio maana Israel walipotekeleza muaji ya genocide dhidi ya wapalestina wameanza kugeukiana wenyewe kwa wenyewe.
1. Wa kwanza kukutana na panga hilo ni Mkuu wa Kurugenzi ya Ujasusi jeshini (Military Intelligence Directorate chief Major General...
Kutaja wachambuzi list hapa tz niwengi sana yani unaona kabisa uchambuzi wao ubalance yani kuonesha hisia zao zipo wapi kwenye saisa,mlengo gani,kuwa upande gani.
Katika siku ambayo nilimuona huyu mchambuzi ni shabiki wa waarabu fatilia uchambuzi wa sudani kule kwa bashiri RSF.Fatilia uchambuzi...
Marekani kuchunguza suala la raia wake kuadaiwa kukamatwa na mabomu Tanzania.
je, walimbambikizia kesi ? ili wamkamate mwanajeshi wa marekani wakategemea hawato chunguzwa tunajua mamlaka ya Tanzania imezoea uongo uongo na kubambikizia watu kesi za uongo
=================
Marekani imesema...
Kwa nini mtu bara au kwa lugha sahihi na iliyonyooka Mtanganyika hawezi kupata kabisa nafasi muhimu za uongozi huko Zanzibar na haionekani ni ubaguzi ila Mzanzibar anaweza kupata nafasi yoyote ya uongozi hapa bara/Tanganyika ila watu wa Watanganyika wakipinga au wasipopendezwa na hili jambo...
Kumekuwepo Na Taarifa Ambayo Imechapishwa Kwenye Mitandao wa Facebook Ikieleza kuwa Simu za Samsung Zina App Ambayo Inakusanya Taarifa za Wateja Wake..je ukweli wa Taarifa hii Upoje?
Inawezekana umeshangaa au kushtuka lakini Kuna habari inasambaa mtandaoni kuhusu app ya Siri ambayo imewekwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.