the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).
Kaka yangu Lazaro Nyalandu kama wajumbe walikua 30, Lissu akapata 24 ilikuaje ukamgaragaza? Hizi hesabu zako mbona hazifuati formula ya MAGAZIJUTO? Kama Lissu alipata 24 kati ya 30 it means wewe uliipata kura 6. Kwahiyo unataka kutuambia ulimgaragaza kwa kura 6?
Halafu kwa maoni yangu nadhani...
Tulionya Mapema sana kwamba Shetani hajawahi kumshinda Mungu katika lolote , na nadhani hata nyinyi wenyewe ni mashahidi, wote waliojipa uungu Mtu na kujimwambafai wanazidi kupukutika huku wengine wakiwa njiani.
Video hii inaonyesha umati wa watu wa Bukoba wakishangilia baada ya aliyekuwa...
Marekani na washirika wake wanaumia sana China kuja juu katika anga za mbali. Wanatamani tu wafeli au vyombo walivyo tuma vilipuke.
Mwezi huu wa tano chombo cha China kitatua Sayari ya Mihiri Mars. Tayari kimeshaingia Orbit ya Mars ikiizunguka nakuchagua sehemu muafaka ya kutua.
Pia tayari...
Salaam wana JF, kama TUCTA wamefanya utafiti na kuona kiwango cha shilingi 975,000/= ndo kinafaa kama kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma na wafanyakazi kwenye sekta binafsi kuweza kumudu gaharama za chini kabisa za maisha (basic human needs), inakuwaje serikali haitaki kuwalipa...
Mabibi na mabwana kwa takwimu zilizopo na yale tuliyopata kuyasikia tokea kwa watendaji wake wakuu, CCM 2015 - 2021 ndicho kipindi chama hicho kilikuwa na mafanikio makubwa zaidi katika historia yake. Ilisemekana kuwa katika kipindi hicho, chama hiki kilishamiri vilivyo.
Ya kuwa katika kipindi...
Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM ndugu Polepole anazungumza na waandishi wa habari muda huu akiwa ameambatana na wasaidizi wake ambao wote ni wanawake.
Taarifa kamili inakuja.
KENNETH DAVID KAUNDA NA ALLY KLEIST 1953
Leo Kenneth Kaunda katimiza miaka 97.
Nimeangalia picha ya Kenneth David Kaunda na picha hii ikanikumbusha uhusiano wa Kaunda na Ally Kleist Sykes wakati Afrika ilipokuwa katika harakati ya kupigania uhuru wake.
Usiku umekuwa mwingi In Shaa Allah kesho...
Askari JWTZ Mbaroni kwa Kuua Mke kwa Kumchoma na Kisu kwa kile kinachodaiwa ( na ambacho GENTAMYCINE nina uhakika nacho ) kuwa ni Wivu tu wa Kimapenzi.
Chanzo: Habari Leo Ukurasa wa 3
Sasa nyie Marafiki zangu ( Wajeda ) mnakuwa na Wivu hivi kwakuwa 'mnamegewa' sana Wake zenu mbona na nyie...
Kitendo cha Tshabalala kuongeza mkataba wa kuitumikia Simba SC bila kumshirikisha meneja wake, Henry Mzozo, hakuna namna nyingine ya kukielezea zaidi ya kusema ni udhalilishaji wa hali ya juu wa mchezaji kwa meneja huyo.
Mzozo katika siku za hivi karibuni amekuwa akizungumza katika vyombo vya...
Naona wanaohangaika sana na hili suala ni baadhi ya wachambuzi na Mzozo. Nadhani kama Simba wanamuhitaji wataongeza wau wangemwongeza.
Sioni issue inakuaje kwa Mohammed Hussein aonekane bila yeye Simba haiwezi kwenda mbele? Nadhani wamwache tu aamue anachotaka, ana haki ya kwenda popote...
Hiki kisa kilitokea muda kidogo. Nakumbuka nilitoka mkoani kuja kusoma tuition dar, nilifikia kwa baba mdogo.
Siku moja najiandaa kurudi shule mkoani nikaenda kariakoo kununua vitu mbali mbali vya shule, kurudi home nikagonga get akaja baba mdogo kunifungulia .
Bahati mbaya mimi sikufunga na...
Kwa sasa inaonekana kama kila kitu kiko shwari katika muungano wetu lakini Ukweli ni kuwa kuna ufa mkubwa sana ambao ni hatari kwa muungano na nchi kiujumla.
Ukweli wenyewe ni kwamba Katiba mbili, yaani ya Muungano na ya Zanzibar (toleo la mwaka 2010)vinakinzana na hivyo kupelekea mkanganyiko...
Mkazi wa Kata ya Marangu Mashariki wilayani hapa, Baltazari Mtui anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kuwaunguza makalio watoto wake wawili wa kiume.
Inadaiwa kuwa baba huyo aliweka panga kwenye moto kisha akawaunguza watoto hao ambao ni wanafunzi wa darasa la kwanza na la pili katika Shule ya...
Habarini wana jamvi.
Kwa kifupi mi ni mzaliwa wa mkoa wa Mwanza ila tangu mwaka 2000 nilianzisha makazi yangu ya kudumu mkoani Mara. Kwa sasa nina miaka isiyopungua 40. Nafanya shughuli zangu binafsi na shughuli yangu ni aina ya biashara ambayo wateja wake wengi ni wanawake. (Kuuza vitenge...
Habarini wana jamvi...
Kwa kifupi mimi ni mzaliwa wa mkoa wa Mwanza ila tangu mwaka 2000 nilianzisha makazi yangu ya kudumu mkoani Mara. Kwa sasa nina miaka isiyopungua 40. Nafanya shughuli zangu binafsi na shughuli yangu ni aina ya biashara ambayo wateja wake wengi ni wanawake. (Kuuza...
Habari wanajamvi..!
Leo nimejiuliza hivi kwa nini hayati alipenda sana wimbo wa baba ,kiasi ambacho hata kwenye uzinduzi wa studio za Channel ten akaomba apigiwe wimbo wa "Baba "wa Stamina na Prof Jay aliyekuwa mbunge wa Mikumi??
Kuna Hotuba nimeiona kaitoa Makamu wa Rais wa Marekani ( Mwanamama ) ambayo kumbe 'ameikopi' kama ilivyo ( bila kubadili lolote ) kutoka kwa Hotuba ya aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump.
Inabidi hawa Marais wa Marekani waje Kujifunza Kuandika Hotuba zao wenyewe bila 'Kuiga' za Watangulizi...
Ubalozi wa Marekani jijini Dar es salaam umetoa tahadhari ya kiusalama kwa wafanyikazi wake walioko nchini Tanzania kuhusu hatari ya Kimbunga Jobo kinachoeleka katika pwani ya nchi hiyo na kitaufikia pia mji wa Dar es Salaam.
Kupitia tahadhari kwa wafanyikazi wa ubalozi wake , afisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.