Je? Mnafanyaje usafi kwa bibi na hayo makucha marefu vile?

dump

JF-Expert Member
Mar 23, 2020
588
857
Naomba wanawake mnijibu swali langu, hasa kwa wale mnao weka kucha za bandia halafu ndefu kupitiliza je? Mnafanyaje usafi kwa bibi na hayo makucha marefu vile?
 
Nilishajaribu kubandika mara moja hata kutandika kitanda nilishindwa....kesho yake nikaenda kuzitoa
Napenda kucha ndefu natural

Sijui huwa wanawezaje ila mie kucha za kubandika na mawigi/maweaving vilishanishinda
 
Umesemea kutandika, upande wa usafi hujagusia kabisa. Vipi usafi ulifanyika au uliruka kichurachura kwenye beseni?
 
Nilishajaribu kubandika mara moja hata kutandika kitanda nilishindwa....kesho yake nikaenda kuzitoa
Napenda kucha ndefu natural

Sijui huwa wanawezaje ila mie kucha za kubandika na mawigi/maweaving vilishanishinda
Umeongezewa point tano za mke mwema.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom