Ninyi ni Chama kikuu Cha upinzani na Chama mbadala wa CCM, kuwa na media yenu itasaidia sana kueneza Sera na elimu mbalimbali kwa wanachama na wananchi. Uenezi wa Chama unahitaji vyombo vya uhakika vya habari.
Ni aibu kwa Chama Kikuu, kikongwe kama hiki, kutoa matamko yake kwenye Twitter huku...