wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo watoto wa Gaza wanavyokufa kwa njaa wakati chakula kimezuiliwa kuwafikia

    Hawa ni baadhi tu ya watoto wanaoendelea kufa njaa na kiu mbele ya ulimwengu wakati vyakula vimejaa mpakani mwa Gaza https://www.aljazeera.com/program/newsfeed/2024/3/27/videos-of-malnourished-children-show-gazas-forced-starvation-crisis
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mlioko serikalini msijione 'Special' sana. Mambo wakati mwingine hubadilika kwa kasi usiyoitarajia

    Habari wana JF. Kuna baadhi ya watumishi wa serikali, kuanzia ngazi ya chini kabisa hadi ngazi ya juu kabisa huwa wanajiona wao ni watu maalum sana. Kama hujawahi kukutana na watu wa aina hiyo, basi nakuhakikishia iko siku utakutana nao. Wengi wao husahau ule usemi wa "cheo ni dhamana". Hao...
  3. JamiiForums Tanzania Kuna wakati unahisi kama vile ni ndoto ila sio ndoto, ndiyo maisha halisi

    Kuna muda kila kitu kina kua shakarabaghara. Uchumi Mahusiano Basi tu
  4. JamiiForums Tanzania Wakati wa Uchaguzi watu hutengeneza Akaunti feki zenye majina ya Wagombea

    Wakati wa Uchaguzi baadhi ya Watu huibuka na kutengeneza akaunti 'feki' na kuzipa majina ya Wagombea au kubadili jina la akaunti zao na kutumia jina la mgombea fulani. Akaunti hizo hutumika kutengeneza taarifa au maudhui mbalimbali yanayomuhusu Mgombea wa Uchaguzi, hutumika kupotosha taarifa...
  5. JamiiForums Tanzania Yoon Suk Yeol: Taarifa za uongo zinaathiri wananchi kufanya maamuzi sahihi wakati wa uchaguzi

    Rais wa Korea Kusini Yoon Suk Yeol akiwa katika Mkutano wa Tatu wa Demokrasia uliofanyika Machi 18, 2024 ametoa wito kwa viongozi wote Ulimwenguni kuunga mkono jitihada za kukomesha taarifa potofu Yoon ameeleza Taarifa zisizo za kweli wakati wa Uchaguzi huweza kuathiri mchakato mzima wa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini BBC swahili inahimiza Islamic State wamehusika Urusi wakati Urusi inasema Ukraine ndio wahusika?

    Kwanini BBC Swahili inahimiza Islamic State wamehusika shambulio la Urusi wakati serikali ya Urusi inasema Ukraine ndio wahusika? Warusi wanahimiza Ukraine ndio wahusiks lkn BBC swahili hawataki kuripoti hivyo. Kwanini BBC hataki ripoti badala yake wanayo yao mfukoni?
  7. JamiiForums Tanzania Matinyi anasema waziri Ndumbaro alitania, wakati mhusika alisema 'Hatutanii'. Inaondoa uaminifu kwa Serikali

    Wakati waziri Ndumbaro anapiga mkwara kuvaa jezi za Ubuntu Botho au Etisalat alianza na neno wao kama Serikali hawatanii na alienda mbali kusema nguvu ya vyombo vya dola itatumika kwa yeyote atakaeenda kinyume. Hii italeta taswrira mbaya huko mbele, sisi kama wananchi tutakuwa tunajuaje lini...
  8. JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wa akili ku-operate sawasawa ukiwa umelala? How do we dream our future? How do we get revelation/healing in dreaming?

    Sayansi inatuambia kuwa ulimwengu wa ndoto ni matokeo ya fikra na akili yako wakati ulipokuwa unafanya shughuli zako za kila siku,akili zetu hugeuka camera na kudaka baadhi ya matukio na kuyasave katika ubongo hivyo tunavyopata muda wa kujipumzisha ndivyo akili inapata kurejelea zile kumbukumbu...
  9. JamiiForums Tanzania Leo wakati nipo usingizini nimeota namuulizia Saed Kubenea

    Habari zenu Naomba kuleta mada kama inavyojieleza kwenye kichwa habari,nazani alikuwa mbunge machachari katika wakati wake mwenye ushawishi katika upande wa upinzani ila naona amezika kama moto wa kifuu ghafla mjini haonekani au yupo busy na uhariri? Nawasilisha
  10. JamiiForums Tanzania Nauliza wale tunaonyesha sasa Upendo Tukuka kwa Samia tulikuwa wapi Kumuonyesha wakati John akiwepo?

    Halafu natoa ONYO mnaojifanya Kumpenda na Kumsifia sana sasa tutakuwa tunawarekodini na hata kuwapigeni Picha au kuchukua Video zenu mkiwa nasi Vijiweni mnamkandia na kumdhalilisha Samia Wanafiki wakubwa nyie sawa? Badilisheni hicho Kijiwe chenu cha Majungu na Unafiki cha Mbezi Beach zilipo...
  11. JamiiForums Tanzania Basi wakati tunaumia sana kuhusu mahusiano tuliyopitia au tunayopitia basi tukumbuke kuna Geremi Njitap

    Huyu ni mchezaji wa zamani wa Cameron , Chelsea na Madrid
  12. JamiiForums Tanzania Kero gani umewahi kukutana nayo kutoka kwa abiria mwenzio wakati unasafiri?

    Ebana Kuna Jamaa hakupiga mswaki alafu story aziishi na maswali yasiyo eleweka. Vipi wewe Mkuu?
  13. H

    JamiiForums Tanzania Wakati umefika jamii ya watanzania kutuomba radhi watu wa Mkoa Mara

    Mkoa wa Mara una historia kubwa sana katika nchi hii. Ni mkoa pekee ambao mewahi kutoa viongozi wa juu wa serikali kwa wakati mmoja. Nikimaanisha CDF, PM na President. Bahati mbaya sana ulipachikwa sifa mbaya kuwa ni mkoa wa watu wa korofi, wanyanyasaji na ambao kazi zao kuu ni mbili kama si...
  14. JamiiForums Tanzania Ni sahihi kutumia ugaidi wakati unapopigania "uhuru?"

    Upo vitani. Unapigania "uhuru" au "Haki" yako. Adui unayepambana naye ni mwenye nguvu sana. Ukisema upambane naye hummudu. Ni sahihi kutumia ugaidi kupambana naye. Hapa ugaidi namaanisha kupiga watu na vitu vyake visivyo vya kijeshi? All is fair in war?
  15. JamiiForums Tanzania Vipi vilikua kipaumbele chako wakati unachagua mchumba/mke?

    Vipi je priority yako Ilikua ni elimu, matako makubwa, uzuri wa sura, financial status, mweusi, mnene mrefu? au ulijishtukia tu umeoa? Nimepata mchumba, Bado nafiikiria kama nitamuoa, japo asilimia zimefika kama 67% nasubiri zifike 85% nimuweke ndani, Tabia kwa miezi 3 hii anaridisha, mcha...
  16. JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa Serikali iingilie kati suala la wadada wanaojiuza

    Hi biashara sasa imekua holela sana, yani hawa wadada wanaamua popote kambi, mtaani imekua kero sana. Sehemu haina baa wala nini lakini wanamua kuchukua nyumba na kuweka kambi. Nimeshangaa kukuta wadada wanaojiuza kinyerezi mbuyuni na segerea chama sehemu ambayo haina baa na pako kimya ni...
  17. JamiiForums Tanzania Viongozi wengi hawakuwa wanaijua Katiba wakati wa Kifo cha Magufuli

    Nakurudisha miaka mitatu iliyopita, Rais Samia alipotangaza msiba wa Magufuli alitangaza siku 7 za maombolezo kwa mara ya kwanza. Wakati huo hakuwa anajua Katiba inatambua siku 21. Hili linatosha kuonesha kuwa Viongozi wengi walikuwa hawana ufahamu na katiba Mahojiano ya Mabeyo ya hivi karibuni...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Marekani, nchi inayotamka haitaki vita wakati inaanzisha vita hivyo!

    Hivi karibuni, Marekani ilitangaza kwamba imefanya mashambulio ya anga katika maeneo 85 nchini Iraq na Syria, dhidi ya Kikosi cha Mapinduzi ya Kiislamu cha Iran na makundi ya silaha yenye uhusiano na Kikosi hicho. Mashambulio haya yameharibu zaidi uhusiano kati ya Marekani na Iran, ambao tayari...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Wakati ni sasa kwa vijana kushika nafasi za uongozi

    Kutokana na dunia kwenda kwa spidi sana, wazee wetu wanaonekana kuwa nyuma na kushindwa kwenda na spidi ya mabadiliko ya teknolojia na siyansi; hivyo kudumaza/kuathiri maendeleo ya Taifa. Ni muda wa kuwashukuru wazee wetu kwa kazi waliyoifanya ya kujenga taifa hadi kulikisha hapa lilipo. Kuna...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Unyapaa wa Waafrika kwa dawa na chanjo za Magharibi ulianza wakati wa ukoloni

    Huwa kuna mijadala mingi mitandaoni kuhusu huduma za kinga na tiba tunazopewa na wazungu. Wapo wanaosema kuwa kuendelea kupewa misaada ya chanjo na baadhi ya tiba ni moja ya njia inayotumiwa na wazungu kupunguza kasi ya watu weusi kuzaliana. Nimefuatilia makala iliyorushwa na Dw inayoonesha ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…