Wakati wa kuhubiri au kufundisha kanisani zingatia sana yafuatayo

Nov 16, 2023
14
22
1. Ujumbe ulionao uwe na kichwa cha Habari.
2. MAANDIKO utakayosoma yaendane na ujumbe, mahubiri au FUNDISHO unalofundisha MADHABAHUNI.

3. " Bwana Yesu Asifiwe ziwe CHACHE.
4. Kama Ulipanga KUFUNDIDHA dondoo, 7... Halafu ukaona mtiririko umekatika ukiwa pointi ya,4... sitisha KUHUBIRI au KUFUNDIDHA.... ishia hapo.!

5. Epuka kuigiza ukiwa MADHABAHUNI, Bali uwe Halisi.!
6. Hakikisha yale unayowaagiza watu wayatamke ukiwa MADHABAHUNI kama; --
  • mwambie jirani yako....
  • sema Mimi ni......
..yawe yametoka MBINGUNI. Na Umeagizwa na Roho Mtakatifu.

7. Hakikisha yale unayowaagiza watu wayafanye ukiwa MADHABAHUNI kama;--
-- inua mikono.
-- punga mikono.
-- shangiliaaaaaah. !
-- makofi uliyopiga ni YANGU, Sasa mpigie Yesu makofi..
-- mgeukiwe mwenzako, mtazame usoni, mtikise na umwambie........
-- mwambie wa pembeni YAKO; " acha ujinga"......
haya YOTE ukiyatamka kiakili bila mwongozo wa Roho Mtakatifu, yanaudhi, yanaboa na ni mtindo wa KITOTO SANA UNAOFANYWA MADHABAHUNI HATA SASA...!

8. Aidha ... hubiri kwa mwongozo wa Roho Mtakatifu, na SIO MAHUBIRI YA KUANDIKIWA, AU KUPANGIWA, yenye sura ya Litrujia , yaliyojaa mawazo Ya Kibinadamu kama ilivyo hivi Sasa...! Yanachosha sana. Maana Hayana Uzima wa MUNGU ALIYE HAI.

9. Matangazo ya kanisani ya kila JUMAPILI yatafutiwe UTARATIBU maalumu mzuri usioudhi waumini..... Kanisa linaweza kuweka Ubao wa Matangazo mahali maalumu, ili VIONGOZI wasome hapo, au yasemwe YOTE , Kabla ya Mahubiri au mafundisho...

10. Baada ya ibada kufungwa. Sio Busara kuwaweka waumini kikao, maana ikumbukwe kuwa, Waumini nao wana Ratiba zao binafsi... Kama pana ulazima wa kufanya hivyo, waandaliwe, mapema ... Wiki moja KABLA..!

11. Baada ya ibada, Waumini waachwe wapate muda wa kutafakari mahubiri au mafundisho ya JUMAPILI baada Ya ibada.....
___________________
Mwalimu; JORDAN GADI TWARINDWA
Image_1699574196439.jpg
 
Niko nawaza.Gwajima jmosi kakutana na mchepuko wake wanafanya uasherati huku anajitekodi..halafu kesho asubuhi na mapa yupo church..
 
View attachment 2824602
Sure for sure
 
Sawa mwenye akili na hekima

1 Sam 25:25 SUV​

Nakusihi, bwana wangu, wewe usimwangalie huyu mtu asiyefaa, yaani, Nabali; kwa maana kama lilivyo jina lake ndivyo alivyo yeye; jina lake ndilo Nabali, na upumbavu anao; lakini mimi, mjakazi wako, sikuwaona hao vijana wa bwana wangu aliowatuma.
 
Back
Top Bottom