wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Fahamu madhara ya kiafya wakati unapotumia sukari nyingi kwenye vyakula

    Sote tunajua sukari ni tamu na ni miongoni mwa bidhaa zinazotumika kwa wingi kila siku katika nyumba zetu. Lakini licha ya umuhimu wake, sukari ni hatari kwa ustawi wa afya wakati inapotumiwa kwa wingi kupita kiasi. Kwa kawaida kiwango cha sukari tunachotakiwa kutumia katika vinywaji vyetu...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa kuondokana na viongozi "wachuuzi wa mpira wa miguu" kwenye vilabu vyetu

    Baada ya Simba kufungwa jana na wabotswana tumeona kauli za haraka haraka kutoka kwa viongozi wa Simba kuandika mambo ambayo mimi naweza sema ni upuuzi. Kwa kuangalia comments za wapenzi wa soka wakijaribu kujaribu viongozi kwa ujinga walioandika (nimeweka baadhi hapo chini) nadhani ni wakati...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Mzee Jakaya Mrisho Kikwete: Hivi wakati unaweka ndani Masheikh wetu ulikuwa unafikiria nini?

    Mzee Jakaya! Shikamoo mzee, nakusalimia kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania Naomba nikupe taarifa tu kuwa jela kuna Masheikh zaidi ya 150 , na wengi wao waliwekwa ndani kipindi cha utawala wako. Hivi mzee ulikuwa unafikiria nini kwa mambo haya? Ninafahamu kuwa wewe personally siyo mtu...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wakati nikiwa siwataki tena Makocha Gomez na Hitimana, Wafuatao upesi sana Wafukuzwe na Wasimamishwe Simba SC

    1. Meneja Patrick Rweymamu 2. Mratibu Abbas 3. Kipa Aishi Manula 4. Beki Shomary Kapombe 5. Beki Pascal Wawa 6. Nahodha John Boko 7. Kocha Selemani Matola Ninaotaka wabakie tu katika Benchi la Ufundi ni Mfia Timu Kocha wa Viungo na Kocha wa Makipa ambaye nimehakikishiwa na Mtu wa ndani...
  5. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Wakati mnawafanyia harassment wamachinga, mnakumbuka habari ya Mohamed Bouazizi aliyesabababisha serikali za kiarabu kuanguaka?

    Nimeshangaa kauli ya mkuu wa mkoa wa Dar, akisema wamachinga wakirudi maeneo ya kati, basi atakuwa hafai. Mkuu wa mkoa wa Dar amesahau kuwa hili ni kundi la wavuja jasho ambao wanamikopo, wanalisha familia zao, wanasomesha watoto na ndugu zao. Mmesahau kuwa hawa watu sio wa kufanyiwa...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Serikali kutumia kigezo cha kupitia JKT ili kupata nafasi za kazi wakati si vijana wote huchaguliwa kujiunga na JKT ni ubaguzi wa wazi

    Kumekuwa na tabia za hivi karibuni, kwamba ili upate nafasi za kazi kwa vyombo vya ulinzi na usalama, mojawapo ya sifa ya waombaji ni kupitia mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa. Huu ni ubaguzi wa wazi kabisa. Hivi toka lini vijana wote waliohitimu kidato cha sita waliitwa wote kujiunga na jeshi...
  7. The Boss

    JamiiForums Tanzania Wakati wa Kabudi kupumzishwa ulishafika, Rasi Samia amsaidie tu

    Kwenye kila utawala kuna Viongozi ambao wanawakilisha utawala huo zaidi ya wengine. Na utawala wa Magufuli huyu Prof. Kabudi aliuwakilisha zaidi ya wengine.. Ubabe.. Vitisho... Amri.. Na Sura za kuogofya kwa watawaliwa na wananchi...huyu Kabudi alikuwa anawakilisha vyema kabisa. Alipokuja...
  8. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Hili suala la Wamachinga kuondolewa pembezoni mwa barabara linatupa wakati mgumu zaidi. Tumesimama katikati

    Tunashindwa kusema Serikali imekosea na tunashindwa kusema Wamachinga walikosea. Kwa kweli hapa hata wapinzani tunapoulizwa tunajikuta tunajibu swali ambalo halikuulizwa. Muulize tu mpinzani akupe jibu. Je, Serikali kuwaondoa Wamachinga pembezoni mwa barabara ipo sahihi au imekosea. Utasikia...
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Dkt. Benson Bagonza: Wakati wa Mwalimu ukimsifia anakushusha cheo. Enzi hizi ukisifia unapandishwa cheo

    Alikuwa akihojiwa na Maulid Kitenge kuhusu kusifia kila kitu yeye akasema, hajui kutaga yai lakini yai bovu analijua, ‘mimi kama kiongozi wa dini wajibu wangu ni kuangalia wapi panahitaji kunyooshwa sio wapi panahitaji kusifia, wakati wa Mwalimu ukimsifia anaku- demote siku hizi ukisifia sifia...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Wakati Rais Samia akimsifia Waziri wa Maji, huku mtaani hatuna maji siku ya 3 leo

    Raia Samia huenda ni kweli Waziri wa Maji anafanya kazi vizuri, na ninaungana na Watanzania wengine kumpongeza. Lakini bado wananchi tunapata kero za maji za mara kwa mara. Kwa wiki mbili zilizopita huku mtaani ninapoishi maji yalikuwa yanatoka kwa presha kama ya mkojo, huwezi hata kupandisha...
  11. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa wa Manula kupewa sifa zake

    Ni miongoni mwa magolikipa bora kuwahi kutokea Simba na Tanzania! Ikumbukwe toka zama na zama, Simba imekuwa ikipata magolikipa hodari sana, tangu enzi za akina Athumani Mambosasa, Hamisi Kinye, Mwameja, Steven Nemes, Juma Kaseja, na sasa ni zama za Aishi Manula! Achana na rekodi zake lukuki...
  12. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Wakati ufaao ni sasa

    WAKATI UFAAO NI SASA Leo nimeona nitumie haki yangu ya uhuru wa mawazo kwa mujibu wa ibara ya 18(i) ya katiba ya JMT. Nitatamka jambo kuhusiana na maisha tunayoishi. Kilio ni kikubwa kwamba maisha ni magumu na wengi tunaishi chini ya matarajio yetu. Kwa ufupi wengi tunaishi kwenye umaskini...
  13. Superbug

    JamiiForums Tanzania Waziri aliyenusurika kuchapwa viboko kwa rushwa wakati wa mwalimu JK Nyerere ninani?

    Ukisikiliza hotuba maarufu ya mwalimu aliyoitoa pale Kilimanjaro hotel juu ya rushwa anataja simulizi ya waziri mmoja aliyekula rushwa na majaji wa kizungu wakamnusuru na adhabu ile je waziri huyu wa Sheria likuwa Nani?
  14. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Kuna wakati macho na masikio huwa yanatudanganya

    Kazi ya macho ni kuona, vile vile kazi ya masikio ni kusikia, Lakini sio kila tunachokiona au kukisikia kina ukweli ndani yake, Kuna wakati macho na masilio hutudanganya mfano: unaweza kuona samaki yupo mtoni kwenye kina kifupi cha maji kumbe yupo chini ktk kina kirefu tofauti kabisa na...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Wakati watu wanatafuta uzima wa milele, wao wanaitafuta CHADEMA

    Kwa mtazamo wangu, kuchoma ofisi za CHADEMA, lengo ni kuwa-prove CHADEMA wapandwe na hasira walipize kisasi wapate sababu ya kuishughulikia CHADEMA. Nasema hivi kwasababu, ikitokea ofisi za chama fulani zimechomwa moto, baai CHADEMA watashukiwa kama mwewe na wale walio kimya wakati ofisi za...
  16. comte

    JamiiForums Tanzania Kaburi la Hayati Magufuli: Wakati umetoa majibu na kuumbua watu

  17. F

    JamiiForums Tanzania Kumbumbuku - Je kipande hili ulikiimbaje wakati huo kipo hot miaka ya 78?

    Sikiliza Video clip hii - hawa ni Orchestre Kiam wimbo unaitwa Moni. Sikiliza kutoka 6:40 hadi 7:50
  18. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa Watanzania Bara kuanza kuteuliwa Zanzibar

    Haiingii akilini keki ya Zanzibar ni kwajili ya wazanzibari pekee ila keki ya huku bara Wazanzibari nao wana hila, yani chao ni chao peke yao ila chetu ni chao. Yani huko Zanzibar uongozi kuanzia uraisi, mahakamu wa rais, wakurugenzi wa mashirika, teuzi, n.k ni wao tu ila ukija huku si ajabu...
  19. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Wakati nchi nyingine duniani hutafuta wasanii wachekeshaji Japani wanahitajika wasanii wanaoweza kumfanya mtu aangue kilio sio kicheko!

    Duniani hakuishi vituko Japani watu wanalipwa madola kibao kwa kufanya mtu alie machozi kuondoa stress wanaamini mtu akilia stress zinaondoka.Wasanii Muwezao kuliza watu mpo? Asipolia hulipwi Jionee video mwenyewe
  20. C

    JamiiForums Tanzania Hii iliandikwa jamaa akiwa kwenye kifafa cha Shaytwan, alipokuwa karogwa, au wakati kapoteza fahamu, au ni nini jamani? Hebu tuwasaidie ndugu zetu

    Matusi hayatakiwi. Naomba ukielewa toa mtazamo wako kwa hoja kama jamaa huyuJihad, alivyoelewa na kubaki anashangaa!. NIkweli wafuasi wa huyu, bwana walikuwa hawahoji mambo katika mambo haya, kwa kuwa hawakuwa na ufahamu? waliogopa kuuawa, waliona yanawarahisishia maisha, walijua agenda za...
Back
Top Bottom