Ni wakati sasa kuondokana na viongozi "wachuuzi wa mpira wa miguu" kwenye vilabu vyetu

kasenene

JF-Expert Member
Jun 6, 2008
1,632
2,413
Baada ya Simba kufungwa jana na wabotswana tumeona kauli za haraka haraka kutoka kwa viongozi wa Simba kuandika mambo ambayo mimi naweza sema ni upuuzi.

Kwa kuangalia comments za wapenzi wa soka wakijaribu kujaribu viongozi kwa ujinga walioandika (nimeweka baadhi hapo chini) nadhani ni wakati muafaka sasa wa kuondoa viongozi wa namna hii katika soka letu..wangejithimini wao kabla ya sisi wapenda soka kuwaondoa.

@moodewji
Wewe kaa kimya bwana. Raja msimu uliopita walitolewa champions league. Mazembe katolewa umemsikia katumbi analialia twitter. You are sending a very bad message. Hii inaenda kuua confidence ya kocha na wachezaji. Bado tuna mengi ya kupambania msimu huu na timu yetu ni nzuri.

Ulipoamua kuuza Best players na kununua average players ulikuwa unategemea nini? Unapanda mnazi unataka kuvuna njugu? Kati ya wachezaji wapya waliopo Simba nani ana kiwango cha Chama na Miquissone? WA KUULIZWA NI WEWE NA BODI..MLIAMUA KUZAMISHA TU MELI.

Replying to
@moodewji
Kwa kuwa imejiuzulu, usizungumzie suala lolote la Simba. Nyamaza na usilete mgogoro, TP mazembe mbona nao wametolewa na hatujasikia maneno maneno ya hovyo. Wakapambane huko shirikisho
 
Mpira wa Tanzania utafanikiwa endapo

1. Kutakuwa na uboreshwaji wa miundombinu (viwanja)
2. Viwanja vyote vinavyomilikiwa na CCM vibinafsishwe ili viendelezwe
3. Mpira na Siasa vinatakiwa viwe maji na mafuta
4. Mipango ya muda mrefu ndani ya clubs na Shirikisho
5. VIONGOZI WA SOKA KUACHA USIMBA NA UYANGA
 
Tulipofungwa na The Rivers United mlichonga weeeeh. Na nyinyi mmetolewa kwenye hatua ile ile ya awali kabisa, mnamtafuta mchawi!
 
Ya simba cha mtoto, Mpira unamatokeo matatu kheri hao simba wamecheza Matokeo yamepatikana, ila hii ishu ya Biashara United kushindwa kwenda Libya na kutoa excuse dakika za mwisho nao ni ubabaishaji wa viongozi uliopitiliza.

Inabidi CAF iwachukulie hatuakKali Sana viongozi wa Biashara na TFF kwa
 
Back
Top Bottom