wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika: Bevin Tipha Msowoya mpiga picha nguli wa wakati wa kupigania Uhuru wa Tanganyika

    MIAKA 60 YA UHURU: BEVIN TIPHA MSOWOYA MPIGA PICHA NGULI WAKATI WA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA Leo ni siku yangu ya furaha kubwa sana kupita kiasi. Niko online na binti mmoja namjua kwa jina la Charming Girl kaniona akaniuliza kama namjua Bevin Tipha Msowoya? Nikamwambia naam namjua Msowoya...
  2. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Hii picha ilipigwa 1910 mitaa ya Poplar East London. Wakati huo si barabara zote za London zilikua na lami

    Gari ya Council ilimwaga maji barabarani kupunguza vumbi. Ilikua siku za kiangazi na vijana walijipooza kwa maji.
  3. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna ubaya gani tukifanya siasa za kuvumiliana pasi na kuumizana?

    Kwanini CCM hutumia gharama za aina yeyote ili tu kubakia madarakani kipi wanahofia endapo watapatikana wengine kuongoza nchini? Yanini tunakubali kujiandalia kisasi cha haja kwa mambo ambayo yanaepukika jsmani? Kwani leo akitawala CCM na kesho NCCR keshokutwa Chadema kuna ubaya gani? Hivi...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dar kuna shida ya maji wakati bahari ipo hapo hapo?

    Nimetanguliza neno sielewi kwamaana hiyo nimeuliza ili mnieleweshe. Dar kuna bahari ya Hindi imeizunguka sasa inakuaje mkoa huo unakua na shida ya Maji? Kama maji ya bahari labda yanahitaji kuchakatwa sana kuondolewa chumvi na kama ni ghali sana kununua mitambo hiyo, kwanini tunapoteza hela...
  5. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Mufti sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa Waislamu wote kuombea mvua

    Kiongozi mkuu wa waislamu Mufti Sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa Waislamu wote kuombea mvua yenye heri kuanzia kesho Alhamisi. Maaskofu wakristo naona wanashindana tu kuvaa barakoa hawaitishi maombi kulikoni?
  6. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo michango ya nini wakati mna ruzuku na mnaunda Serikali?

    Mkutano Mkuu @ACTwazalendo ⁃Kuchagua Mwenyekiti wa Chama Taifa ⁃Kuchagua Makamu Mwenyekiti wa Chama ⁃Kuzindua Mfumo wa kisasa wa uandikishaji Wanachama ⁃Kuzindua Mkakati mpya wa Siasa ili kuimarisha Demokrasia TUNAOMBA MCHANGO WAKO KUFANIKISHA MKUTANO WETU https://t.co/8e1AA2HLEz
  7. KingOligarchy

    JamiiForums Tanzania Kwanini ukienda Benki Hela yako huwa unaikuta wakati unasikia Benki inakopesha hela zako?

    Swali moja la Kizushi! Umeshawahi kujiuliza unapoweka hela benki, benki inafanyia nini Hela zako? Na je, kama inatumia kwenye kazi nyingine, je kwanini ukienda kuwithdrawal unaipata? Kuna Majibu mengi sana ndani mwake lakini Hii kuensure liquidity ya Bank inafanya na Kitengo kimoja Hatari...
  8. Damaso

    JamiiForums Tanzania Tambua mambo sita ya ajabu kutoka kwa jamii ya Aghori nchini India

    Habarini za Alhamisi natumaini mpo vizuri sana, poleni kwa wale wagonjwa Mungu awape afya njema. kama ilivyo kawaida yangu ya kuwaletea makala za kutambua mambo mbalimbali kuhusu jamii kadhaa hapa duniani. kuanzia utamaduni wao, mila pamoja na namna ya maisha yao kwa ujumla. Leo nitakuja...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kusheherekea miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania wakati tokea Uhuru hadi leo Taifa lina Changamoto za Kimsingi zifuatazo ni Uzuzu uliotukuka

    1. Ujinga uliochanganyika na Upumbavu. 2. Elimu mbovu na inayozalisha Mazuzu wengi na Ajira kuwa Janga la Kitaifa. 3. Umeme usio na uhakika nchini. 4. Kutopatikana Maji kwa Wananchi. 5. Ukabila, Udini na Ufisadi mkubwa. 6. Afya duni kwa Watanzania wengi. 7. Siasa mbovu na Demokrasia ya...
  10. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Udanganyifu wakati wa kununua magari kwenye showrooms

    Hii Case nimeizoea kukutana nayo wa watu na huwa naichukulia kawaida ila leo nimeshangaa kuikuta kwenye moja wapo ya Showroom hapa Dar. Kikawaida gari nyingi tukitaka kuangalia mwaka ambao gari hiyo imetengenezwa huwa tunaangalia lebo iliyopo kwenye mkanda (yaani seat belt). Lakini it seems...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Wakulima waelimishwe waache kuchoma mabaki ya mazao wakati wa kuandaa mashamba

    Kumekuwa na utamaduni wa kale wa wakulima kuchoma mabaki ya mazao kwa kigezo Cha kujiandaa na msimu mpya wa kilimo. Mabaki hayo ni pamoja na mabua, magunzi na hata nyasi kavu. Hii ni MBOLEA YA MBOJI au composit Manure. Inarutubisha udongo hapo baadae na kupunguza umri wa aridhi yako kuchoka au...
  12. mtoto mdogo sana

    JamiiForums Tanzania Kuna wakati huwa najihisi kama niko tofauti na kila mtu

    Habarini za uzima. Mimi sijambo pia. Kama afya yako haiko katika utimilifu basi Mwenyezi Mungu akujaalie nafuu ya mapema ujisikie kupona. Moja kwa moja kwenye mada. Baada ya maisha yangu kuchukua sura mpya kwa Mwaka mmoja sasa, jana nimepata nafasi ya kujitathmini kujua iwapo niko sawasawa na...
  13. Anna Nkya

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na busara ya kujua nini cha kuahidi kwa wakati gani

    Napenda namna ambavyo Rais Samia hakurupuki kwenye majibu. Mara kadhaa ameombwa vitu hadharani, hakujibu kwa mhemko kama wafanyavyo wanasiasa wasiojielewa. Mfano, watu wa Chato wamewahi kuweka ombi lao la Mkoa mara mbili hadharani. Askofu Shoo wa KKKT aliomba barabara na vitu vingine. na zipo...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kero za Muungano: Ni wakati muafaka kwa Wazanzibari kufanya Referendum

    Nafikiri niwakati sasa umefika Zanznibar wafanye referendum kwamba wanataka muungano Ndio/Hapana. Baada ya hapo ndo tutakuwa na jibu sahihi la kupata ufumbuzi wa kudumu wa hiki tunachoita muungano.
  15. D

    JamiiForums Tanzania Malipo kupitia NCARD wakati mwingine ni changamoto! Wanafyeka pesa bila taarifa

    Hawa jamaa wa NCARD sometimes Yes sometimes No! Wapo kianalog analogi sana! Mwanzoni January walinifyeka 10000 bila kutumia chochote. Nikapiga customer care wakaahidi kushughulikia lakini holaa! Juzi tena nimeweka elfu hamsini nayo wakalamba kimya kimya bila kutumia! Taarifa nimewapa lakini...
  16. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Picha aliyochora Michelangelo mwaka 1530 wakati akiwa mafichoni baada ya kutofatiana na Pope

  17. L

    JamiiForums Tanzania Ni wakati kwa Marekani kuelekeza nguvu kupunguza pengo la chanjo

    Hivi karibuni, shirika la ujasusi la Marekani lilitoa ripoti kamili kuhusu chanzo cha virusi vya Corona, ambayo ilishindwa kujibu swali kuwa ni jinsi gani virusi hivyo vya ugonjwa wa COVID-19 vilimwambukiza mtu wa kwanza. Baada ya kupoteza nusu mwaka ambao ni fursa muhimu kwa dunia nzima...
  18. Q

    JamiiForums Tanzania Pius Msekwa: Katiba lazima ifuate mahitaji ya wakati uliopo

    "Katiba nayo lazima ifuate mahitaji ya wakati uliopo,kwa hiyo kama mahitaji yanabadilika kulingana na nyakati zinavyobadilika. Lazima katiba nayo ibadilike. Katiba lazima ifuate mahitaji ya nchi kwa wakati uliopo, kwa hiyo sina ubishi na madai ya katiba mpya"- Pius Msekwa ITV Dakika45.
  19. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Fahamu madhara ya kiafya wakati unapotumia sukari nyingi kwenye vyakula

    Sote tunajua sukari ni tamu na ni miongoni mwa bidhaa zinazotumika kwa wingi kila siku katika nyumba zetu. Lakini licha ya umuhimu wake, sukari ni hatari kwa ustawi wa afya wakati inapotumiwa kwa wingi kupita kiasi. Kwa kawaida kiwango cha sukari tunachotakiwa kutumia katika vinywaji vyetu...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa kuondokana na viongozi "wachuuzi wa mpira wa miguu" kwenye vilabu vyetu

    Baada ya Simba kufungwa jana na wabotswana tumeona kauli za haraka haraka kutoka kwa viongozi wa Simba kuandika mambo ambayo mimi naweza sema ni upuuzi. Kwa kuangalia comments za wapenzi wa soka wakijaribu kujaribu viongozi kwa ujinga walioandika (nimeweka baadhi hapo chini) nadhani ni wakati...
Back
Top Bottom