Ni wakati gani sahihi wa kuanzisha biashara ya Nyumba au kujenga nyumba?

Mr sule

JF-Expert Member
Oct 14, 2021
607
1,097
Habair wanajamii

Ebu tujadili kidogo, kwa mawazo yako ni wakati gani sahihi wa kujenga nyumba.
Mtaani kuna kauli kuwa pesa ya ujenzi ni bora ufanye biashara zingine badala ya kujenga, nataka kujua ni wakati gani sahihi unaweza kumiliki nyumba.
 
Nadhani inategemea kipato na flow yake.
Kama pesa ina mfululizo mzuri jenga nyumba wakati wowote ,
Ila kama ni pesa ya kuunga unga fanya servings kwanza then upate kitu kinachokupa flow ndipo ujenge .
Usije kujenga ukiamini kuwa ndo iwe stepping stone ya kukupa decent cash flow !! Utafeli vibaya
 
Habair wanajamii

Ebu tujadili kidogo, kwa mawazo yako ni wakati gani sahihi wa kujenga nyumba.
Mtaani kuna kauli kuwa pesa ya ujenzi ni bora ufanye biashara zingine badala ya kujenga, nataka kujua ni wakati gani sahihi unaweza kumiliki nyumba.

Wakati ambapo una pesa ya kumudu ujenzi na kukamilika,Hapo unaweza kumiliki nyumba.

Nyumba ya kupanga anae nufaika ni Mwenye Nyumba.
 
Habair wanajamii

Ebu tujadili kidogo, kwa mawazo yako ni wakati gani sahihi wa kujenga nyumba.
Mtaani kuna kauli kuwa pesa ya ujenzi ni bora ufanye biashara zingine badala ya kujenga, nataka kujua ni wakati gani sahihi unaweza kumiliki nyumba.
anaesema hivo hana uhakika wa mlo kwa siku,,,,

kama una uhakika wa mlo wala huna mahitaji mengi ndio muda sahihi wa kujenga.

kumbuka tu kadri unavokuwa na mahitaji huongezeka so utapochelewa kujenga utazeekea ata kwenye banda la kuku kwa kodi.
 
Back
Top Bottom