wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini mtu asiambiwe R.I. P kabla hajafa au wakati anakaribia kufa ili yeye mwenyewe asikie?

    Huwa inanishangaza Sana unakuta mtu kafa, R.I.P zinamiminika Sasa sijui azipokee nani wakati mhusika hayukpo!! Nadhani hiyo rest in peace angepewa yeye mwenyewe na akasema thank you. Sasa mnatakaga nani ampokelee wakati yeye hayupo?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tujielimishe: Ni Wakati gani polisi walibaini Kuna njama za Ugaidi kwenye kesi ya Mbowe? Ni mwaka 2020 au 2021?

    1. Watuhumiwa watatu kwenye hii walikamatwa mwaka 2020 na kuhojiwa Kisha kufunguliwa mashtaka yasiyo ya Ugaidi. 2. Watuhumiwa watatu baada ya kutoa maelezo Yao mwaka 2020 walipokamatwa awakuwahi kurejea uraiani walipelekwa mahakamani Kisha mahabusu,hivyo awajawahi kupata dhamana Wala kuhojiwa...
  3. kavulata

    JamiiForums Tanzania Askari aliyemtolea bastola Nape bado yupo?

    Kweli elimu haina mwisho, wote wenye mamlaka na madaraka leo heshimu watu, ogopeni watu, tumikieni watu na kuweni na kiasi, maana leo haifanani kila kitu na kesho. Kuna jamaa mchana kweupe alitaka kumtwanga risasi kiboya Mh. Nape ambae leo ni waziri tena. Yule jamaa anajisikiaje leo kama bado...
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mashitaka dhidi ya Paulo Makonda ni njama za mafisadi, wauza unga na wapinzani wapenda uovu aliowadhibiti wakati akiwa RC Dar es Salaam

    Sasa kila kitu kimeanza kuwa wazi kuwa kumbe hili taifa lina watu wasiofaa kabisa. Ukiwadhibiti ili wasifanye uovu watakuvizia kwa kila namna ili mradi tu walipe kisasi sababu tu uliwadhibiti wasifanye uovu. Makonda aliwadhibiti wanasiasa waovu, wauza unga, wakora wa kila aina. Sasa ndio...
  5. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Saikolojia: Jinsi mnunuzi anavyoshindwa kutengeneza fedha wakati wa kununua nyumba

    Kazi ya kununua nyumba ni kazi rahisi sana ukilinganisha na kazi ya kuuza nyumba hasa kwa wanunuzi wa nyumba wasio wawekezaji. Ni vigumu kupata wanunuzi wa nyumba kuliko kupata nyumba unayotaka endapo una fedha tayari za kununulia nyumba unayoitaka. Kwa lugha nyingine, utatumia muda mrefu...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kumbe Khalfan Bwire na wenzake ndio walikuwa Walinzi wa Tundu Lissu wakati anaingia Tanzania Julai 28, 2020?

    Aisee kumbe usione vyaelea vimeundwa. Hii inatupa picha gani nyie wataalam Mgombea wa Chama kikuu cha Upinzani Mh Tundu Lissu alikuwa akilindwa na hawa ma x commandos yaani Khalfani Bwire, Adamu Kusekwa, Mohamed Ligwenya na wenzake. Baada ya matishio makubwa ya usalama dhidi ya viongozi hawa...
  7. nyembela

    JamiiForums Tanzania Wakati tunafurahia mawakili wanavyooneshana uwezo wakutafsiri sheria''

    kuna jambo la kutafakari kuna mshindi alieshinda kabla ya kushindwa kwake na endapo atashinda sasa atakuwa hana chakupoteza, na pili kuna alieshindwa kabla ya kushinda kwake endapo atashinda atakuwa amepoteza tangu mwanzo. Kama kanuni yamafanikio nimuda basi aliyeshinda mwanzo amefanikiwa na...
  8. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mukoko amendoka Young African, wakati bado aiipambania timu kwa hali na mali, huku mashabiki bado tunampenda?

    Ukweli ni kwamba Mukoko ni mchezaji mgumu na anayejituma zaidi uwanjani. Tatizo ni kwamba umiliki wake wa mpira hauko vizuri. Mguso wake wa kwanza wa mpira sio mzuri kulinganisha na Aucho na Bangala. Mbaya zaidi ni kwamba Mauya ni mzuri zaidi katika umiliki wa mpira kuliko Mukoko. Tatizo la...
  9. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume, Karibu nyumbani kwenye Chama cha Baba na Babu yako. Huu ndio wakati wenyewe

    Kazi ambayo tulikutuma uifanye kwa asilimia kubwa umeifanikisha. Ni wakati wa kurudi home kabla hujachafuliwa na hao wenye wazimu na chuki. Tunajua kuna wakati unatamani waendelee kuamini kuwa una fanya harakati nao lakini dhamira ya moyoni inakushinda. Unajikuta unaandika au kuzungumza...
  10. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Kama mnalalama kuwa wamachinga wananyanyaswa sasa hivi mbona wakati wameruhusiwa na hayati Magufuli mlisema wanaharibu mipango miji! Kuweni na msimamo

    Sasa naona Katibu mkuu wa UVCCM Kenani Kihongosi ameamua kuingia mstari wa Mbele kuongoza mapambano dhidi ya wamachinga. Bavicha tunalaani vitendo hivyo na tutaongoza mapambano ya kudai #KatibaMpya itakayotoa Uhuru wa vijana kufanya biashara bila bugdha.
  11. Mrkaswahili

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi au internship nipo Mwanza

    Habari za wakati huu wakubwa zangu mawapa heshima yenu na vijana wenzangu natumai pia muwazima ahsante. Naomba muniwie radhi lakini mficha dhara kifo humuumbua.Naitwa Mhina nipo naishi Mwanza ni mhitimu wa stashahada ya uhasibu(Diplomoa in Accountancy). Dhumuni la kuandika thread hii ni kuomba...
  12. tpaul

    JamiiForums Tanzania Ni kosa gani ulilowahi kusingiziwa au kuadhibiwa wakati hukulitenda ng’o?

    Katika maisha yetu ya kila siku kuna kusingiziwa na maonevu ya hapa na pale, hasa pale mtu unaposingiziwa kosa na hata kuadhibiwa bila sababu. Hii ni hali ya kawaida kabisa katika maisha kwa kuwa tunaishi katika dunia iliyojaa watu wa aina mbalimbali na wenye maamuzi anuwai. Sio rahisi binadamu...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wanaofanya sherehe za madarasa mapya wakati wapo kwenye msiba wa kufelisha nawashangaa

    Miaka ya hivi karibuni viongozi wa umma wameingiwa na tabia ya kusifu na kushangilia hovyo. Kupitia mitandao ya kijamii tunashuhudia wakurugenzi na wakuu wa wilaya wakijisifia ujenzi wa madarasa kana kwamba nikitu ambacho hakikua kinawezekana. Hao hao viongozi wameandamwa na msiba wa shule za...
  14. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Ukarimu wa Wana - CHADEMA: Wakati wa break mahakamani kwenye kesi ya Mbowe tunagawa chakula

    Ukarimu wa wana Chadema katika kesi ya kuchonga ya Mhe Mbowe. Wakati wa break hapa mahakamani tunagawana chochote kujikimu; maji, chai, donati muhogo nk. Kesi itaendelea na leo ni yule shahidi aliyedai kuumwa kichwa ghafla. Mchana huu Kibatala atamsababishia maumivu ya tumbo...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Wakati "Viongozi" wakifikiria kuruka kamba, Majirani wanafikiria Biashara

    Uganda protests Kenya move to dump cargo at Malaba on old railroad MONDAY JANUARY 17 2022 A traffic gridlock at Nzoia bridge on the Eldoret-Webuye highway, as long distance trucks queue from Malaba border to enter Uganda, stretching 67km to Chimoi on January 14, 2022. The railway is the...
  16. Trubarg

    JamiiForums Tanzania Nashangaa wanaoshangilia watoto wao kupata Division One na Two wakati waliwapeleka shule za gharama

    Nilitegemea sisi tunaopeleka watoto Kayumba ndo tushangilie hayo matokeo coz shule na huku Kayumba ni ya kubahatisha. Sasa nyie mnapeleka watoto Feza Schools, St. Francis, Kaizirege na nyie pia mnashangilia! Kwa ada mnazolipa na mazingira wanayosomea hao watoto ni jukumu lake kufaulu so sioni...
  17. President of China

    JamiiForums Tanzania Wakati Simba ikimtangaza Chama, Yanga yamtangaza Ibrahim Bacca Kutoka KMKM Zanzibar

    Wanayanga hawataki kushindwa kwa chochote na Mnyama mkali mwituni. "The Simba SC" a best soccer club in East and Central Africa, ikijitosa kumsajili Chama, huku team ya Yanga yenye maskani yake mtaa wa jangwani unaojulikana kwa kuwa na mafuriko kila mwaka, imemtangaza beki kutoka KMKM Zanzibar...
  18. 5

    JamiiForums Tanzania Mfumuko wa bei Zanzibar sasa imekuwa gumzo. Ni wakati sasa Rais Dkt. Mwinyi kujitafakari

    Ndivyo hali ilivyo Zanzibar, watu walianza kuvimilia vumilia sasa kila mzanzibar analia na vitu vya chakula kupanda bei tena kwa speedi ya kutisha sana. 1. Mkate wa Boflo ambao ndio mkate kila mzanzibar anakula sasa ni Tshs 250/- badala ya 200/= 2. Mchele ambao ndio chakula kikuu kwa maisha ya...
  19. aka2030

    JamiiForums Tanzania Kwanini rais Mwinyi hakuwa na furaha wakati anawakabidhi zawadi simba?

    Tazama sura yake
  20. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Wakati mnajadili kujiuzulu kwa Spika Ndugai, mwenzenu He's laughing all the way to the Bank. Anaondoka akiwa tajiri

    Kwa mujibu wa Sheria ya Mafao ya Watumishi wa Kisiasa [Political Service Benefit Act] iliyotungwa wakati wa serikali ya awamu ya tatu chini ya Rais Hayati Benjamin W. Mkapa, mstaafu huyu wa "kujiuzuru kwa kulazimishwa" yuko entitled kupata mafao yafuatayo; 1. Kiinua Mgongo [Gratuity] cha 50%...
Back
Top Bottom