wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P Accountant

    JamiiForums Tanzania HESLB, naomba kupata maelekezo juu ya allocations za fedha za kujikimu wakati wa mafunzo kwa vitendo(Field)

    Habari za wakati huu kwenu. Kwanza nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa ukuu wake na rehema tele atupazo katika maisha haya. Nimekuja hapa, nikiamini nitapata msaada na ushauri wa kimawazo juu ya suala tajwa hapo juu. Ipo hivi, mnamo mwaka 2020 bodi ya mikopo elimu ya juu (HESLB) ilifanya...
  2. Marumeso

    JamiiForums Tanzania Wanawake mitandaoni mnalalamika hamuolewi wakati huku kitaa mnatuambia 'mimi nina mtu wangu'

    Inashangaza sana ukikutana nao huku kitaa utasikia "MI NINA MTU WANGU" lakini wakiingia mitandaoni wanalalamika hawapati wanaume na wengine wanaenda mbali zaidi kwa kuwalaumu wanaume wanaoishi na mke mmoja kwa kuwataka waongeze idadi! Jamani wanawake mnachokitafuta ni nini hasa?
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ni wa wakati wa kudai katiba mpya. Hii ya sasa imempa madaraka makubwa rais wa JMT haifai kabisa. Mmesahau yaliyomkuta Mwamba mpaka akalia machozi

    Tunapokuja kujadili suala ambalo ni mustakabali wa taifa letu basi tuweke ushabiki kando. Katiba ya sasa haifa na imempa madaraka makubwa rais wa JMT ndio maana wateule wake na wasaidizi wake wanatumika hovyo kupeleka mateso kwa raia kwa chuki ambazo hazina kichwa wala msingi. Tupate katiba...
  4. Elice Elly

    JamiiForums Tanzania Askofu jimbo la Mbinga: Amani ni tunda la haki

    Mahubiri ya Askofu John Ndimbo (Kingenzu) katika Misa ya Christmas amesisitiza kuwa bila kutenda haki hakuna Amani.Amesema haki ya watu kuchagua viongozi wao,haki ya kuishi pia amesieistiza msamaha wa kweli. Lakini amesema yeyoye anayempenda Mungu anawajali binadamu wenzake. Amesema pale mtu...
  5. Kididimo

    JamiiForums Tanzania NACTE ichunguzwe. Imeshindwa kutoa Vyeti kwa wakati vya Wahitimu wa LITA. Wanaenda kukosa ajira zilizotangazwa na Serikali

    Serikali yetu makini hivi karibuni imetangaza nafasi za ajira lukuki kwa vijana waliohitimu Mafunzo ya mifugo sehemu mbalimbali. LITA kama Taasisi ya Serikali yenye ithibati ya kutoa mafunzo hayo ikisimamiwa na NACTE imekuwa ikitoa wanafunzi lukuki kila mwaka. Ili uweze kutambulika kifani ni...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Ligi Kuu kutoisha kwa wakati

    Ili Ligi yetu iwe inaisha kwa wakati ni lazima TFF IBADILIKE katika kuita timu ya taifa. Mwaka jana timu ya taifa iliitwa week na kitu kabla ya mashindano na tukakosa kushiriki mashindano ya kimataifa vile vile. Ligi inasimama mpka inakera. Jiulize kwa nn ligi nchi nyingi Duniani zimeisha...
  7. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa itungwe Sheria ya Kudhibiti Ukahaba

    Leo nimesoma RIPOTI MAALUM kwenye gazeti la Mwananchi kuhusu kushamiri kwa biashara ya Ukahaba hasa eneo la Sinza jijini Dar es salaam suala ambalo limewalazimisha baadhi ya wakazi wa eneo maeneo hayo kuhama makazi na hata kutelekeza nyumba zao kwa kuwa inawawia changamoto kulea watoto. Wakati...
  8. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa kitu kimoja sehemu mbili tofauti kwa wakati mmoja

    Habari! Naomba nijadili na ninyi hili jambo ambalo limetutokea juzi Mimi na rafiki yangu. Miaka kadhaa iliyopita nimewahi kusimuliwa na jamaa mmoja ambaye scientific calculator yake ikiwa nyumbani kwake na kuna rafiki yake aliitumia kwenye paper chuoni kwa kipindi kimoja. Yaani the same time iko...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Watu 31 wafariki wakati wa zoezi la kugawa vyakula kanisani

    Watu 31 wameripotiwa kufariki na wengine 7 kujeruhiwa wakati wa mkanyagano wa kugawa chakula kanisani Nchini Nigeria, ambapo shuhuda mmoja wa tukio alishuhudia mama mjamzito na watoto kadhaa wakiwa sehemu ya waliofariki, jana Mei 28, 2022. Msemaji wa Polisi, Grace Iringe-Koko anasema tukio la...
  10. Google Diggers

    JamiiForums Tanzania Epuka mambo manne 4 kabla au wakati unaelekea kujamiiana(kufanya Mapenzi) na mwenzi wako

    1. Usinyoe nywele sehemu za siri. 2. Usile chakula kingi Muda mfupi kabla ya kuelekea kumpelekea moto au kupelekewa moto(kugongwa). 3. Usije ukanywa dawa za maumivu ikiwa unahali ya kuumwa/Homa achana na kufanya tendo hilo Hadi hapo hali itakapotengemaa. 4. Usile vitu au vyakula vyenye viungo...
  11. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Wachungaji msitumie maneno ya kudhalilisha utu wakati wa mahubiri au semina zenu

    Nawasalimu katika jina la Chama Cha Mapinduzi. Naandika huu uzi nikiwa na hasira kali sana dhidi ya baadhi ya wachungaji, manabii, Motivational speakers na wengine wote wanaotoa mahubiri au semina mbalimbali. Hii ni kwa sababu ya wengi kuanza kudhalilisha watu kwa kisingizio cha ushauri. Mara...
  12. mimi mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni ndugu zangu; napitia mateso wakati NSSF wanayo pesa yangu. Nachukuaje michango yangu?

    Sina kazi karibu mwaka wa pili sasa. Kula yangu ni ya shida pakulala ni shida kila kitu kimekuwa shida. Nimekuwa na mipango mingi lakini nashindwa fanya lolote sababu pesa sina kabisa. Lakini nina pesa yangu ipo NSSF baada ya kupoteza kazi yangu walinipa mafao ya 33% kwa miezi 6 then baada ya...
  13. D

    JamiiForums Tanzania LATRA Morogoro angalien ruti ya Moro Mjini kwenda Kingorwila nauli 800 wakati ni km 12 to 13 kwa wastani

    Latra tunaomba muangalie nauli za kwenda kingorwila zipo juu sana kuliko uhalisia, Leo hii kutoka Moro mjin kwenda kingorwila ni sh 800, sehemu Ambyo ni km 12 tu na ni full Lami. Abiria kiukwel tunaumia Kwa Hili. mifano michache, ruti ya kwenda lukobe nin700 na barabaran ni mbovu, na ni km 16...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Poland inachekesha, Wakati yenyewe imegoma kununua gesi toka Urusi, inaitaka Norway iwagawie faida wanayopata kwa kuwauzia gesi kwa bei ya juu

    Huwezi kuamini mawazo na akili ya Viongozi wa Poland!! Wam,eamua kuachana na gesi ya urusi ya bei rahisi kwa kuwa wanaweza kununua gesi pia toka Norway na nyingine toka Ujerumani (inayopata gesi toka urusi). Lakini wanailalamikia Norway kuwa inawauzia gesi kwa bei kubwa sana karibuni mara NNE...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia wakati wa Kula chakula mkiwa jumuiya!

    MAMBO YA KUZINGATIA WAKATI WA KULA CHAKULA MKIWA KWENYE JUMUIYA! Anaandika Robert Heriel. Kula chakula napo kunauungwana wake, ambao hauna budi kufuatwa, hasa ukiwa unakula watu zaidi ya mmoja, iwe ni kwenye familia, Ugenini,kwenye matukio Kama HARUSINI, misibani n.k. Kula kitasha inaweza...
  16. kataip

    JamiiForums Tanzania Wazazi wapendeni na kuwajali watoto wenu ni ndugu zenu, marafiki na jamaa zenu wakati ambao wote uliokuwa nao watakuwa na wanao

    Natumai kazi zinaendelea! Niende kwenye mada moja kwa moja. Asilimia kubwa wakipata pesa uwekeza kwenye mapenzi na ndugu na marafiki Visa ni vingi tunaishi navyo watoto watavipata kupitia kwa ndugu, jamaa, jirani, marafiki wa wazazi , wanaona,watalirelate lakini mwisho wa siku mzazi atamlaumu...
  17. Zikwe

    JamiiForums Tanzania Suluhisho la kupikiwa(kupata) chakula safi, kitamu na kwa wakati kwenye shuhuri yako ni hili

    Kwa Shuhuri yoyote iwe Harusi, Msiba, Kitchen Party, Send-off, Graduation na Chochote kile kitakachoitaji uwepo wa chakula kupikwa na mpishi. Mpishi lazima azingatie Usafi, Ubora na Ladha Nzuri Ya Chakula kwa Mteja wake Na Kubwa Zaidi Kwenda Na muda kweny Kupika Chakula, Hivyo chakula inabidi...
  18. mr gentleman

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni wakati wa kuomba msamaha kwa Zitto ili awasaidie, amewazidi sana maono

    Pamoja na madhaifu yake lakini kiukweli Zito Kabwe amedhiilisha ni kiongozi mwenye maono kuliko viongozi wote waliopo Chadema. Kila kinachotokea sasa Zitto alikiona muda mrefu nyuma na akawa anawakumbusha kuweka akiba ya maneno sababu yeye anamjua Mbowe kuliko nyinyi mnaomsoma mitandaoni. Sasa...
  19. JF Member

    JamiiForums Tanzania Wakati wa Awamu ya Tano tuliona Marais wengi sana wa Afrika wakija, ilikuwa mwanzo wa uimara?

    Tuliona Marais na Wafalme mbalimbali wa Afrika wengi sana wakija hapa nchini. Mimi niliamini kabisa Africa Union (AU) inaenda kuwa imara, tena yenye maono sahihi kwa ajili ya Waafrika. Nini kimetokea siku hizi, maana siwaoni wakija tena. Je, Magufuli alikuwa na nia ya kuiunganisha Afrika?
  20. Simeone

    JamiiForums Tanzania Nitumie App gani wakati wa kupiga picha?

    Wakuu nitumie App gani inayoweza kutoa background ya picha wakati wa kupiga picha?
Back
Top Bottom