Je, wajua kuwa unaweza kuongeza uwezo wa RAM kwenye simu yako?

TECNO Tanzania

Senior Member
Jul 6, 2016
192
216
Toleo letu jipya la simu za CAMON 18 Series ndio simu janja kwa sasahivi yenye sifa kabambe. Sifa kubwa zinazopatikana katika simu za CAMON 18 Series ya kwanza ni GIMBAL CAMERA hii ni feature inawezesha video kuwa clear na steady, maana yake unaweza kurekodi video hata kama upo kwenye movement na video yako ikatoka ikiwa ipo safi bila ku “shake shake” kwa lugha ya kigeni Zaidi

device.market.dm-20220204-0004.jpg

Muonekano wa mbele na nyuma wa camon 18

Sifa nyengine ambayo hauwezi kukutana nayo kwenye simu janja zengine ni uwezo wa simu kuongeza uwezo wa RAM katika simu yako. Ukiwa na CAMON 18 Series unauwezo wa kuongeza uwezo wa RAM kuanzia 2GB, 3GB na 5GB.Kama simu yako inauwezo wa 4GB unauwezo wa kuongeza 2GB ikawa na jumla ya 6GB, ama kama unapendelea kuwa na RAM kubwa basi unauwezo wa kuongeza 5GB na simu yako ikawa na jumla ya 9GB RAM.

Screenshot_20220224-093833.jpg

Ukitaka kuongeza RAM kwenye simu yako ya CAMON 18 Series, ingia SETTING alafu shuka chini mpaka kwenye sehemu ya SPECIAL FUNCTION, hapo utaona sehemu imeandikwa MemFusion. Ukiingia hapo utakuwa na uwezo wa kuchagua kati ya 2GB, 3GB au 5GB.

Kufahamu Zaidi wasiliana nasi kupitia namba zetu: 0744545254 au 0678035208
 
Tecno mbona simu zenu zinasave na kufuta namba zenyewe?,mbona zinakuwa zinaganda kama ving’amuzi!,mbona simu zenu ukiandika neno i love lina send molove!,Tecno acheni roho mbaya
 
Toleo letu jipya la simu za CAMON 18 Series ndio simu janja kwa sasahivi yenye sifa kabambe. Sifa kubwa zinazopatikana katika simu za CAMON 18 Series ya kwanza ni GIMBAL CAMERA hii ni feature inawezesha video kuwa clear na steady, maana yake unaweza kurekodi video hata kama upo kwenye movement na video yako ikatoka ikiwa ipo safi bila ku “shake shake” kwa lugha ya kigeni Zaidi

View attachment 2129362
Muonekano wa mbele na nyuma wa camon 18

Sifa nyengine ambayo hauwezi kukutana nayo kwenye simu janja zengine ni uwezo wa simu kuongeza uwezo wa RAM katika simu yako. Ukiwa na CAMON 18 Series unauwezo wa kuongeza uwezo wa RAM kuanzia 2GB, 3GB na 5GB.Kama simu yako inauwezo wa 4GB unauwezo wa kuongeza 2GB ikawa na jumla ya 6GB, ama kama unapendelea kuwa na RAM kubwa basi unauwezo wa kuongeza 5GB na simu yako ikawa na jumla ya 9GB RAM.

View attachment 2129363

Ukitaka kuongeza RAM kwenye simu yako ya CAMON 18 Series, ingia SETTING alafu shuka chini mpaka kwenye sehemu ya SPECIAL FUNCTION, hapo utaona sehemu imeandikwa MemFusion. Ukiingia hapo utakuwa na uwezo wa kuchagua kati ya 2GB, 3GB au 5GB.

Kufahamu Zaidi wasiliana nasi kupitia namba zetu: 0744545254 au 0678035208
Teknolojia ni Yetu Sote
 
Tecno tunawaponda na kuwakosoa sana lakini ukweli ni kuwa huku mtaani tunazitumia sana tu.

Tunatamani kuhama lakini tutafanyaje!
Sure.

Kuna kipindi nilichoka, miaka ya 2015 niliuza simu yangu kali nikamumua tecno ili nisikose hewani na nadhani mwaka 2017 pia kwa muda wa miezi 4.

Tecno ni simu nzuri lakini za low level, ni simu za kufanyia vya msingi kama kupiga, kujibu meseji za kawaida na WhatsApp na kupiga picha za kawaida.

Lakini pia tecno zinasababisha watu wanakua hewani, hawapitwi na vitu vya msingi kwenye jamii.

Ni ukweli usiopingika kwamba kipato ndio kinasababisha mtu amiliki tecno. Watu wote tungetamani kua na iphone, Samsung high end phones lakini kikwazo ni kipato.

Kikubwa ni kua hewani, haijalishi uko hewani na kifaa gani cha mawasiliano.

Siidharau tecno kwa sababu kuna wakati ilinifichia aibu na kunistiri.
 
Hizi ndio busara, ila tecno maarifa zinawabeba wengi mno kwa ubovu wake
 
Mimi niliwahi kutumia Tecno S1 ikawa na matatizo hayo , yaani S1 ni simu ya hovyo kuwahi kutokea duniani nidhamiria kuto tumia tena brand yenu.
Hii ni flagship yao mkuu hivyo hayo mambo huwezi kuyakuta.
Hizo S1 S2 na aina nyingine ni kama matoleo tu ya muda mfupi kuchangamsha genge hata samsung anazo pia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom