Kama kuna kitu cha kisanii kwenye soka basi ni suala la dakika za majeruhi au dakika za nyongeza ambapo muamuzi huzitoa kufidia dakika zilizopotea.
Ukichunguza kwa makini utagundua hilo suala huwa ni utashi wa kamisaa wa mchezo akishirikiana na mwamuzi wa katikati kwa maslahi yao.
Hakuna mtu...
Ukiwa mjini utashangaa kuna kazi nyingi ili ziendelee zinategemea ujinga wa watu.
Kwenye lile suala la klabu moja inayoendeshwa kwa propaganda na milungura ya kutosha kununua mechi kwa njia ya kuhujumu kushirikiana na kampuni moja la betting,waliingia kwenye 18 za mawakili wasomi wakaweka pesa...
Nashauri Ile siku ya wajinga ambayo huwa ni tarehe 1 April Sasa iwe mei Mosi
Lengo la mei Mosi ilikuwa ni kujadili na kupata suluhu ya changamoto za wafanyakazi
Huku kwetu ni tofauti
1. Watumishi wanaandaliwa lisala ya kusifia serikali
Badala ya kulalamikia
2. Watumishi wamepewa Fulani na...
Naomba niliweke katika picha hii
Dini inafundisha katika muktadha wa software na hardware!
Dini ni platform ya kumuongoza mwanadamu kiroho na kimwili ili aondokane na mahangaiko na mateso kutoka kwa shetani.
Huwezi kuwahubiri watu wenye njaa wakakuelewa!
Huwezi kuwahubiri watu kiroho pasipo...
Kuna huyu Lema ambae amekuwa na tabia ya ovyo haswa pale ambapo anaona hapati sapoti aliyokuwa anataka apate.
Ni ukweli ulio wazi kuwa anayo elimu ndogo sana baada ya kushindwa kujiendeleza kielimu pale alipofeli kidato cha nne b,hata hivyo kwa elimu yake hiyo ndogo hastahili kuwa na ujinga wa...
Kitendo cha TAL kututetea na sisi kuendelea kulala majumbani kwetu inaonesha kuwa SISI sote ni wapumbavu na wajinga sana. Niliwaona Mababu zetu wajinga/wapumbavu kwa kitendo chao cha kumwogopa MWARABU mmpoja mwenye Jambia moja wakati wao wapo zaidi ya mia tano katika Msafara wa watumwa. Leo hii...
Inasemwa kwamba asilimia kubwa ya raia wa Marekani hasa rednecks ni watupu sana kuhusiana na mambo ya nje ya taifa lao. Kwa hapa bongo wazungu wa aina hiyo, Ni kama wanafunzi wa wanaosoma shule ya msingi ya kijijini, sekondari ya kata, chuo cha kata na kuishia kufanya kazi maisha yao yote kwenye...
Hamjambo Wote!
Mimi Niko fresh Kabisa, nashukuru Mungu anasaidia.
Kwenye Mada.
Nilikuwa nafuatilia kwa ukaribu Kabisa Sababu ya upole au tuite Ulofa kama alivyosemaga Hayyati Benjamin Mkapa.
Nikagundua kuwa Watanzania wengi upole wao( Ulofa) sio tabia wanaoipenda au kujivunia nayo na Wala sio...
Kabla ya mwaka 1582, jamii nyingi zilikuwa zinaadhimisha mwaka mpya tarehee 1 Aprili. Kumbuka karne hiyo papa alikuwa na nguvu kubwa ya kuamua chochote. Mnamo mwaka 1582, papa Gregory XIII akaamua kubadilisha kwamba mwaka mpya utasheherekewa inapofika tarehe 1 Januari.
Kuna watu hawakukubaliana...
Nashangaa bado kuna watu wanaiita tarehe 1 Aprili, "Fools' day," au siku ya wajinga. Siku hii ingefaa zaidi kuitwa siku ya waongo kwa sababu watu wengi wanaongea uongo ifikapo Aprili Mosi.
Kama umekuwa ukiitumia tarehe 1 Aprili kusema au kuandika habari za uongo basi ujue baba yako ni...
Kuna kitu kinawasumbua, Kuna kitu hawaridhiki nacho watanzania ndiyo maana wanakusanyika wakiamini drive aliyo nayo Lisu and chadema as a whole can make a difference kwa hicho kinachowasumbua!
Wanajua ubaya wa CCM , wanajua mapungufu ya CCM, lakini bado wana UOGA, wana uoga wa kusema wakiogopa...
Tokea kipindi cha mkapa mpaka leo tumekuwa kuwa ni watulivu na wastaimivu ambayo upande wapili ni kwamba hawa watu ni wajinga na waoga.
Leo nimekumbuka kipindi cha uchaguzi visiwani znz Marehemu Seif Sharif aliposhinda ilawale ccm wakataaa kukubari wazi mpaka walipo kuja kubembeleza mzee...
Ni wizi na kutafuta njia za kuiba tu. Umeme wa kusini mwa Tanzania unakuaje mbali kuliko umeme wa Ethiopia?
Lakini pili kuna bomba la gas toka mtwara kwanini wasipeleke bomba kaskazini la gas halafu Dar wakatumia umeme wa bwawa!?
Ukweli ndugu zangu ni mazingira ya wizi kwa watoto na ndugu wa...
Kila ulifanyalo Jaribu kuwaza ni athari gani utaleta,ikiwa ni negative basi fikiria mara mbili.
1.Watu wamesafiri kutoka mbali kwaajili ya hii kitu.
2.watu wamekodi usafiri na nyumba za kulala wageni Kwa starehe ya saa moja na nusu.
3.Mtu kakopa pesa anunue kifurushi ili aoneshe mpira kwenye...
Wanajukwaa la Sport habar,
Nimewaza tu hivi Mashabiki wa Simba haya Matatizo ni Kwa sababu ya Umaskin au Ujinga tuliona nao wa kukosa Elimu na kukosa kustaarabika?
Hivi Mchezaji anafanya kosa bado Match 10+ mnaenda kumshambulia Kiasi Kile serious?
Nani analikumbuka Kosa la Gerrad 2014 Tena...
Wanajukwaa la Sport habar,
Nimewaza tu hivi Mashabiki wa Simba haya Matatizo ni Kwa sababu ya Umaskin au Ujinga tuliona nao wa kukosa Elimu na kukosa kustaarabika?
Hivi Mchezaji anafanya kosa bado Match 10+ mnaenda kumshambulia Kiasi Kile serious?
Nani analikumbuka Kosa la Gerrad 2014 Tena...
Niliwahi sema aliesema mpira wa tanza kichwa cha mwendawazimu hakukosea kabisa. Yaan maamuzi ya kijinga ya kipuuzi kabisaa
Goli la simba offside kabisa hakuna goli kama lille hata kama mhamala wa simu umesoma. Amejizalilisha sana refa na wenzie Kaongeza dk 10 Unachezesha dk 13 Kwenye nchi za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.