wajinga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Viongozi waliojichagua wenyewe wanapata wapi nguvu za kufokea wananchi au watumishi wa Umma wananchi sio wajinga kama wanavyozani

    Suala la October 29 lilitakiwa kuamusha viongozi wote kutoka usingizini na wale wanaotaka uongonzi kwamba watanzania wameamka toka usingizini. Wananchi sasa hivi wanajua aya maigizo na ukweli sasa waliopora madaraka kwa...
  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mkiambiwa kuwa hamna akili msiwe wabishi. Kila kukicha wanaharakati wenu wajinga wanazusha mambo halafu mnataka serikali itoe majibu

    Hakuna serikali ya kijinga namna hiyo. Mange Kimambi anazusha Mafwele kabakwa halafu anasema serikali ikanushe na Mafwele ajitokeze. Kigogo 2014 anazusha Rais kafa, mnafurahi na kujifariji. Mkiona kimya anatokea Lema na Maria Sarungi mjaa laana wanasema serikali iseme Rais yuko wapi. Anatokea...
  3. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kwanini huwa napenda kuwaita wana CHADEMA na wapinzani watu wajinga?

    Prof. Suleiman au Solomon alisema hivi 👇👇👇 CHADEMA na wapinzani wana sifa ya kuitwa wajinga, tena wajinga sana. Maana kuna vitu ambavyo hata ukitumia akili ya Darasa la 3 tu unajua hiki kitu ni uongo kwa 100% lakini wao wanameza kama kilivyo. Jumapili njema.
  4. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Tukivuka hapa vigezo vya urais na ubunge vikazwe sana viwe vigumu ili kutopitisha wajinga chanzo cha kuharibika kwa nchi mauwaji, rushwa na utekaji

    Tukivuka hapa vigezo vya urais na ubunge vikazwe sana viwe vigumu ili kutopitisha wajinga chanzo cha kuharibika kwa nchi mauwaji, rushwa na utekaji. Hatua hii itajenga uongozi bora wa kisheria na kuwepo kwa uwajibikaji mzuri na kuhakikisha usalama wa rasilimali za nchi, vinginevyo mtaona mambo...
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CCM ni chama cha kisultani. Walalahoi wasio na mbele au nyuma wanaokishabikia ni wajinga. Watoto wa viongozi wa CCM wanarithishwa madaraka kisultani

    Leo hii hii nchi ni mali ya familia na koo za wanaCCM. Familia za akina Kikwete, Samia, Mwinyi Nyererere na hat akina Jenista Mhagama ndio wanarithishana madaraka ya nchi hii. Wewe mpuuzi ambae huna mbele wala nyuma CCM ya nini kwako?
  6. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Wanaume wajinga huwaruhusu wake zao kupakwa rangi kucha zao. Ni ajabu!

    Hii ni special kwa wanaume wajinga wajinga wasio jielewa wale familia yake inaendeshwa na mke wake. Hawa mara nyingi sana husema mwanamke kama anataka kukuchiti atachit tu hata kama umchunge namna gani. Wanaume hawa huwapa hela wake zao wakafanyiwe massage 💆‍♀️ (waogeshwe na mwanaume mwingine)...
  7. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Morogoro msaada: Huko mvua zinanyesha au DAWASA wanatugeuza wajinga?

    Dar es Salaam na Pwani mvua hainyeshi kama tulivyoaminishwa na TMA. Ila ata ikinyesha uwa haina msaada sana kwenye kuongeza maji kwaajili ya “intake” za DAWASA walizozitega Ruvu juu na chini. Mvua za Morogoro ndio mkombozi wetu. Milima ya Uluguru ndio kimbilio letu. Sasa naomba kuuliza, huko...
  8. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Waumini 120 wa kanisa 'katoliki' walivalia njuga suala la 'ulofa' na 'wajinga' wasema Ruwa’ichi alitumia madhabahu kuwatukana

    Wanaodai kuwa Waumini wa Kanisa Katoliki, leo Januari 5, 2026 wamefika katika Ubalozi wa Vatican kuwasilisha barua rasmi ya malalamiko dhidi ya Askofu Mkuu wa Jimbo la Dar es Salaam, Jude Thaddaeus Ruwa’ichi pamoja na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles...
  9. albab

    JamiiForums Tanzania RC Serikali na wananchi sio wajinga kiasi hicho mnachodhani

    Kuna propaganda za kijinga sana zinaendelea kupitia mitandao ya kijamii ambazo kimsingi waandaaji wanajiona ni wajanja sanaaa kumbe wapo nyuma ya wakati. Propaganda hizi zinalenga kuamsha hasira za wananchi hasa kundi la vijana. Kimsingi zinakuja na ajenda ya kukumbusha mauji ya MO29 na...
  10. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi kashapewa pesa atulie kimya, wajinga ndio waliwao

    Mange kimambi kakatiwa kibunda chake Cha maana mapema sana baada ya serikali batili ya tanzania kutembeza mkong'oto Kwa manyumbu wasiojielewa kaingiza mitini Instagram Kwa kigezo kwamba kafungiwa account wakati kaifunga makusudi Kwa maelekezo ya Samia baada ya kupewa mpunga kama kweli kafungiwa...
  11. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Haya nyie wajinga, vipi ICC file liko chumba nambari ngapi?

    Wenye Dunia na wamiliki wa ICC jana wameisifu Tanzania. Watu wakikosa strategic planning ya siasa kazi yao kubwa itakuwa kudandia dandia mada . Suala la umeme limetatuliwa sasa wamehamia kwenye maji, kwenye maji nako kukikaa sawa watahamia kwenye jua. Kwa ufupi wapinzani Ikulu mtaingia ila...
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Wapinzani kwa ujinga huu hamtaiongoza nchi hii mpaka Yesu arudi. Abadani

    Wapinzani wapo kama milofa fulani, wanasubiri tukio ndio wadandie mada kama komba. Kila tukio linalotokea Tanzania wapinzani lazima walidandie. Liwe zuri au baya. Soon sasa hivi wapinzani watapita na trend ya mgao wa maji. Serikali ikifix wanakaa kimya na kutafuta jambo jingine. Sasa mjinga...
  13. Mafunzo yote ya Udereva

    JamiiForums Tanzania Nchi haiwezi kukombolewa na watu wajinga!

    Mimi siisapoti CCM ila ni Mwafrica mwenye IQ kubwa Sana Najiuliza na nacheka Mange , Dangwa n.k hawa vilaza kweli wanaweza kukomboa nchi.!!!? Mkiendele na huu ujinga wakuwasikiliza watu waliojikatia tamaa na wajinga mtakuja kupata shida ya Akili Yule Mange kilaza aliyevujisha video ya prof...
  14. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Vijana wajinga walikuwa wanasubiri jeshi lichukue nchi na kumuondoa Samia kwa amri ya Mange Kimambi

    Samahani sana kama nitawakwaza kwa kusema 'Tanzania ina vijana wajinga sana'. Chanzo chao cha habari za kuaminika ni Millard Ayo. Chanzo chao cha maarifa na Elimu ni Mange kimambi. Vijana wa Tanzania waliamini kwa 80%-90% au zaidi kuwa Tarehe 29 September jeshi la ulinzi lingekwenda kuipindua...
  15. Mayu

    JamiiForums Tanzania Hotuba za Mwigulu; Hivi ni kweli Watanzania ni wajinga kiasi hiki?

    Hivi hizi POROJO za Mwigulu ni kwasababu anajua Watanzania ni WAJINGA na wataami au hawana jinsi watakubaliana naye TU Au HAJUI kwamba Watanzania sio WAJINGA tena na WANAJUA wanachokipambania?
  16. Logikos

    JamiiForums Tanzania Je tunazidi kuwa Wajinga - The Rise of Homo Idioticus: Are We Getting More Stupid?

    Hii ni article ya Cezary Pietrasik; Nachelea kusema ni kweli kuna rise of Mass Stupidity na Decline of Critical Thinking inayosababishwa na information overload hivyo watu kuacha kutumia muda wa kuchambua mambo badala yake kuachia wengine wawaze kwa niaba yao. Article by Cezary Pietrasik: Key...
  17. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Video: Sitaki kulala ndani kwa ajili ya watu wajinga, tukubaliane na aliye madarakani amani ndiyo kila kitu

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ametoa ruhusa kwa magari ya abiria kuanza kutumia barabara ya Mabasi Yaendayo Haraka Awamu ya tatu inayoanzia katikati ya jiji la Dar es Salaam kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa JNIA hadi Gongo la Mboto kwa lengo la kupunguza msongamano wa magari katika...
  18. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Naona muelekeo mbaya sana juu ya mustakabari wa taifa letu. Bado WanaCCM wanaona raia ni wajinga na Mbumbumbu

    Kwamba kuna mataifa ya jirani tena ndani ya jumuia ya Afrika Mashariki yanaonea wivu rasilimali za taifa letu. Makaa ya mawe, chuma cha Liganga na Mchuchuma, Bandari ya Dar es salaam na Gasi ya Mtwara. Ndio maana haya mataifa ya jirani yakawachochea wananchi kuingia barabarani kabla hata...
  19. October 2pm

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Aliye karibu na Askofu Gwajima mwambie ahame Location, wajinga washanasa

    Mpaka sasa askofu alihama maeneo zaidi ya mara tatu. Mara ya mwisho alikuwa Mikocheni karibu na Ubalozi wa deshideshi. Walahi sijui! Najuzwa alitaka kuvuka mpaka lakini ikashindikana. MO29 ilimkuta Safehouse mayii mayii. Hapa najuzwa huko alipohamia kuna wahuni wametrack node na wameinyaka...
  20. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Hawa wajinga wanaukosea sana uislamu, wanataka tuonekane wote ni wajinga

    Je! Baada ya kuua maelfu ya Watanzania, Wauaji wanacheza karata ya udini kwa kuwatumia wapumbavu wanaojiita Waislamu? Je! Baada ya kutengeneza utawala wa kuteka, kutesa, kupoteza na kuua wakosoaji wa CCM, sasa wanaongeza na kueneza chuki za kidini? Uislamu ni dini ya HAKI. Uislamu ni dini ya...
Back
Top Bottom