Kuna taifa la magharibi lenye wazungu wengi wajinga kama Marekani ?

Kuna taifa la magharibi lenye wazungu wengi wajinga kama Marekani ?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,841
Reaction score
110,929
Inasemwa kwamba asilimia kubwa ya raia wa Marekani hasa rednecks ni watupu sana kuhusiana na mambo ya nje ya taifa lao. Kwa hapa bongo wazungu wa aina hiyo, Ni kama wanafunzi wa wanaosoma shule ya msingi ya kijijini, sekondari ya kata, chuo cha kata na kuishia kufanya kazi maisha yao yote kwenye mkoa huo huo walioazaliwa.
20250415_182921.jpg
 
View attachment 3305384
Acha wauane
 
Wabongo bwana....kweli makenge tuu. Sasa mnawaona wenzenu maboya wakati watoto wenu wanakunya vizuri kwa sababu ya vyoo walivyowapa wao
Hiyo sio sababu ya Kutokuwa na akili na kutowakosoa
 
Hiyo sio sababu ya Kutokuwa na akili na kutowakosoa
Sasa unakosowa nini na wee huna akili bwana....yaani kwanza sie watz tufwate mkia kabisa sie ndio wajinga mpaka mbinguni wana channel apecial ya comdy wana tune in tz kucheki comedy zetu.

Juzi shetani aliwachungulia malaka huko mbinguni wanacheka wakiona tunatoa maji kwa uwanja na bathroom wiper na magodoro.
 
Back
Top Bottom