wafanyakazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa Usangu Logistics wasomewa amshtaka 460 kwa masaa 6

    Katibu Mukhutasi wa Kampuni ya Usangu Logistics (T) Ltd, Tamal Ramja (24) na Meneja wa Kampuni hiyo, Salum Salim (37) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu mashtaka 460 yakiwemo ya kula njama, kughushi saini na kujipatia Sh428 milioni mali ya kampuni hayo. Washtakiwa hao...
  2. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania Serikali kushindwa kulipa malimbikizo ya wafanyakazi ni aibu

    Imekuwa ni porojo tu utumishi huko na hazina. Bora tu kaondoka Jenista maana alikuwa gundu watu hawalipwi madai yao! Hivi Serikali mnawaona wafanyakazi wanyonge au mapoyoyo? Kutwa kujifanya mnaandaa malipo ya malimbikizo na hamlipi? Je, Rais naye anadanganywa kuhusu hili?
  3. mkwapuaji

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya wafanyakazi, wafanyabiashara na wakulima

    Kila uchwao ni kilio cha maisha magumu ambacho hutoka kwa mnyonge kwenda kwa mtawala. Dhamana ya kilio hiki anayo mtawala ambaye ana matakwa ya kutatua ama kutokuitatua changamoto husika kutokana na uwepo wa rasilimali za kutosha au maamuzi binafsi. Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  4. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi TTCL kupelekwa TRA na bandarini

    Wakati shirika la simu Tanzania ( TTCL) likiwa katika hatua za mwisho mwisho kufunga operasheni zake upande wa simu na kuwaacha wenzao upande wa mkongo wa taifa kuitikia wito wa mama Samia, bashasha zimetawala nyusoni mwa wafanyakazi wengi. Kitu pekee kinachoweza kuwa hasi kwa wafanyakazi hao ni...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi Zanzibar waongezewa Tsh. 47,000 kima cha chini cha Mshahara

    Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imetangaza kima cha chini cha mishahara kwa sekta binafsi, kikipanda kutoka Sh300,000 hadi kufika Sh347,000. Akitangaza viwango hivyo jana, Waziri wa Nchi Ofisi ya Kazi, Uchumi na Uwekezaji, Mudrick Ramadhan Soraga alisema viwango hivyo vitaanza kutumika Aprili...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Wafanyakazi wa Umma waongezewa mshahara kwa 100%

    Serikali imebainisha kuwa lengo la ongezeko hilo ni kurahisisha maisha kwa Wananchi ili wamudu gharama mbalimbali kutokana na mfumuko wa bei ambao umeongezeka kwa 92.3%. Inamaanisha kuwa bei katika maduka imepanda kwa karibu kiwango sawa na nyongeza ya mishahara. Ongezeko la mshahara limeanza...
  7. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Gavana aagiza Wafanyakazi kutoa 10% ya Mishahara yao Kanisani

    Gavana wa Kenya amewaamuru watendaji wapya wa kaunti kutoa sadaka ya 10% kutoka kwenye mapato yao kwa kanisa. Gavana wa Nandi Stephen Sang alisema agizo hilo linahitajika kwa sababu makanisa ya eneo hilo yanahitaji uungwaji mkono kutoka kwa viongozi na serikali ya kaunti. "Maafisa wakuu...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi waliopo chini ya Hospitali za dini (FBO) wanaolipwa mishahara na serikali

    Wafanyakazi wanaofanya kazi chini ya hospitali za kidini, yaani muajiri wao ni FBO lakini wana check namba na wanalipwa mshahara na serikali, Je Inawezekana mfanyakazi huyu kuhama kuhamia kituo cha serikali 100% Vipi kuhusu Haki zao zingine za kiutumishi kama vile kujiendeleza kielimu...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Wafanyakazi Janejelly Ntate Ampongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa Miaka Miwili Madarakani kwa Aliyoyafanya kwa Watumishi

    MBUNGE WA WAFANYAKAZI JANEJELLY NTATE AMPONGEZA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KWA MIAKA MIWILI MADARAKANI KWA ALIYOYAFANYA KWA WATUMISHI Mbunge wa Viti Maalum, Mwakilishi wa Wafanyakazi Nchini anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Janejelly James Ntate amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  10. K

    JamiiForums Tanzania TUCTA: Miaka miwili ya Rais Samia ameonyesha kuthamini wafanyakazi

    SHIRIKISHO la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), limesema katika miaka miwili ya uongozi wa Rais Dk Samia Suluhu Hassan amewafanyia mengi wafanyakazi ikiwa ni pamoja na kuongeza mishahara watumishi wa kima cha chini kwa asilimia 23.3. Katibu Mkuu wa Tucta, Hery Mkunda alisema hayo mjini...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Wafanyakazi Janejelly James Ntate azungumza na Watumishi Ofisi ya RAS Dar es Salaam

    MBUNGE WA WAFANYAKAZI MHE. JANEJELLY NTATE AZUNGUMZA NA WATUMISHI OFISI YA RAS (KATIBU TAWALA MKOA) DAR ES SALAAM Mbunge wa Viti Maalum Wafanyakazi Taifa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Janejelly James Ntate leo tarehe 08 Machi, 2023 amezungumza na watumishi Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam kikao...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Msishangilie Sakata la Feitoto bali litumieni kama shule; waajili wengi hawapendi maendeleo ya wafanyakazi

    Elimu haina mwisho! Kila jambo halitokei pasipo sababu! Ili kuweka misingi ya kisheria ya makubaliano yoyote huwa kuna mkataba! Iko aina mbali mbali ya makubaliano! Kuna ile ya kimaandishi na ile ya kimaneno! (Recorded contract) Lakini pamoja na mambo yote mkataba huwa siyo msaafu wala...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mali: Wafanyakazi wawili wa Shirika la Msalaba Mwekundu watekwa

    Watoa huduma hao wanaofanya kazi na Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu (ICRC) wametekwa wakati wakiwa barabarani Kaskazini Mashariki mwa Miji ya Gao na Kidal. Mali imekuwa na changamoto ya usalama tangu Mwaka 2012, matukio ya utekaji na kisha watekaji kutaka fedha ni ya kawaida kutokea...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa Ikulu ya Kenya kuanza mfungo wa kutokula ili kuombea Nchi

    Rais wa Kenya, William Ruto na mkewe wametambulisha mfumo mpya wa kufanya maombi kwa ajili ya Nchi hiyo kwa kufunga kutokula na kufanya maombi mara moja kwa wiki ikidaiwa kuwa utaratibu huo pia unaweza kuanza kutumiwa na wafanyakazi wa Ikulu. Utaratibu unatarajiwa kufanyika kila Jumatano ambapo...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Mashirika ya kimataifa yanayofanya kazi yananyanyasa sana wafanyakazi katika malipo, utafiti unaendelea

    Nimefuatilia utaratibu unaotumiwa na watendaji wanaohudumu kwenye mashirika ya kimataifa na kubaini Kwa hatua za awali mambo yafuatayo; 1. Mashirika haya yanakataa kulipa watu wanaofanya nao kazi stahiki zao Kwa wakati Kwa kisingizio kwamba wakilipwa hawafanyi kazi. Hii ipo zaidi kwenye posho...
  16. Nyanswe Nsame

    JamiiForums Tanzania Mradi wa maji Butimba umekwama, wafanyakazi wagoma

    Mradi wa maji Butimba umekwama, wafanyakazi wagoma Wafanyakazi 200 katika mradi wa chanzo cha maji Butimba wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza wamegoma kwa kile kinachotajwa wameshindwa kulipwa mishahara yao. Mradi huo unaojengwa kwa gharama ya zaidi ya shilingi bilioni 60, lakini wafanyakazi...
  17. beth

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa European Commission watakiwa kuondoa TikTok kwenye simu zao

    Watendaji wa Kamisheni ya Umoja wa Ulaya (EC) wametakiwa kuondoa TikTok katika Vifaa vyao kufikia Machi 15, 2023 Mtandao huo Maarufu umehojiwa mara kadhaa kuhusu Usalama wake kutokana na madai unavuna Taarifa Binafsi za Wateja na kuzitoa kwa Serikali ya China Nini maoni yako kuhusu hatua hii...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania India: Kampuni yalazimisha wafanyakazi waondoke ofisini muda wa kazi ukiisha

    Kampuni moja imeanzisha utaratibu huo maalum kwenye mfumo wa kompyuta za ofisini ambao dakika 10 kabla ya muda wa kazi kumalizika unatokea ujumbe ulioandikwa “Muda wa kazi umeisha, mfumo utazima baada ya dakika 10 NENDA NYUMBANI” na ukifika muda huo mashine zinazima. Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya...
  19. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Kikokotoo: Wafanyakazi ambao wamebakiza muda mfupi kustaafu ni kilio kila kona ya nchi

    Ndugu zangu nimekutana na wazee wenye heshima zao na wamo ndani ya CCM wakilaumu mpango mzima wa Serikali wakutaka kupora hela zao za kustaafu eti kwa kigezo cha kuwapa kidogo kidogo kustaafu kitendo hicho wanakilaani kwa maneno ya chini kwa chini bila kujitokeza hadharani. Nimewambia wapeleke...
  20. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania TUCTA pamoja na nyie kuwa chawa wa CCM, kuwanyamazisha wafanyakazi ni dharau

    Kitendo cha TUCTA kudhani kuwa wanamjibu Heche kuhusu wafanyakazi kuporwa haki yao ya mafao kwa kumuambia eti wamekubaliana na serikali na mjadala umefungwa hiyo ni kuwadharau wafanyakazi. Heche hahusiki na pensheni za wastaafu ila aliongea akiwa na haki ya kutoa maoni dhidi ya wafanyakazi...
Back
Top Bottom