CK Allan
JF-Expert Member
- Aug 14, 2013
- 2,729
- 5,923
Haya ni maoni yangu binafsi kama tujuavyo mara baada ya Raisi magufuli kuingia madarakani haki MBALIMBALI za wafanyakazi ikiwemo nyongeza ya mishahara na kupanda madaraja vyote vilisimama,
Na kupekelekea wafanyakazi wengi ikiwemo walioajiriwa mwaka 2014 kusota na mshahahara ule ule.
Hatimaye mwaka 2021 (miaka Saba ) baadae ndio Mtumishi huyu anapanda daraja,
Wapo pia ambao walipanda madaraja yao na kunyang'angwa na ndipo serikali hii ya Mama Samia ikaona angalau nao wapande mserereko,
Hata hivyo Kwa hoja ya kupanda angalau miaka minne
Basi mwaka 2022 walioajiriwa mwaka 2014 tayari ni miaka 8 wakiwa na daraja Moja!.
Serikali pia inaweza kuwatazama na hawa pia ili kubalansi kumbuka kutopanda daraja Kwa wakati Kuna madhara makubwa wakati wa kustaafu
Nawasilisha