Dada angu anafanya kazi kwa wahindi, ananyanyaswa na kushikwa sehemu za siri

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
14,304
29,835
Samahani kwa kutokusalimia.

Nipo katika tafakuri nzito yenye sonono ndani ya moyo wangu, binafsi nikionaga mwafrika ananyanyasika ndani ya nchi yake moyo wangu huwa unalipuka na kukosa amani kabisa. Kama mna kumbukumbu kuna siku niliwahi kutoa thread kulaani na kulalamika kwa nilichokikuta nilipoenda kumtembelea Dada angu na kukuta wanamnyanyasa na kumpa kipolo cha wali wa kwenye friji wao wanakula cha siku hiyo kikiwa cha moto na mpishi ni dada angu ila kula chakula kilichopikwa siku hiyo hatakiwi, sio taratibu ni sheria.

Sasa Jana nilienda kumuona tena Upanga, nilichokikuta sikuamini macho yangu mpaka nilipovua miwani ndipo nikajua haikuwa illusion Bali ni ukweli wa macho ya nyama. Nikifika saa saba mchana akanipokea nikakaa sebleni, nilipofika nilimkuta yeye na wakaka fulani ni wahindi lakini cha ajabu niliposalimia hawakupokea wao wakawa busy kuangalia movie kwenye laptop, nikajua hawajaskia nikasalimia tena kwa sauti nikaona wamenitazama ila ni mmoja tu akapokea salamu kwa tabu sana tena sauti ya chini ila kwa kuwa sio jambo geni Kwangu sikujali.

Ajabu nilichokiona Kuna watoto walitoka shuleni kuingia tu nikaona mmoja kaenda kwa Dada bila kunisalimia akaanza kumshika matiti mwingine wa pili akijalibu kumkatia kiuno huku akiguniza ashiii ashiii ashiiit, nikajisemea huu upuuzi siwezi kuuvumilia, nikawaambia kuweni na adabu lakini cha ajabu mmoja akaenda kumsukuma kichwa Dada angu akisema tumiminie Chai hujui tumetoka shule tuna njaa?. Wale waliokuwa wanaangalia movie wakaingia ndani huku wakilalama kwa lugha zao wakuonesha kukwazika kwa uwepo wangu.

Dakika tano baadae akaingia mama mwenye nyumba kwa mujibu wa Dada angu alivoniambia, alipoingia nilisalimia lakini hakupokea ila akamwambia Dada yangu tutoke ndani twende nje anataka apumzike sebleni. Nilijiskia huzuni kuona hawathamini wageni wa mfanyakazi na wanatutreat kama wanyama ilihali wao ni wahindi na sisi ni watanzania wazawa wenye nchi yetu.

USHAURI : Dada zangu napiga magoti kuwaomba msije kwenda nchi yoyote ya kiarabu au kwa wahindi kule utaishi kama mnyama, please kama ni kazi tafuta ndani ya Africa our motherland. Africa ni nzuri yenye uadilifu mkubwa na upendo ni Bara lenye bahari, maziwa, mito, mabwawa, milima, mabonde, mazao ya kutosha, ardhi yenye rutba na mifugo ya kila aina, Madini ya kutosha, our Africa is blessed jamani kwa wahindi mnatafuta nini jamani .
Screenshot_20220525-092220_2.jpg
 
Kwa uzi huu,kwa kusoma heading tu,huoni km na wewe unamdhalilisha dada yako??. Kulikuwa na sababu gani hadi kusema kabisa kuwa anashikwa sehemu za siri??.Ungesema tu kuwa anadhalilishwa ingetosha Mkuu,Watu wazima tunakuwa tayari tumeshaelewa.
 
Umeongea na dada yako? Usikute dada yako anapenda kushikwa matiti na wahindi.

Tuache kabisa we jamaa na story yako ya kutunga,mara uchukie waafrika/watanzania kunyanyasika ndani ya nchi yao,mara utoe ushauri waafrika wasiende kufanya kazi Kwa wahindi au waarabu. Inamaana umeshasahau kuwa dada yako ananyanyaswa hapahapa Tanzania? Acha bange basi
 
Pole sana Ndugu,ila kwa kitu kama hicho unaweza hata record kupata ushahidi,unafungua kesi mahakamani,Huo ni unyanyasaji tu kama unyanyasaji mwingine..
Na anaweza lipwa,hapa pia ndio napoonaga pagumu kwa hivi vyama vya HAKI ZA BINADAMU (HRW),Wamekalia siasa tu,wakiingia kwa wafanyakazi humo kuna matatizo makubwa sana..
 
Yani nchi ya kwetu bado hawa wapuuzi wanatubagua
 
Huwa nasema siku zote,ukiondoa wazungu,race zilizobaki ni adui namba moja wa mtu mweusi

linapokuja swala la ubinadamu,mzungunakimuajiri mtu mweusi anamtreat vizuri sn kuliko hata hao waarabu na wazungu

Kingine; wahindi na waarabu ndy wanaongoza Kwa udhalilishaji wa kingono Kwa mtu mweusi..Hawa si watu wazuri kbs

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Umeongea na dada yako? Usikute dada yako anapenda kushikwa matiti na wahindi.

Tuache kabisa we jamaa na story yako ya kutunga,mara uchukie waafrika/watanzania kunyanyasika ndani ya nchi yao,mara utoe ushauri waafrika wasiende kufanya kazi Kwa wahindi au waarabu. Inamaana umeshasahau kuwa dada yako ananyanyaswa hapahapa Tanzania? Acha bange basi
We jamaa utakuwa mwarabu au muhindi..mbona jamaa maelezo yake yanajitosheleza na yamenyooka.Nani asiyejua hii Tabia ya wahindi ya udhalilishaji wa kingono?

Mfano huko Facebook wamejaa wahindi wenye Tabia za hovyo.unakuta anampigia binti video call huku yupo chooni anapiga nyeto au anatuma video za bolo lake na kuomba picha za uchi..vipi kuhusu hawa wanaokutana nao live na dada zetu huko kariakoo na upanga si ndy balaa kinakuwa kubwa zaidi?

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Sina ndugu, jamaa hata rafiki na hao viumbe sijui nyarabu, hindi ni wapuuzi na wapumbvu..

Bora wale wakoloni zetu waingereza hawanaga ujinga huo
Nilishawahi kupanda daladala tunatoka kawe nimekaa Siti moja ya nyuma kabisa na muhindi,punde akatoa simu akaanza kuangalia porn tena sauti ya mwanamke akigulia utamu ipo juu sn. Watu wakaishia kumwangalia na kupotezea lkn yeye hakujali

Sijui wanatuchukuliaje hawa jamaa Sisi watu weusi,ni watu wa hovyo sn

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Hao wanaodhalilishwa hawajitambui,mimi unufanyie mambi ya ajabu huku mimi ndo nawalea hapo,ntawalisha sumu mpka akili ziwakae sawa.
 
Huwa nasema siku zote,ukiondoa wazungu,race zilizobaki ni adui namba moja wa mtu mweusi

linapokuja swala la ubinadamu,mzungunakimuajiri mtu mweusi anamtreat vizuri sn kuliko hata hao waarabu na wazungu

Kingine; wahindi na waarabu ndy wanaongoza Kwa udhalilishaji wa kingono Kwa mtu mweusi..Hawa si watu wazuri kbs

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Ngoja Waarabu wa Buza waje!
 
We jamaa utakuwa mwarabu au muhindi..mbona jamaa maelezo yake yanajitosheleza na yamenyooka.Nani asiyejua hii Tabia ya wahindi ya udhalilishaji wa kingono?

Mfano huko Facebook wamejaa wahindi wenye Tabia za hovyo.unakuta anampigia binti video call huku yupo chooni anapiga nyeto au anatuma video za bolo lake na kuomba picha za uchi..vipi kuhusu hawa wanaokutana nao live na dada zetu huko kariakoo na upanga si ndy balaa kinakuwa kubwa zaidi?

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Kwanini wakafanye kazi Kwa wahindi au waarabu? Hayo mengine yakujitakia tu. Mimi ngozi nyeusi tu
 
Back
Top Bottom