wafanyakazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Nchini (Tucta), Tumaini Nyamhokya, waliokumbwa na vyeti feki wanalipwa kwa formular ipi?

    Wakati Rais Samia anatangaza kuongeza watumishi mishahara kwa 23% wengi walifurahia ila mwishoni wengi waliambulia Tsh 12,000 kwenye mishahara yao baada ya kukatwa kodi. Sasa hii ya watumishi wenye kesi ya Jinai ya kufoji vyeti kulipwa mafao yao wafafanulie ni kiasi gani wanalipwa Ili...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Ruto afanya uteuzi wa wafanyakazi wapya Ikulu

    Uteuzi huo unajumuisha watu 10 ambao watakuwa wakifanya kazi kwa karibu na Mkuu huyo wa Nchi. Baadhi ya majina mashuhuri kwenye orodha hiyo ni pamoja na aliyekuwa mwanahabari wa Citizen TV Hussein Mohamed ambaye ameteuliwa kuwa Msemaji wa Ikulu na mwanauchumi David Ndii ambaye ameteuliwa kuwa...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa BoT waliochana noti za Tsh. Bilioni 4.6 hali tete

    Upelelezi katika kesi ya uhujumu uchumi inayowakabiliwa washtakiwa 13, wakiwemo waliyokuwa watumishi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), bado haujakamilika. Washtakiwa hao wanakabiliwa na mashitaka matano, likiwemo kuharibu noti 4.6 milioni kwa kuzichanachana na hivyo kuisababishia benki hiyo hasara...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Serikali imeshindwa kuondoa vishoka katika ofisi zao au imeamua uwe mradi kamili wa wafanyakazi?

    Zamani ilikuwa ukifika ofisi za TRA au TANESCO basi ni lazima ukutanane na watu wanaoitwa vishoka, nina uhakika kwa sasa watu hao wamesambaa kwenye ofisi nyingi tu. Binafsi sijawahi kufanya kazi na hao watu kwa kuwa naelewa wapo nje ya mfumo wa ofisi husika, lakini nimeshashuhudia mara kadhaa...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya wafanyakazi 150 wapoteza kazi baada ya kusitishwa ujenzi wa hoteli

    Wafanyakazi 150 wa Mradi wa ujenzi wa hoteli ya nyota tano Blue Amber, wamepoteza kazi baada ya Wizara ya Ardhi kusitisha mkataba wa ukodishaji ardhi kwa Kampuni ya Pennyroyal Zanzibar licha ya kuwapo amri ya Mahakama ya kutaka ujenzi kuendelea. Wakizungumza na waandishi wa habari, wafanyakazi...
  6. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded CCM lipeni haki za waandishi wenu (NSSF na madai mengine)

    Naandika hii taarifa kwa niaba ya wafanyakazi wa Uhuru Publications Limited ambao wapo na wale ambao walishaondoka hata waliokufa pia, pamoja na wastaafu. Kampuni hiyo yenye gazeti la Uhuru na Mzalendo inadaiwa mamilioni ya fedha za malipo ya mafao pamoja na michango ya wafanyakazi tena ni ile...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Serikali iruhusu ushindani wafanyakazi wajiunge na bima ya afya wanayoitaka

    Hadi sasa kuna kampuni nyingi za bima ya afya nchini ikiwemo NHIF. Cha ajabu, katika mazingira sawa ya kibiashara licha ya NHIF kuwa na upendeleo wa kuwa na wanachama wengi kuliko kampuni zote za bima nchini kwa kujaziwa wanachama lukuki kutoka serikalini na taasisi za serikali, ni NHIF pekee...
  8. benzemah

    JamiiForums Tanzania Miezi tisa Radio 5 Arusha inayomilikiwa na Lowassa haijalipa mishahara wafanyakazi wake

    "ANDIKO HILI LIMETOLEWA NA WAFANYAKAZI WA RADIO 5 ARUSHA" "Habari za wakati huu wanahabari wenzetu. Sisi ni Wafanyakazi wa Radio5 Arusha iliyo chini ya TAN COMMUNICATION MEDIA ambayo inamilikiwa na Familia ya Mzee Edward LOWASSA kwa masikitiko kabisa tunalazimika kuandika ujumbe huu kueleza...
  9. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania Suala la Tozo hamjaweka hata huruma kwa pesa za makanisa, misikiti, ada za watoto wetu, wazee wastaafu na mishahara ya wafanyakazi

    Hali ni mbaya kwa kweli laana inatutembelea kwenye Tozo Hivi kweli Tozo mmeigeuza kama KODI jaman? Hadi akaunti za Shariah mnakata tozo? daah. Nijuavyo mie kwanza ilitakiwa kila mwezi tuambiwe imepatikana kiasi gani hilo limeshapotezewa skuhizi. Pili je hii tozo ni mpaka lini au ndio milele...
  10. IKUNGURU IJIRU CHUKU

    JamiiForums Tanzania Hivi hawakuangalia hili la tozo kwa wafanyakazi?

    Aliyeleta wazo la Tozo za Bank transfer alilenga kila mshahara wa watumishi wa serikali ukatwe kwa sababu mishahara yote inapita benki lakini kasahau kuwa mshahara huo huo umeshakatwa PaYE na kwa sheria za kikodi upaswi kufanya double taxation,Kama ikiendelea wafanyakazi mtaumia
  11. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania NI Ujinga uliopitiliza kuongeza Posho za safari mpaka Tsh 250,000 kwa siku huku mkitujazia matozo kila sehemu sie walalahoi.

    Rejea Gazeti la Mwananchi la May 27, 2022 Serikali imetoa kibali cha kurekebishwa kwa posho ya kujikimu safarini kutosha Sh120,000 hadi Sh250,000 kwa daraja la juu na Sh80,000 hadi Sh100,000 kwa daraja la chini. Taarifa hiyo imetolewa leo Ijumaa Mei 27, 2022 na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais...
  12. Etwege

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu tumia nguvu kubwa kutetea wafanyakazi

    Tundu Lissu mwanasheria nguli tunakuombea uachike huko Ubelgiji kwa Amsterdam urudi Tanzania utetee wafanyakazi wanaoteseka na mfumuko wa bei na uongezwaji hafifu wa mishahara yao. Ukiwatetea kwa juhudi kama ulivyokuwa unawatetea Acacia wakati wakiibia madini watanzania hakika utabarikiwa sana...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Serikali, huu ndiyo muda muafaka wa kubadilisha sheria za wafanyakazi; Nyongeza ya mishahara iwe ni kwa wafanyakazi bora au maalum tu

    Naomba kutoa Rai kwa serikali! "Ukicheka na nyani Utavuna mabua" TUCTA must watch out! Kuna HAKI na WAJIBU wa kila MTU Haki ya mfanyakazi ni kulipwa ujira wake kama kanuni zinavyosema! LAKINI wajibu wa mfanyakazi ni kufanya kazi bora ili mwajili awe na sababu ya kulipa ujira huo hata Zaidi...
  14. National Antique

    JamiiForums Tanzania Natamani sana mabibi na mabwana shamba tuanzishe chama chetu cha kututetea

    Natamani sana mabibi na mabwana shamba tuanzishe chama chetu. Ukiangalia wafanyakazi wenzetu kwenye wizara zingine wana vyama vyao vyenye nguvu kuwatetea katika mambo mbalimbali ya maslahi yao! Sisi tumelala Sana hatuna hata wa kutusemea na badala yake tumegawanyika wengine wanajiona Bora...
  15. Shabeli

    JamiiForums Tanzania Nafasi zipi za kazi zipo ndani ya kiwanda cha maziwa?

    HABARINI Ninashida ya kujua nafasi za kazi zinazopatikana kwenye kiwanda cha kusindika maziwa mfano benki kuna afisa mikopo na wenge. Je, kwenye kiwanda cha maziwa ni nafasi gani zipo? Asanteni
  16. vnn

    JamiiForums Tanzania Bifu kati ya wafanyakazi (walimu) na graduates (Jobles) inazidi kupamba moto

    Hapa katikati naona kama bifu kati ya wafanyakazi hasahasa walimu na jobless inazidi kuota mizizi hii nibbaada ya walimu wengi kupigana vikumbo na jobless kwenye kazi za sensa ongezeko la mshahara wa 23.3% isiyoeleweka limefanya walimu wadhihakiwe kila sehemu, sasaivi kila kitu wanaangushiwa...
  17. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi msije hamishia hasira za mshahara mpya wa mchongo kuharibu Sensa 2022

    najua wafanyakaz wengi mtakuwa mmepata nafasi ya kisimamia sensa 2022 chonde chonde sensa ni kwa ajili ya kupanga maendeleo yetu wenyewe ni kama jicho la serikali kujua wapi wapeleke nini najua kumetokea kanjanja kubwa kwenye mishahara mipya ila isiwakatishe moyo mkaharibu hili zoezi! kuna...
  18. CK Allan

    JamiiForums Tanzania Tucta na Serikali lao Moja, wafanyakazi msitegemee jipya

    Hatimaye baada ya lile jambo kugeuka 'kijambo' Raisi wa TUCTA , Ndg Tumaini, alijirekodi kwenye video fupi akisema hata yeye amepigwa na butwaa na hajui kitu Gani kimetokea! Kumbuka baada ya Mei Mosi huyu Rais wa TUCTA akihojiwa na Gazeti la mwananchi alisema 'wao' wanajua kiasi kilichoongezeka...
  19. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi poleni sana lakini tija ya kazi ni kama hakuna!

    Jana na juzi mitandaonii imekuwa na malalamiko mengi ya nyongeza kiduchu katika mishahara. Watu walitegemea mabulungutu ya bure kutoka serikalini. Nasema ni ya bure kwa sababu ofisi nyingi kama siyo zote, HAKUNA utendaji wenye tija. Ingekuwa ofisi za serikali, watumishi wakahamishiwa ofisi za...
  20. Protector

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa Umma waongezewa mshahara mkia wa mbuzi

    Husika na kichwa habari hapo juu kama kinavyojieleza.
Back
Top Bottom