Habari wadau, ndugu jamaa na marafiki. Naomba kuwasilisha changamoto hii mnaniambiaje katika hili.
Leo nilienda kijiji fulani nje ya mkoa wa Kanda ya Kati kulikua na shughuli ya ujazaji form za hati za viwanja.
Nilinunua shamba miaka kadhaa iliopita sasa mwaka jana wakaja Jiji kusaminisha na...