Jifunafu
Senior Member
- May 25, 2020
- 195
- 741
Habari ndugu zangu,napenda kuwaeleza kile kilichotokea Hadi kuto kupatikana hapa jukwaani.
Nilipotea hapa jukwaani kwa muda mrefu baada ya kutoa post yangu iliyo zungumzia shuhuda ya safari yangu ya kuelekea kule katavi kwa shughuli ya kilimo. Tangu wakati huo zilijitokeza changamoto nyingi baada ya kuwa nimeibiwa simu yangu.Changamoto nyingine ni kupoteza email yangu niliyo kuwa natumia kuingia hapa JF.
Nilitumia email nyingine na account nyingine baada ya kuwa nimepoteza email yangu ya kwanza.
Leo katika kupitia pitia documents zangu nimeikuta email yangu na password yangu ambayo nilikuwa natumia kuingia hapa JF kwenye hii account yangu.
Nimeikuta message nyingi sana za WADAU mmenitumia,hivyo napenda kuwaambia kwamba Mimi nipo na ninaendelea na harakati zangu za kilimo kule kule ndani ya mkoa WA katavi,ingawa kwasasa nimebobea sana katika kilimo cha maharage,maana nimeona ndio kilimo chenye faida na ni kilimo cha muda mfupi sana na chenye faida kubwa.
Asanteni sana ndugu zangu.