wadau

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    JamiiForums Tanzania Kisa cha kusimuliwa cha Baba na bintiye kuishia kukosana ? !

    Ni mzee mmoja akisimulia kwenye dala dala kisa cha kusikia kwa abiria wakisafiri wote namna baba na bintiye waliokuwa karibu mno kuishia kukosana. Haijulikani sababu hasa ni nini ila ndiyo hivyo anasema wameishia kukosana. Hakuweza kamilisha kisa chote alichokuwa akihadithia kwani alishuka.
  2. Teby feO

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata host kwa wadau wanaoishi ughaibuni

    Habari wakuu. Ni muda sasa nimekuwa nikihangaika kutafuta mtu wa kunishika mkono niweze kusafir nje ya nchi kutafuta maisha lakini nimekumbana na changamoto ya kutokupata mtu wa kunishika mkono hivyo kwa mtu yeyote anayeishi ughaibuni hasa schengen country naomba msaada wa kunishika mkono hata...
  3. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Hii hali wadau ndio inaitwaje kitaalamu?

    Mko poa? Iko hivi . Huwa najisikia amani sana nikikabeba katoto kachanga. Au nisikie kile kisauti cha kulia cha mtoto mchanga. Huwa najisikia raha na amani fulani hivi moyoni. Hii wadau mmewahi ku experience au ndio dalili za kuitwa baba?.. Na Dem hata sina .
  4. K

    JamiiForums Tanzania Vipi wadau hata VPN imezuiwa kuunganisha Tanzania?

    Ninazo vpn mbili tofauti lakini toka jana mtandao uliporudi sijafanikiwa ku connect. wenzangu mnatumia vpn gani kuperuzi Instagram, Whatsup na Tiktok?
  5. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Je, uchawi upo au ni uzushi tu?

    Wadau naombeni mnijuze maana siamini kama hiki kitu kipo nasikia tu stori kwa watu sijawahi kuthibitisha he ni kweli au ni stori tu?
  6. B

    JamiiForums Tanzania BOT, Wadau Kimataifa waipongeza Benki ya CRDB Mageuzi ya Mfumo Mkuu

    Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Emmanuel Tutuba (kushoto) akimpongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Mussa Nsekela (kulia) wakati wa mkutano wa kujadili utekelezaji wa mageuzi ya mfumo mkuu wa benki hiyo, hatua ya kimkakati inayolenga kuboresha huduma, kuimarisha usalama...
  7. Parabolic

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yakutanisha wadau kuadhimisha Siku ya kimataifa ya Demokrasia

    Leo Septemba 15, CHADEMA wanaadhimisha siku ya kimataifa ya Demokrasia kidigitali ka kuwakutanisha watoa mada #Barazani na kujadili hali ya kidemokrasia nchini. Kauli mbiu ya mwaka huu "Demokrasia na Uchaguzi Bandia Tanzania." Watu mbalimbali wa ndani na nje ya Chama watashiriki...
  8. 1academ

    JamiiForums Tanzania Mchepuko akatalia kwangu. Nifanyaje wadau?

    Mzuka wana jf! Hii shida yangu inaweza kuonekana kama maigizo lakini si maigizo ni ukweli kabisa, japo mimi ni mwanaume ila nimefeli kutatua hili tatizo naombeni mawazo mapya. Mke wangu alisafiri kwenda kwao mwezi uliopita, kuna shida fulani ilimpeleka huko na kupelekea kukaa siku zote hizo...
  9. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ni Ujumbe gani Tunaupeleka kwa Wafadhili na Wadau wa Maendeleo?

    Hebu jaribu kuwaza, chama fulani ambacho ni chama tawala, kinakusanya mabilioni kwa ajili ya kampeni. Lakini serikali ya chama hicho inawaomba wafadhili pesa za kujenga vyoo, dawa na vyandarua. Matajiri wakubwa wanachangia kampeni lakini mtaani kwao kuna barabara za matope, watu hospitali...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mdahalo wa Wadau wa Amani Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Wabunge na Madiwani 2025

    https://www.youtube.com/live/bsMXcScNS8E Muliro: Polisi kusubiri hadi tukio lifanyike hapo ni sawa na kufeli Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro akizungumza katika mdahalo huo leo Agosti 20, 2025.
  11. Organic Uncle

    JamiiForums Tanzania Msaada Wadau Wenye Uzoefu Wa Biashara Ya Dry Cleaner.

    Jamii pendwa habari zenu. Naomba ushauri juu ya hii biashara ya dry cleaner imekuwa kwenye kitabu changu cha kumbukumbu kwa muda mrefu. Naomba msaada wamawazo gharama zake hasa za mtaji wa vitu vinavyohitajika Naishi Tanga Mjini
  12. R

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Fatma Karume: Upinzani unahitaji wadau siyo Malalamiko

    Fatma Karume kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa X-Twitter ameandika kuwa " Vyama vya Upinzani vinapaswa kujenga uhusiano thabiti na wadau wakubwa wa ndani ya nchi ili kupata nguvu na rasilimali za kuendesha harakati zao. Kuishambulia CCM pekee si mkakati wa ushidi angalieni mfano wa Trump...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO Katavi (hasa Mpanda) wanakata umeme bila taarifa, ni kawaida kukatika asubuhi kisha unarudi jioni

    TANESCO wamekuwa na kawaida ya kukata umeme bila mpangilio, hali ambayo inasababisha wanaunguza vitu vyetu, hiyo imekuwa tabia yao hawasemi tatizo, wanaporudisha wanaweza kuendelea na "mchezo" wa kukata na kuwasha ndani ya muda huohuo, hii inakera sana. Kuna wakati ratiba zao za kukata umeme...
  14. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Hivi wadau hivi vitu used vya Chris Lukosi ni original na vipo vizuri?

    Mdau uliyewahi kununua vitu used kutoka kwa Chris Lukosi tupe ushuhuda
  15. A

    JamiiForums Tanzania Wadau, nikiwa na milion 60 mbezi mwisho au kibaha baada ya mbezi naweza jenga nyumba yenye chumba n seble yenye vyumba nane,kiwanja bei pembeni

    Wadau, nikiwa na milion 60 mbezi mwisho au kibaha baada ya mbezi naweza jenga nyumba yenye chumba n seble yenye vyumba nane,kiwanja bei pembeni. Nisaidieni mawazo wakuu
  16. B

    JamiiForums Tanzania Lema alituharibia wadau kwenye mhadhara wa jana na Polepole

    Humphrey Polepole kaamua kujitoa mhanga na kuungana na wadau kuipigania Tanzania. Ajabu na kweli jana akatokea Lema katikati ya show ati kutaka kumshauri ya kufanya Polepole? Kwani ni siri? Polepole? kwa bongo ile ni Rostam au Lema wenye capacity ya kumshauri huyu? Tuache husuda, nchi hii...
  17. Daniel Aloyce Daniel

    JamiiForums Tanzania Wadau nafanya biashara ya vitu vya Jumla, naombeni mni support

    Naitwa Daniel Aloyce Daniel, nipo karatu, mkoa wa Arusha, mnaonaje Wana jamii forums mkiniungisha. Najihusisha na pipi za Jumla, ambapo nawauzia watu wa reja reja mkauze. Mfano hii pipi hapo chini, nauza 7800 kwa kopo, ambapo wewe unauza 50 kama ni reja reja, ila kwa mtu anayenunua carton...
  18. SweetyCandy

    JamiiForums Tanzania Majaabu sana imenitokea jana

    Jana nimejikuta nimelala njee tena ni baada yakumuota X wangu amekuja kunisalimia nikaja kumfungulia mlango . Aisee hii ni maajabu sasa hii inakuwaje ??
  19. Candela

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje wadau

    Kuna mtu aliniomba 1M May, nikamwambia ntaangalia uwezekano ila akiona kimya ajue imefeli. Leo August kanitumia ujumbe unasema, "NILIKUOMBA PESA ILA UMEKAA KIMYA INA MAANA HAINA UMUHIMU KWAKO". Shida sio kusema nimekaa kimya. Shida ni hapa kwenye umuhimu yaani we ukiwa na shida ukanikopa pesa...
  20. Youbettersleep

    JamiiForums Tanzania Story : Jamaa wa pool table alivyowaingiza 18 wadau team jobless

    Kuna mahali alikuja kijana mmoja mgeni akakuta wenyeji akauliza hakuna mchezaji tucheze bukubuku mwenyeji mmoja akasema labda buku mbili mbili jamaa akasema sawa Wanacheza mgeni akaliwa game 5 mgeni akasema twende ten ten mgeni akaliwa game 3 ikawa jumla kaliwa 40000 mgeni akasema twende laki...
Back
Top Bottom