wadau

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. UTPC

    JamiiForums Tanzania Kukithiri kwa Watoto kujihusisha na Betting, Wadau Watoa wito kwa Jamii

    Baada ya athari kubwa kuonekana katika familia, mke wa Joachim akamtaka aache michezo hiyo, jambo ambalo limeshindikana, na kwa sasa anacheza kwa kificho. “Hii michezo inashusha sana maendeleo, kwa sababu mwenzio anahitaji mfanye jambo fulani. Mnaweza mkakubaliana sawa, kwa sababu kuna pesa...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Balozi Yakubu akutana na wadau wa Tanzania France Chamber of Commerce kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi

    Balozi Yakubu akutana na wadau wa Tanzania France Chamber of Commerce kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi Balozi mteule wa Tanzania nchini Ufaransa, Mheshimiwa Saidi Othman Yakubu, leo amekutana na viongozi na wanachama wa Tanzania France Chamber of Commerce katika kikao cha kujadili namna ya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Eti wadau, Huyu atakuwa Naibu waziri wa wizara gani?

    Huyu kajichanganya, kapita kwenye njia ambazo walipa kodi huwa wanapita huku CCM wakinadi kuwa nchi ina barabara zimejengwa kwa kiwango bora sana huku sehemu kubwa ya nchi ikiwa hoi kama hivyo licha ya kelele kuwa wamewaletea maendeleo wananchi. Haya huyu atakuwa wa wizara gani huyu?
  4. RMK Freelancers Agency

    JamiiForums Tanzania BARUA YA WAZI KWA WADAU WA MASOKO YA MITAJI TANZANIA (CMSA, DSE, WIZARA YA FEDHA)

    BARUA YA WAZI KWA WADAU WA MASOKO YA MITAJI TANZANIA Kwenda kwa: Capital Markets and Securities Authority (CMSA) Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) Wizara ya Fedha Tanzania YAH: Maboresho ya Sheria, Teknolojia ya Trading, na Vigezo vya Uandikishaji ili Kukuza Soko la Mitaji Tanzania...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Wadau unaoa mwanamke ambae unafahamu anawanaume wengine, Tena na wewe umemkuta anamwanaume halafu unataka asichepuke braza kuwa mpole tu

    Wadau Mimi huwa nawashangaa watu humu ndani ambao wanataka wake zao wawe waaminifu na kujifanya wamesahau huyo mwanamke ulivyompata, kama ulimkuta anadanga uwezekano wa huyo mwanamke kutulia ni mdogo sana, wewe une mkuta mwanamke tayari kesha tembea na wanaume zaidi ya kumi kifupi alishazoea...
  6. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Naskia Songwe wadau wanapoteza sehemu za Siri kwa kuguswa bega. Wadau wa Songwe Kuna ukweli gani?

    https://www.instagram.com/reel/DWo8mLfDFW8/?igsh=NzM3MmtpOGcxNmZk Katika pitapita zangu za online nimekutana na taarifa iliyorushwa Jana, wadau huko Songwe wanasema Kuna watu wanakugusa bega baada ya hapo sehemu zako za siri zinapotea. Wadau wanaamini wanajikinga kwa kuvàa rubber band na pin...
  7. Young silver

    JamiiForums Tanzania Nimetoa ngoma mpya. Naomba sapoti yenu

    I have released my newest song for the first time. Hata kwenye game bado sijaingia. Nawaombeni support yenu wadau, judge if I can or not, au nikalime tu ndizi🥹🥹 I hope you will not let this past over🙏🙏🙏 Release on my YouTube channel, please subscribe, share, comment and like. 🙏... Support...
  8. Young silver

    JamiiForums Tanzania Support, support support

    I have released my newest song for the first time. Hata kwenye game bado sijaingia. Nawaombeni support yenu wadau, judge if I can or not, au nikalime tu ndizi🥹🥹 I hope you will not let this past over🙏🙏🙏 Release on my YouTube channel, please subscribe, share, comment and like. 🙏...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LHRC na Wadau wakutana na Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa UN, Parfait Onanga Anyanga jijini Dar es Salaam

    Leo tarehe 12 Machi 2026, Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), sanjali na wadau wengine wa masuala ya haki za binadamu wamekutana na mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Parfait Onanga Anyanga katika ofisi za Umoja wa Mataifa zilizopo jijini Dar es Salaam. Ndugu Parfait...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Nanauka awasihi vijana kuacha kukaa vijiweni na kupiga soga, watumie kikamilifu fursa za Serikali na za wadau

    Baada ya karne nyingi kupita, 2025 Rais wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan amekuja na maono ya kumfikisha kijana kwenye ndoto yake anayoitamani. Ameunda Wizara mahususi kwa ajili ya kusikiliza hoja za vijana, kuwaongoza na kuwawezesha kufikia nchi ya ahadi ya asali na Maziwa. Inawezekana...
  11. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Wadau wajadili hasara kuzimwa intaneti wakati wa uchaguzi

    KUZIMWA kwa intaneti wakati wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kumelisababishia Taifa hasara ya dola za Marekani milioni 238, sawa na takribani Sh. bilioni 560, kwa mujibu wa ripoti mpya ya utawala wa kidijitali. Takwimu hizo zimetolewa na Ofisa Sera na Teknolojia wa Tech, Media Convergency (TMC)...
  12. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Wadau , Ni hatua Gani inaweza kuwa suluhisho la kudumu la Ajali barabarani?

    Kila mahali tumezungukwa na hatari za kila aina . Lakini hii Changamoto ya ajali za barabarani limekuwa ni donda sugu.. barabara zetu hizi ni kama zile za kwenye filamu ya kutisha ya Final destination.Watu wanapoteza wapendwa wao kila uchao. Na kinachonisikitisha ni kwamba hapahapa duniani...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Wadau wataka hatua zichukuliwe kudhibiti 'kubet': Tutazalisha matapeli wa kitaifa

  14. Sasso

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Mawazo na Wadau wenye uhitaji au Interest kwenye Kuwekeza kwenye ufugaji hususani kuku

    Wakuu, natumai mko vyema, na kama kuna mwenye madhila Mwenyezi Mungu ampe faraja. To make a long story short, nilikua niko mkoa X for the long good six years nikiwa nimeajiriwa kwenye miradi lakini nikiwa nafanya ujasiriamali wa ufugaji (Tanga Region). Kufuga, kutotolesha, kuuza mayai, kuuza...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 ZEC kuwaalika wadau maalum kushuhudia kuteketeza nyaraka za uchaguzi

    Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar George Joseph Kazi amejibu ametoa maelezo juu ya kauli zilizotolewa na Chama Cha ACT Wazalendo juu ya hatua hiyo ya ZEC kutaka kuteketeza nyaraka zote za uchaguzi wa October 2025 uliofanyika mwishoni mwa mwaka jana.
  16. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Wadau Kesho naenda Vatican City kumpelekea malalamiko Papa. Kitendo alichofanya Padre kimenikwaza sana

    Padre ananiambia niache uzinzi, anahubiri anasema mimi ni mdhambi sababu nawatolesha Mimba mademu ambao nawagegeda kisha wakipata mimba solution ni moja. Toa. Haya mambo ni kupangiwa na mabeberu wananionea wivu sababu mimi ni kidume cha mbegu. Wanataka waafrika tuwe wachache wao wawe wengi...
  17. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Marafiki, ndugu na wadau wote wa jukwaa hili

    Habari JamiiForums Siku zinakimbia, miaka inageuka, na umri unasogea. Nakumbuka ni kama juzi tu Mh. Lowasa alivyotikisa Tanzania kwenye kampeni za Urais 2015. Ni kama juzi tu tangu hayati Magufuli na itikadi zake, pamoja na misimamo mikali kwenye uongozi. Miaka inakimbia, watu waliozaliwa...
  18. mbeyu T

    JamiiForums Tanzania Wadau, msaada kidogo hapa

    Mimi ni mwanafunzi wa MSc in Data Science (UDSM). Kwa upande wa research, mambo yamekuwa magumu sana hadi nimeshindwa kumaliza kwa wakati. Kwa hiyo naangalia option ya kuhamia chuo kingine ili niweze kumaliza masters yangu. Sasa changamoto niliyokutana nayo ni hii: Chuo ninachotaka kuhamia...
  19. Mshindi wa Vita

    JamiiForums Tanzania LIVE: David Kafulila anaongea na wadau wa Usafiri na Usafirishaji wa Bandari

    https://www.youtube.com/live/0oisjyeeiTk?si=ZyTQ-O1IFxIhOKkd MDAHALO KUHUSU UENDESHAJI ENDELEVU WA BANDARI UNAENDELEA PEACOCK HOTEL Baraza la Wasafirishaji Tanzania (Tanzania Shippers’ Council – TSC) leo linaendesha mdahalo wa ngazi ya juu wa Sekta ya Umma na Binafsi (Public–Private Dialogue)...
  20. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Askofu Ruwa'ichi: Watanzania hawashabikii haki, wengi kwa ujinga au kutokujua wanajidai wadau wa amani

    Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Dar es Salaam, Juda Thaddeus Ruwa'ichi, amesema Watanzania wengi hawashabikii haki wala siyo wadau wa haki. Amesema wengi wao kwa ujinga, kwa kurubuniwa au vinginevyo wamekuwa wadau wa amani akiweka msisitizo kuwa pasipo na haki hakuna amani. Askofu Ruwa'ichi...
Back
Top Bottom