Kwanini wachungaji wengi wa kisabato wana hali za kawaida kifedha

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,034
Nimepata kuona makanisa mengi kukiwa na wachungaji wenye ukwasi mkubwa sana wa mali na fedha.

Kwa upande wa wasabato naona wachungaji wana hali za kawaida sana kiuchumi, Nmefanya ka research kidogo ikitokea mchungaji ana pesa nyingi basi ujue kwamba ana ajira inayomlipa vizuri au biashara nyingine nje ya uchungaji.
 
Bado hawajamjua bwana
 
Wale ni wachungaji wa mishahara ndio maana hawana ukwasi mwingi, sadaka yote huenda makao makuu ndio ikapangiwe matumizi ikiwepo kuwalipa mishahara
Juzi nilienda pale kawe.
Aisee Yule jamaa anapiga hela.
Maji hela ,mafuta hela ,bado sadaka hapo acha tu.
Ila afanye mpango arekebishe jengo lile.yasije yakatokea ya goba.
Jengo limechoka sana mvua ikinyesha wanakuwa pa ovyo Sana.
Apake japo RANGI
 
Kupiga rangi hapigi yule anaangalia pesa tu, hajali mandhari ya makutano ya watu wake. Unakuta mtu anajiita mtume na na nabii lakini hana mahali pazuri pa kufanyia ibada
 
Na pesa anapiga za kutosha.
Nilikwenda Ila niliogopa kuingia kwenye lile jengo.
Linatishaaa.nondo zinaonekana.nyufa.
Alafu wenyewe Hawana hata habari.
Au wangemuuzia liwe lake uenda anaogopa kufanya ukarabati sababu sio lake
 
Nimepata kuona makanisa mengi kukiwa na wachungaji wenye ukwasi mkubwa sana wa mali na fedha.

Kwa upande wa wasabato naona wachungaji wana hali za kawaida sana kiuchumi, Nmefanya ka research kidogo ikitokea mchungaji ana pesa nyingi basi ujue kwamba ana ajira inayomlipa vizuri au biashara nyingine nje ya uchungaji.
wanajitesa bure, na mwisho wataenda motoni kwasababu hawajaokoka, bado wanaamini wanaweza kumpendeza Mungu kwa njia ya matendo ya mwili, kwa njia ya sheria, na kudharau deni la Yesu Kristo lililolipwa la damu msalabani kwakuwa na kutusaidia sisi ambao tunaamini hatuwezi kumpendeza Mungu kwa matendo ya sheria.
 
Wachungaji wa kisabato wameajiriwa ni kama mfanyakazi wa serikali, so hawana ubavu wa kugusa hata senti moja ya sadaka, zaka au shs yoyote iliyoingia kwenye eneo la kanisa lao.

Mchungaji anaweza kufanya biashara zake (wapo wanaofanya tunawafahamu) ila kwa si kwa uwazi sana maana kwa mfumo wa kanisa hilo si haki kwa mchungaji kufanya biashara huku anaongoza kondoo, lazima pesa itakuwa na nguvu.

Kutokana na hilo wamekasimishwa kuishi na kula madhabahuni tu, iyo ndiyi inapekea wengi wasionekane wana ukwasi.

wanajitesa bure, na mwisho wataenda motoni kwasababu hawajaokoka, bado wanaamini wanaweza kumpendeza Mungu kwa njia ya matendo ya mwili, kwa njia ya sheria, na kudharau deni la Yesu Kristo lililolipwa la damu msalabani kwakuwa na kutusaidia sisi ambao tunaamini hatuwezi kumpendeza Mungu kwa matendo ya sheria.
Kwahiyo wewe unaye thamini deni la kristo ni straight kwenye mkono wa kuume wa Baba🤣🤣🤣🤣
 
Umesahau Henry muhando alitengeneza Sana pesa, pia mmbaga naye anaelekea huko huko..Pia toka zamani viongozi wa kanisa la sabato hasa makao makuu na Kanda mbali mbali Kuna baadhi wamejilimbikizia Sana Mali. ..wachungaji Hawa wa makanisa ya mitaa ndio unaweza sema hawana pesa kutokana na utaratibu wa kanisa kulipa mishahara na sio Kama makanisa mengine ambapo sadaka zikikusanywa Ni za mchungaji wa kanisa Hilo..

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
at
Kwahiyo wewe unaye thamini deni la kristo ni straight kwenye mkono wa kuume wa Baba🤣🤣🤣🤣
at least, ninaye wa kuniombea kwa Baba, ninyi wa kuwaombea ni Musa ambaye sio njia ya kwenda mbinguni. period.
 
Umelishwa tango pori. Yesu ndie njia na uzima hakuna mkristo wa kweli anaye paswa mtumainia musa wala bikira maria wala mafuta ya upako wala sijui vitambaa gani hivyo vyote mnapigwa tu na watumishi matapeli
 
Back
Top Bottom