VIDEO: Hii ya kutandika Biblia chini ili marehemu apite imekaaje, Mwenye uelewa na hili pitia hapa

TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
7,825
2,000
Sijapata jibu la moja kwa moja angalia hii clip ni fupi sana 00.42mins ukubwa wa 3.4mb so haiwezi kumaliza MB's zako.
 

Compact

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
4,171
2,000
Sijaona marehemu akipitishwa. Nilichoona ni kitabu kinachofanana na 'Biblia' imewekwa chini na mtandio mwekundu ukiwa umewekwa juu yake. Kwa siyo siwezi kutoa maoni.
 

iam Lucha

JF-Expert Member
Aug 24, 2018
2,053
2,000
Manabii wanasemaje? Maana waumin wa hicho kitabu bado wao wanaletewa manabii
 

Pakawa

JF-Expert Member
Mar 11, 2009
6,676
2,000
Wataanza kulipa kidogo kidogo
Mungu ana hasira na wapumbavu kama hawa
Wataangamia kwa kukosa maarifa
Mungu yuaja na hasira kali Juu yao

Uzuri wa imani hii wenyewe hawatanza kamatamata wao watapiga goti na kumuomba Mungu ashughulike nao
Upepo wa kivulivuli utawazoa tu
 

TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
7,825
2,000
Sijaona marehemu akipitishwa. Nilichoona ni kitabu kinachofanana na 'Biblia' imewekwa chini na mtandio mwekundu ukiwa umewekwa juu yake. Kwa siyo siwezi kutoa maoni.
Ulisoma shule gani wewe?

Umeelewa maana ya neno "ILI" au ndiyo kati ya wale waliokimbia umande?
 

Janja weed

JF-Expert Member
Nov 20, 2020
561
1,000
Mungu ndio anajua kama wako sahihi ama wamekosea ila kimsingi sio sawa adhabu yao anaijua maulana , sio kuanza kulaani kama yule shehe ubwabwa aliyevimbiwa mbaazi akaanza kumupombea kifo afande sele , cha ajabu Mungu bado anampigania na unaweza ukashangaa shehe ubwabwa akatangulia yeye mzee wa ganja akaendelea kuwepo kama kawaida
 

Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
13,337
2,000
Manabii wanasemaje? Maana waumin wa hicho kitabu bado wao wanaletewa manabii
Juzi wakati Uhuru Kenyatta anakatisha hotuba ili kuheshimu Adhana, kuna mpuuzi mmoja alitoa maoni hapa nikamkaripia na sikumsikia tena. Alisema; "Kwa nini huyo Mhadhini apigie kelele Waombolezaji?" Sioni tofauti ya ubovu wa akili zake na zako.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom