wachina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Wachina japo kuwa na teknolojia kubwa na elimu ila mapenzi yao yapo kwa wazungu kwenye bidhaa zao zote

    China ndio nchi inayoongoza kwa bidhaa nyingi na teknolojia nyingi ila cha kushangaza kuwa na vyote ila ni wapenzi wa bidhaa za wazungu kuliko zao mfano vifaa vya Apple,kompyuta za makampuni ya kigeni ulaya na usa,vinywaji mfano henesi,heniken na n.k. swala la elimu wanapenda kusoma vyuo...
  2. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Kwanini wachina wamekuwa wengi sana?

    Nilizoea kuwaona wachina Dar es Salaam tu lakini nimeshangaa kuwakuta wachina hadi huko Kigoma vijijini, mwanzo nilidhani labda ni wakandarasi kwenye miradi ya barabara, lakini hapana, unawakuta wapo barabarani wanazurura, nilishangaa mpaka wanauza vyombo, yaani wanakodi gari na kuanza kukopesha...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Wachina waenzi asili na utamaduni wao katika ibada ya kumkumbuka Mfalme Huangdi “babu wa Wachina wote”

    Ilikuwa ni heshima kubwa mwaka huu kupata mwaliko wa kwenda kuhudhuria ibada ya kumkumbuka Mfalme Huangdi “babu wa Wachina wote”, ambayo ilikuwa kubwa na ya aina yake inayofanyika kila ifikapo tarehe tatu ya mwezi wa tatu kwa kalenda ya kilimo ya China huko Xinzheng mkoani Henan. Mwaka huu...
  4. R

    JamiiForums Tanzania TANROADS Tanga rekebisha sehemu ya Mwakidila kwenda daraja la wachina Mwahako, hakupitiki na mvua za leo

    Mchina amemwaga tope na sasa leo na mvua hii ya tangu saa 9 usiku mpaka sasa hapapitiki. Tafadhali njooni mkwangue mtoe huo "uji" ambao umeweka madimbwi kwenye kipande hicho. Kutoka Chalinze kwenda daraja la wachina. Actually ni mpaka kwenda Kibaoni junction ya kwenda Mgwisha.
  5. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Urgent: Nimepata email wachina wanatafuta watu wakwenda China wajifunze mambo ya mafuta

    Nimepata email wachina wanatafuta watu wakwenda China wajifunze mambo ya mafuta. Ndugu yangu kama una hamu ya kwenda China anza kufanya maombi. Mwisho wa maombi ni kesho. 中文版 2024 Shanghai Government Scholarship -- “Belt and Road” Petrochemical Industry Technician and Executive Development...
  6. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Andiko lisemalo " Kila nafsi itaonja mauti" ni swali na sio jawabu. Wachina wameanza kujibu. Babu zetu walikaribia kabisa kupata jawabu

    Sisi wafuasi wa dini za kiafrika tuna amini kwamba Mwenyezi Mungu (Chanzo cha vitu vyote ) alituumba wana wa dunia na kutuweka kwenye sayari ya dunia ili tuweze kujibu maswali mbalimbali ambayo yeye Mwenyezi Mungu ametuuliza. Moja kati ya swali ambalo Mungu ametuuliza ni " Tutafanya nini ili...
  7. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Hebu Nendeni mkajifunze kwao hao mnaoita marafiki zenu wachina kuhusu kuendesha mashirika ya umma wao mbona kidunia ni makubwa sana

    Sisi vishirika vya umma vichache tu kila siku vinatulamba hasara tunaona njia ni kubinafsisha kila kitu. Hawa marafiki zenu nyie CCM hawa wachina wao uchumi wao umeshikiliwa na mashirika ya umma tena katika sekta muhimu. Tazama hawa jamaa katika fortune global 500 kwa mwaka 2021 mashirika ya...
  8. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Al Jazeera: Hivi ndivyo Wachina wanavyotuona sisi. Nimesikitika na kuumizwa sana na Jambo hili

    Miaka ya hivi karibuni tumekuwa upande sana wa China dhidi ya Wazungu. Kila sehemu tumesifia na kumtetea Mchina tukiwaponda Wazungu. But kumbe wao wanatuona sisi ni hamnazo? Hatuna kitu? Weupe kichwani? Ni ugonjwa wa kiakili? Si sawa. Miaka yote tunawaita wazungu makafir na wanaendelea...
  9. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Nani kawahi kuona NGO ya wachina hapa Tanzania? Kama hazipo sababu haswa ni nini kuja kufanya kazi nchi kama Tanzania?

    Naomba nisaidieni kama kuna mtu kawai ona NGO ya kichina nna taka kufanya research kuhusu mchango wa NGO za China kwenye social services za Tanzania. Nipige comparative study China vs Western. Binafsi sijawai ona NGO ya kichina Tanzania na sijui sababu ni nini ata kupata volunteer wa kichina ni...
  10. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Jamii ambayo inaweza kuwa ukaribu na watu ni wachina tu

    Wachina ndio wanaweza kwenda afrika na kuishi sawa na waliopo hapo. Najaribu kutafuta historia ya hapa tanzania kipindi cha ujenzi wa reli waliishia wapi. Kwa kenya karne ya nyuma wachina waliofika hapo wameacha vizazi. Hata historia ya kilwa inadaiwa wachina walifika na kufanya biashara.
  11. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Swali kwa serikali: Hawa Wachina walioweka madubwi kila kona Tanzania nao ni wawekezaji?

    Sijasomea uchumi ila kwa hesabu za haraka haraka tu mchina akizunguka mitaa 5 tu ya Dar es salaam anakusanya mpaka sh. Milioni 100 za Watanzania kupitia madubwi au mabonanza wengine huyaita. Mtaa mmoja una slots machines 20-50. Mchina anaweka sarafu za sh. 200, ambazo zinakuwa sarafu 300 sawa...
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Suala la Wachina kutujazia bidhaa bandia kwenye masoko yetu, je, wanatuona hatuna akili timamu?

    Kila Mtanzania ni shahidi. Mpaka vifaa muhimu vya umeme, maji na electronics bandia mchina kwa makusudi kabisa kutujazia Kariakoo kisha kusambazwa Tanzania yote. Nguo na mavazi nako ni hatari tupu, viatu na samani za ndani pia hajatuacha salama. Ni TBS au serikali kwa ujumla imeridhia? Kwanini...
  13. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Serikali ndiyo imeshtuka, ukosefu wa dola umesababishwa na Serikali yenyewe kwa kuwabeba wachina miradi mingi

    Ukosefu wa dola sasa unaathiri biashara nyingi zinazotegemea kuagiza vipuri na malighafi zinazohitajika kuagizwa nje. Kwa miaka mingi viongozi wa serikali wamekuwa wakishinda kila kiongozi kumpata "Mchina wake" kwenye miradi mingi nchini. Wachina wamekuwa wakipewa miradi hata inayoweza...
  14. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania itoe VISA free kwa wahindi, wachina, wakorea, wajapan katika hatua za mwanzo

    Napendekeza serikali ya Tanzania ichukue hatua katika haya mapendekezo yangu. 1. Napendekeza serikali ya JMT itoe visa free kwa raia kutoka India, China, Japan na Korea - katika mchakato wa visa free kwa mataifa mbalimbali tuanze na hayo mataifa manne kwanza kwa miaka 20 ya mwanzo. 2...
  15. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Sherehe ya kufagia makaburi " qingming festival" wachina wana mambo!

    Qingming Festival hii ni sherehe maalumu inayo adhimishwa na jamii ya kichina ulimwenguni kote hasa katika maeneo/nchi zenye jamii kubwa ya kichina mfano China, Indonesia, Thailand, Singapore, Malaysia, Vietnam n.k Kwa lugha ya kiswahili sherehe hii unaweza kuitambua kama sherehe maalumu ya...
  16. Swahili AI

    JamiiForums Tanzania Wachina ni lazima mtudanganye kuhusu Brands?

    Kunayo haja gani ya kuandika wrong brand name ili hali sio? 有什么必要把品牌名称写错才不会呢?这已经超出了愚蠢的范围。我们不是胆小鬼,先生
  17. L

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa Uwanja uliokarabatiwa wa Amani Zanzibar wakumbusha juhudi za ujenzi za Wachina

    Mwishoni mwa mwaka 2023 ambayo ilikuwa Disema 27, rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi alifanya sherehe kubwa katika uwanja wa Amani, ikiwa ni moja ya mafanikio yake mengi makubwa tangu aingie madarakani mwaka 2020. Sherehe hiyo ambayo ilikuwa ni mahsusi...
  18. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Tazara kukabidhiwa wachina

    Kikosi kazi kutoka kwa kampuni ya serikali ya China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) kimefika Dar es Salaam kufanya ukaguzi kamili wa biashara na kiufundi wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania-Zambia (TAZARA) kabla ya China kuichukua rasmi. CCECC inaendesha mazungumzo ya makubaliano...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Nina Imani kupitia thread yangu hapa JF, Waziri Ummy amesaidia kipande hiki cha barabara kusambaza (grading) malundo ya udongo

    The other day niliandika kuwa Mh Ummy Mwalimu atusaidie kipande cha kutoka Chalinze (Mwakidila) to at least Machui junction wakikwangue (grading) kwa sababu kilikuwa hakipitiki kabisa na ilikuwa shida kubwa sana. Jana naona wamekipiga grada (grading) na sasa kinapitika vizuri. Kama ni hivyo...
  20. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mradi Maji Arusha-mfano wa Wachina kufanya ovyo, wakati makandarasi wazawa wananyanyapaliwa

    Mradi wa Maji huko Arusha unaelezea madudu yote yanayofanywa na serikali na wachina wanaowapendelea sana kuwapa tenda. Isingekuwa mvua kubwa iliyonyesha hivi karibuni, ingekuwa kama waswahili wanavyosema, "imeenda hiyo" Siyo siri, wachina kwa rushwa ili kupata kazi, hawajambo. Watendaji...
Back
Top Bottom