wachina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Superbug

    JamiiForums Tanzania Nyerere aliwapenda Wapare sana kwa kuchapa kazi mpaka akawaita Wachina wa Tanzania

    Sisi wapare kutokana na kuchapa kazi sana na kutengeneza barabara kubwa nzuri pana mpaka milimani nyerere alifanya ziara ya kikazi miaka ya 70 na akawaita wapare ni wachina wa Tanzania. Mpaka leo hii wapare wanajulikana kama wachina wa Tanzania.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Sifurahishwi na Wachina kujenga sanamu ya baba wa Taifa

    JF Nimeona tangazo la Mh.Waziri kuhusiana na Sanamu ya baba wa Taifa ambayo wamesema watajitolea kugharamia na ambayo itawekwa Makumbusho ya Taifa. Najiuliza kwa sauti kubwa sana 1. Hivi nchi yetu haiwezi kugharamia hili? how much? 2. Ile ni Sanamu nyeti mno na ni nembo kwa Taifa letu...
  3. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Mwisho wa Kariakoo huu hapa: Serikali yapitisha gulio la Wachina Kurasini

    Kati ya vitu vya kijinga serikali inaenda kufanya kwa watu wake ni kuua soko la Kariakoo kwa kuruhusu gulio la Wachina Kurasini ili wauze bidhaa zao bila kodi na kodi ikusanywe pale tu bidhaa inapotoka. Hizi akili itakuwa kazitoa Mwigulu lakini ikitokea hili limefanikiwa basi Kariakoo haitakuwa...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Wachina washerehekea Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China baada ya wimbi la maambukizi ya COVID-19 kumalizika

    Mkesha wa Mwaka Mpya wa Jadi wa China ulifanyika tarehe 21 Januari mwaka huu, ambapo wanafamilia kutoka sehemu mbalimbali walikusanyika pamoja na kukaribisha Mwaka Mpya wa Sungura. Sikukuu hiyo kwa mwaka huu ilikuwa ni ya kwanza kufanyika baada ya China kutangaza mapema Januari kuwa, inapunguza...
  5. PAGAN

    JamiiForums Tanzania Zamani Wachina na Wakorea hawakuwa hivi

  6. L

    JamiiForums Tanzania Wachina washikamana kukabiliana na virusi vya Corona

    Wiki mbili zilizopita, ghafla nilipata homa kali na maumivu makali mwili mzima. Mke wangu alikwenda katika maduka mbalimbali ya dawa karibu na nyumbani kwetu ili kutafuta dawa, lakini alirudi mikono mitupu. Siku mbili baadaye, mimi, mke wangu pamoja na mtoto wetu sote tulipatwa na virusi vya...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kama Wizara ya Maliasili na Serikali hawana mkakati wa kutokomeza kunguru weusi, tuwape tenda wachina

    Kama nchi ningeshauri tujifunze kushughulika na kero hata kama hazina madhara ya moja kwa moja! Huko ulaya wenzetu huwa wanafanya oparesheni ya kuondoa paka, mbwa na ndege wasio natija! Hata hapa kwetu sioni kama inashindikana kuwaondoa kitaalam hawa kunguru weusi! Historia inasemekana wazo la...
  8. Mwl Athumani Ramadhani

    JamiiForums Tanzania Wachina Wana teknolojia ya upandikizaji mawingu, tuwatumie kuondoa tatizo la maji na ukame nchini

    Ndugu zangu Poleni kwa tatizo la maji na umeme lililopo nchini kwa sasa. Wachina ni marafiki ZETU wa siku nyingi tangu enzi za baba wa taifa. Tuwatumie KWENYE hii teknolojia yao ya cloud seeding tuanze KWA mikoa yenye changamoto ya maji kama Dar es salaam baadae ienee Tanzania nzima...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kamari kila kona ya nchi, Wachina wanapata wapi vibali?

    Hili ni tatizo linalomea matawi, na linatapakaa kila kona ya nchi. Janga la Kamari (Betting). Kila kona ya jiji la Dar-es-Salaam, Mwanza na Arusha, Mashine za kamari zimewekwa. Majuzi kati nilikuwa Shinyanga vijijini, watoto waodogo umri wa shule wamejazana ndani ya kachumba kadogo wanacheza...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Upigaji wa Wachina Katika Mikataba ya SGR Uko Wapi?

    Kipchumba Murkomen kafanya kweli huko Kenya. Sasa watu wanajiuliza, ule upigaji mkubwa uliokuwa ukisemwa kuhusu unyongaji wa mikataba ya kichina upo wapi? Bandari ya Mombasa iliyodaiwa kuwekwa rehani haionekani popote. Na kama kuna chembechembe zozote za upigaji, ni dhahiri kabisa kwamba ni...
  11. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Wachina: Mama ukifika nyumbani wasalimie Kikwete na Ridhiwani

    Hayo ndiyo yalikuwa maneno ya mwisho kupewa mama pale airport wakati anaagwa na wenyeji wake na kutakiwa safari njema na viongozi wa juu wa chama cha kikomunisti na serikali ya China. Bila shaka Wachina wanapata taarifa za uchapakazi wa Ridhiwani katika nafasi yake ya ubunge.
  12. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mikataba 15 iliyosainiwa huko China iangaliwe kwa umakini mkubwa, Wachina huwa hawakosei

    Mikataba
  13. benzemah

    JamiiForums Tanzania Wajapan kujenga shule ya uhandisi wa tiba jijini Dodoma

    Kampuni ya Japan ya Association of African Economic Development (AFRECO) imeonesha nia ya kujenga chuo cha uhandisi wa tiba (School of Medical Engineering) kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ili kupunguza tatizo la wataalamu wa tiba na vifaatiba nchini. Rais wa kampuni hiyo, Bwn...
  14. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Wachina watumia mvua ya Lowassa kupambana na Ukame

    Wataalamu wa kichina kwenye jimbo la Hubei huko China wakirusha Roketi yenye Kemikali zenye uwezo wa kusababisha mawingu ya Mvua kwa lengo la kuchochea unyeshaji wa mvua kutokana na ukame unaoyakabili maeneo mengi ya nchi hiyo. Tukio hilo limefanywa tarehe 16/08/2022. Mwaka 2007 Lowassa...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Wachina wafurahia kufanya mazoezi

    Tarehe 8 Agosti ni Siku ya Kufanya Mazoezi nchini China. Siku hiyo, rafiki yangu kutoka Afrika Duncan Likok alisema, “Sasa najua kwa nini China inaweza kupata mafanikio makubwa, kwani ina serikali yenye uwezo mkubwa, na imefanya vizuri kazi kubwa nyingi ikiwemo kutokomeza umaskini pamoja na...
  16. M

    JamiiForums Tanzania RC Kafulila awanyoosha wachina wa CHICCO, ni wale waliotaka kutupiga TZS 15BL kwenye ujenzi wa barabara ya Mwigumbi-Maswa kilometa 57 kwa TZS 75BL

    Kampuni ya kichina ya CHICCO yatekeleza agizo la RC Kafulila, tayari imekamilisha marudio ya barabara yenye urefu wa kilometa 10 zenye thamani ya tzs15bl. == Kampuni ya Kichina ya CHICCO inayotekeleza ujenzi wa Barabara ya Mwigumbi - Maswa yenye urefu wa kilomita57, ilianza ujenzi tangu mwaka...
  17. goroko77

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TRA fanyeni kazi zenu ipasavyo, Wahindi na Wachina wanalichezea taifa hili

    Habari za muda, Nimeenda Kariakoo kuchukua spare fln ya gari nikafika pale mitaa ya fire nikauliza Bei akasema Bei ya spare hyo Ni 230000 lkn bila risti ataniuzia kwa 180000 mbya Zaid naona wanaongea billa kupepeza macho Wal kuongea kwa chini chini alisema kwa lafudhi ya kihindi " hey rfk hyo...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Wachina watembelea makumbusho ya visukuku ya Chengjiang na kujionea muujiza na mvuto wa viumbe wa kale

    Tarehe 28 Juni huko Yuxi mkoani Yunnan China watu waliingia katika Jumba la Makumbusho la Urithi wa Asili wa Visukuku la Chengjiang ili kuchunguza asili ya maisha na kujionea mwujiza na mvuto wa viumbe wa kale. Jumba la Makumbusho la Urithi wa Asili wa Visukuku la Chengjiang linahifadhi zaidi...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Ruto asema atawafukuza Wachina akishinda Urais wa Kenya

    Mgombea wa Urais Nchini Kenya, William Ruto ameahidi kuwafukuza Wachina wote wanaofanya kazi zinazoweza kufanywa na wazawa, iwapo atashinda uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Agosti 9, 2022. Amesema kuna Wachina wanaouza mahindi ya kuchoma na simu mtaani nchini humo. "Kuna wachina wanauza...
  20. I

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje? Kujengewa Chuo na Wachina wafundishe Ukommunist kwa Vyama Tawala - China’s political party school in Africa

    Nimeona hiki kichwa cha habari kidogo kikanistua, yaani Nchi ya China ijenge Chuo kwa vyama tawala kufundisha siasa ya uongozi wa kikommunist? Sasa hapa upinzani upo wapi? Democracy si ndiyo inakufa? Ukoloni wa pili? Hivi position ya Afrika kujitawala yenyewe bado ipo? China’s political party...
Back
Top Bottom