wachina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Serikali iwaache wachina wafanye biashara Kariakoo: watanzania wameibiwa na kudhulumiwa sana na wale wafanyabiashara wanaojiita wazawa

    Baba wa Taifa alituaambia kaburu siyo rangi, hata km we ni mweusi km tabia zako ni za kikaburu za kibaguzi we ni kaburu tu! Wafanyabiashara wale ni wezi, ni waongo, bei wanazouzia bidhaa ni za dhuluma, kwanini bei yao itofautiane sana na ya wachina. Wachina wale zile bidhaa kule kwao hawapewi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mnapowalaumu wachina kufanya biashara Tanzania, msisahau kujilaumu na nyie kwa kuzubaa katika dunia iliyochangamka!

    Watanzania wengi wamezubaa sana,ni waoga hata wa kujaribu,wamejaa roho ya chuki,na ubaguzi,kazi kuwalaumu tu wanaojiongeza! Hivi mnajua watanzania wanaoenda ulaya, Marekani na Asia kila siku wanaenda kufanya kazi gani? Vipi mnaolalamika,mmewahi kusikia watu wa huko wakilalamika kuwa watanzania...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara mnaolipa media kuwachafua wachina mnapoteza muda, Wateja tunawataka wachina

    Mnavyoona wateja wamewakimbia wanaenda kwa wachina wala hakuna ndumba bali ni bei zao zinavutia, Ili mpambane na wachina punguzeni tamaa ya ganji (faida) kubwa. Kila leo wachina wanazungumziwa kwenye vyombo vya habari, TUMESHAWASTUKIA !! acheni kuwalipa watangazaji kuwasagia kunguni wachina...
  4. hsnaturalfertility

    JamiiForums Tanzania Tujuzane machimbo ya wachina Dar, furniture na vifaa vya ujenzi

    Mimi naomba kujua chimbo la furniture za kichina. Kuanzia makabati ya jikoni, sofa, vitanda NK, pia vifaa vyote vya ujenzi. Kama una number za simu please share . NB, ni ktk kutafuta unafuu wa bei, sio kuua biashara za wazawa 😜 Asante
  5. Mr Pixel3a

    JamiiForums Tanzania Ivi wachina wanatumia mawinga kama Wabongo kariakoo

    Maana imezoeleka ukienda kununua bidhaa unatajiwa Bei ya juu tofauti na bei halisi na hao wanajiita mawinga na hii inaumiza watanzania wengi Kila siku. Je Kwa Hawa wachina Hali ikoje,?
  6. Kinkunti El Perdedo

    JamiiForums Tanzania Madai ya Wafanyabiashara wa Kariakoo dhidi Ya Wachina ni ya kweli ?

    Muda huu nasikia kipindi cha Good Morning,kinacho rushwa na WSF na Kuna shutuma zinatolewa kwa Wachina kwamba wamekuwa chanzo Cha matatizo kadhaa hapa nchini. Wachina wanashutumiwa kusababisha uhaba wa dola,hawatoi risiti,hawana vibali vya Kazi,wanafanyakazi za wazawa nk Binafsi naomba kuuliza...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Chimbo la wachina wauza Mabalo ya Mtumba

    Habari zenu ndigu.zangu Kuna yoyote anaefahamu iwapo kuna chimbo la hawa wachina ambao wanauza mabalo ya mitumba kwa jumla ukiachana na wamatumbi wenzetu ilala?
  8. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan Je, umeruhusu Wachina waje Tanzania kutuuzia Yeboyebo na Masufuria mitaani?

    Habari za hapo mjengoni Mheshimiwa, mimi nashukuru Mungu kwa kunipatia afya njema. Mheshimiwa hawa wachina waliozagaa mjini ni wewe ndiye uliye ruhusu waje kutuuzia yeboyebo, kutembeza matunda na kutuuzia vyombo vya jikoni? Mheshimiwa Rais inamaana hakuna raia wako wanaomudu hizi kazi mpaka...
  9. Mindyou

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Video: Ni kama masihara hivi lakini polepole Mikocheni na Masaki zinaenda kutawaliwa na Wachina

    Wakuu, Kama umepita mitaa ya Mikocheni hivi karibuni utagundua kuna wachina wengi sana. Pale Ursino Street, wana hospitali kabisa ya wachina, supermarket na restaurant kubwa sana special kwa ajili yao. Kuna hoteli moja pale Mikocheni ilikuwa inaitwa Regency Park wameichukua wameifanya kuwa...
  10. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Uzi Mahsusi kwa Wadau wa Siasa (Chadema/CCM): Malezi na Madaraka, Kwa Nini Familia Yako Inaweza Kutabiri Mwelekeo wa Taifa

    Je, umewahi kujiuliza kwa nini baadhi ya mataifa yanafuata demokrasia, mengine yanapendelea udikteta, na mengine yana mfumo wa kijamaa? Kwa mtazamo wa haraka, tunaweza kudhani kuwa sababu kuu ni historia, uchumi, au hata ukoloni. Lakini, tafiti zinaonesha kuwa mizizi ya mifumo ya kisiasa...
  11. Mudawote

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Kazi Ridhiwani Kikwete - Ajira kwa Vijana Watanzania na Ukiritimba wa Wachina

    Mheshimiwa Waziri wa Kazi, Mh. Ridhiwani Kikwete, Najiuliza, je, tunafahamu hali halisi ya ajira kwa vijana wa Kitanzania, hasa wanapokuwa wanatumikishwa na wawekezaji kutoka nchi za nje, kama vile wachina? Hali hii imefikia hatua ya kutisha ambapo vijana wa Kitanzania wananyanyaswa na kuzidi...
  12. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini Congo haiwapigii kelele Waarabu na Wachina waache kununua madini kutoka Rwanda?

    Wateja wakubwa wa bidhaa zote za Rwanda kuanzia madini, kahawa hadi chai kwa nje ya Waafrika ni Waarabu wa UAE na China. Katika kelele zote za Congo kutaka watu wasitishe kununua bidhaa za Rwanda wanazipigia nchi za Ulaya na Marekani! Huu mbona kama ni mkanganyiko! Kwa nini Congo isiwabane UAE...
  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wachina wengi wanaamini nchi yao ni ya kidemokrasia, Wamarekani wengi zaidi wanaamini nchi yao(US) sio demokrasia!

  14. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Hawa wachina wa Home City walifanya nimkumbuke Kaburu wa Game Sup. Mark

    Sikumbuki ile siku ilikuwa siku gani kati ya Jumamosi na Jumapili. Nipo na family mwaka jana mwishoni. Tumeenda fanya shopping vitu vya siku kuu. Tukiwa ndani ukafika muda wa kufunga duka kama sikosei ilikuwa saa 12 jioni. Wahudumu walianza ku harass wateja kuwa either wafanye haraka kununua...
  15. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Pato la China ni dogo sana ndio maana Wachina wanakuja Tanzania kufanya biashara ndogondogo

    Pato la China la mtu mmoja mmoja ni USD 12,614 kwa mwaka. Hiyo ni sawa na Tsh 32,333,075 kwa mwaka. Pato la mchina kwa mwezi ni Tsh 2,694,422. Tunaweza kusema pato la asilimia kubwa la wachina kwa mtu mmoja mmoja ni Millioni 2.69 ambapo kila siku pato lake ni Tsh 89,814. Ukipiga hesabu za...
  16. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Nilikua namsapoti Trump na Elon lakini kwa wachina naona bado hajapata funzo kwa walichofanya Huawei kipindi kile

    Trump kuna sehemu anakosea. Unajua Trump Marekani ameingia kwa nguvu ya watu, na sio wale 'King makers' na hio inafanya asipate ushauri wa watu ambao wanajua miondoko ya dunia humo USA miaka nenda na narudi. Hio inafanya jamaa afanye makosa mengi sana na kuscore 'own goals' nyingi 1)Issue ya...
  17. President of China

    JamiiForums Tanzania China vs USA: Infrastructure, Technology and Development

    Hakuna marefu yasiyo na ncha. Huu ni msemo wetu waswahili ukiwa na maana ya kwamba hakuna kitu kikubwa kisichokuwa na mwisho wake. Dunia yetu hii imekuwa na wababe wengi sana, waliweza kuleta mabadiliko makubwa sana hapa duniani. Walikuwepo akina Gilgamesh watawala ambao waliweza kujiita kuwa...
  18. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wachina wanafanya nini kwenye Uchaguzi wa CHADEMA?

    Wakuu, Hivi wawakilishi wa mabalozi wa kichina wanafanya nini kwenye mkutano wa mkuu wa CHADEMA? Tunaweza kuelewa kwanini kuna mabalozi wa Marekani, Uingereza na Sweden kwenye Uchaguzi wa CHADEMA kwa sababu nchi hizo zimekuwa ni supporters wakubwa wa upinzani nchini. Lakini Wachina ambao ni...
  19. mirindimo

    JamiiForums Tanzania DOKEZO DAR: Wachina wanakiuka Sheria ya Matangazo ya Biashara (Mass and Mid Media Banners) na hakuna anayewachukulia hatua?

    Hatuwazuii kuwa na biashara hapa Tanzania ila lugha kwenye mabango yao kwa nini wanaweka kichina wakati lugha za taifa ambazo zinaruhusiwa kwenye mass media, mid media na banners ni mbili tu. Sheria ipo ila inakanyagwa na hakuna anayesema kitu.
  20. Dialogist

    JamiiForums Tanzania Wakuu nimepata Tashtwiti kuwauliza jambo hili kuhusu hawa Wachina. I smell something fishy in the future

    Wakuu Salaam, Leo asubuhi nikiwa jijini Dar es Salaam nimepanda gari (daladala) za kutoka Mbagala Charambe kwenda Mbezi Magufuli Bus Stand, ili nichukue Nyehunge ya Kurudi kwangu Nyamisati, na ndipo nikaona kitu cha kunishangaza kidogo, sio sana. Nilijikuta ndani ya daladala tuliyopanda kwa...
Back
Top Bottom