wachina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ujio wa wachina laki 3 Tanganyika uwe na tija kwa Taifa na si kwa ajili ya watu wachache na jamaa zao

    Ni ugeni mkubwa mwaka huu.. Maandalizi ni mengi na ni makubwa lakini yanayofanywa kwa siri kubwa sana hasa na wachina wenyewe. Madalali wa kichina tayari wako nchini wakizisaka fursa na kuzishikilia, mashushushu wa kichina pia ni wengi mno Mahoteli yananunuliwa kwa kasi ya ajabu. Migodi...
  2. Evans Richard Arsenal

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata connection ya wauzaji wa PIKIPIKI kwa bei ya kiwandani kwa wachina wenyewe kwa pikipiki za SINORAY, FEKON, KINGLION etc

    Husika na kichwa hapo juu, naomba kufahamu wapi nitapata connection kutoka kwa wachina viwandani au kuagizia china nipate kununua pikipiki kwao moja kwa moja bila kwenda madukani kwa bei ya rejareja au kwemda kwa mawakala wa mikoani au wilayani. Nataka kufungua duka kwa ajili ya kuuza pikipiki...
  3. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Wachina 17 Washutumiwa Kuendesha Mgodi Haramu wa Dhahabu Congo

    Wanaume 17, raia wa China wamekamatwa kwa tuhuma za kuendesha mgodi haramu wa dhahabu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, mamlaka ilisema hapo Ijumaa, wakati serikali ikiendelea na msako mkali wa uchimbaji wa madini yake bila leseni. Wanaume hao waliletwa katika mkutano na waandishi wa...
  4. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Tesla Cybertruck imeonekana katika kiwanda cha magari cha BYD China. Wachina wanataka kufanya reverse engineering nini?

    Kuna maneno mengi yanasemwa kwamba Cybertruck kutoka Tesla imefeli sokoni, lakini wote tunaona ndio best selling EV truck hadi sasa. Na pia hii EV haiuzwi officially China, lakini week iliopita imeonekekana kiwanda cha Magari cha BYD. Ilianza kwa kupark nje ya parking ya kiwanda na kua...
  5. milele amina

    JamiiForums Tanzania Wachina wasio na vibali vya kufanya kazi nchini,wazidi wilaya ya Chunya, Mkoa wa Mbeya.

    Uhamiaji na Changamoto za Kijamii Wilaya ya Chunya Katika kipindi hiki, tumeweza kushuhudia mabadiliko makubwa katika hali ya uhamiaji nchini Tanzania, hasa katika maeneo ya vijijini kama Kijiji cha Itumbi, Kata ya Matundasi, Wilaya ya Chunya, Mkoa wa Mbeya. Katika muktadha huu, ni muhimu...
  6. L

    JamiiForums Tanzania China yachochoea utalii wa Afrika kwa kutoa jukwaa la kutangaza biashara, kutafuta uwekezaji na kuvutia Wachina kutalii Afrika

    Maonesho ya biashara ya Utalii (COTTM) yamemalizika hivi karibuni mjini Beijing, China. Maonesho haya yaliyofunguliwa tarehe 16 na kuendelea hadi tarehe 18 mwezi wa 10, yalitoa jukwaa muhimu la kufanya biashara ya utalii nje ya China kwa kutoa fursa za uwezekezaji na soko la watalii wa China...
  7. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Wachina na wahindi wamefanikiwa sana katika kuanzisha viwanda vidogo vidogo hata sisi naamini tunaweza

    Kwa dunia ya sasa haina haja ya kusubiri aje mwekezaji mkubwa kutoka nje ya nchi aje atuletee maendeleo tutabaki kuwa watumwa katika nchi yetu kila muwekezaji anakuja kwa lengo la kuchuma nazani Mimi kwa mtazamo wangu naona wakutukomboa ni sisi wenyewe tunapaswa tuongeze jitihada mahali flani...
  8. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Wachina wanataka chao ili waendelee na ujenzi wa barabara Mbeya

    Huku Serikali ikijinasibu kwa mbwembwe na mapambio kwamba haupo mradi uliosisima huko Mbeya Wachina wanaojenga barabara ya njia nne kuanzia Uyole hadi Ifisi huko Mbeya wamegoma kuendelea na ujenzi wakidai malimbikizo ya mamilioni wanayoidai Serikali. Ujenzi umesimama miezi miwili sasa.
  9. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Nio Onvo L60 ni clone ya Tesla Model Y: Wachina wazee wa kucopy na kupaste tu!

    Hawa jamaa hadi wana kera! Ona hii hapa Tesla Model Y vs Nio Onvo L60. Hapo kwa mbele, ukitoa logo unaweza usijue ipi Tesla ipi Nio. Hadi kaa nyuma, wametembea na beat. Hadi ndani aisee .. Tusiende kwenye technical specifications, ila Nio iko more efficient kuliko Tesla, ngumu kusema...
  10. kavulata

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Afrika wanaenda China kujifunza lakini hawaji kufanya kama Wachina

    Wachina wanaofanyakazi, wanakusanya Kodi na kulinda Kodi kwa nguvu zao zote. Mhujumu ananyongwa. Je, Africa watu wao wanafanyakazi, kukusanya kodi na kulinda Kodi ya wananchi wao?
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mhe. Innocent Bashungwa irekebisge barabara ta Tabga -Pangani iwe kama ilivyokuwa zamani kulko uharibifu uliofanywa na wachina

    Kipanda cha Tanga Kibaoni, hakipitiki. Ni tope tupu na barabara ya pembeni hiyo ndiyo kadhia kubwa hasa. Irudishe kama ilivyokuwa zamani iweze kupitika ! achana na lami maana mmeshindwa!
  12. kambagasa

    JamiiForums Tanzania Mliofika China hivi bado mnawaamini hawa wanasiasa walioko madarakani kwamba kuna siku watafikia maendeleo ya Wachina hata kwa asilimia 3%?

    Naamini kuna Watanzania wengi mliofika China inasemakana kipindi cha miaka ya 1960 tulikuwa sawa kimaendeleo. Hatua waliyofikia hawa watu hususani katika nyaja ya miundo mbinu, viwanda na usalama katika nchi yao hivi kuna Mtanzania yoyote anaota kuna siku tutawafikia hata asilimia 3 tu hawa...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Msikilizeni Chalamila akikiri kuwaogopa Wachina na Wamachinga waliozagaa kila mahali.

    ..serikali kupitia kwa RC Chalamila inakiri kuwaogopa Wachina na Wamachinga. ..lakini wengine wote wanatishiwa kuitiwa Jeshi la Wananchi. ..sina kumbukumbu ya Jeshi la Wananchi kutumiwa kupambana na wananchi hapa Dar Es Salaam. https://www.youtube.com/watch?v=Ctx2VkzICVQ
  14. Tanzanite klm

    JamiiForums Tanzania WACHINA NA UGALI?

    Habari. hivi mmewahi jiuliza kwanini wachina, wazungu, waarabu kwanini hawali ugali? Marekani inalima mahind sana ila hawali ugali ni chakula cha ngombe. Kuna uhusiano wa chakula alacho mtu na IQ? pia tupitie nakala ya kitabu changu https://selar.co/15z49j
  15. L

    JamiiForums Tanzania Tazama katika picha Wachina Wakimsikiliza Kwa Umakini Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi Katibu Mkuu wa CCM

    Ndugu zangu Watanzania, CCM ni chama kiongozi, ni chama kilichobeba Matumaini ya watanzania, ni chama kilichobeba hatima ya Taifa letu, ni bima ya watanzania na chama kilicho na heshima na kuheshimika ndani ya bara la Afrika na Duniani Kwote. Embu angalia katika picha hii chini hapa yenye...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Wachina walalamika waafrika kuwaigiza kwenye mitandao ya jamii wakati wenyewe wakiigiza wanaitwa wabaguzi.

    Ebana wanajamvi inakuwaje? Wachina kwenye mitandao yao ya kijamii wechat na weibo. Wamelalamika, kukasirika na kuja juu kuhusu wimbi kubwa la waafrika kuwaigiza lugha yao kwa vichekesho kwenye mitandao ya kijamii Tiktok, Instagram, Facebook na YouTube. Wamedai wao wachina wakiwaigiza...
  17. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Serikali inavyowawezesha Wachina, halafu inalia machozi ya mamba!

    Serikali yetu tukufu imejaa wanafiki wa kupindukia. Inalia machozi ya mamba na watanzania huku nyuma wakila kwa urefu wa kamba zao na wachina. Nimefuma hiyo hapo juu mahali fulani ili wabunge wetu, wananchi na hasa viongozi wajue wanavyoliangamiza Taifa badala ya kuwaendeleza Watanzania. Just...
  18. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Wachina bwana: Wameiiga Tesla Model X kwa robo bei

    Juzi kati kulikua na Malaysia Auto Show, kuanzia tarehe 22 May hadi tarehe 26 May. Kuna baadhi ya chuma zimezinduliwa ila hii ilinivutia. Aion sub brand ya CAG wamezindua Aion Hyper HT SUV EV gari linalofanana na Tesla Model X kwa $54,000 tu, performance model. Mfanano hauishii umbo la nje...
  19. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Kwanini bango la sabasaba halijawekwa picha ya mtu mweusi?

    Kama lilivyo bango la kutangaza maonyesho ya biashara ya kimataifa/ Dar es Salaam International Trade Fair (DITF) almaarufu SABASABA. Nimejiuliza ni kwamba waaandaji walikosa kabisa picha ya mtu mweusi wa kumuweka kwenye hilo bango? au ndo tunaandaliwa kisaikolojia kwa mchina kukabidhiwa...
  20. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Zijue asili za Waafrika, Wachina, Wazungu na Waarabu

    HAPA ndipo chimbuko la wazungu na baadhi ya waarabu, nchi ya Georgia, panaitwa CAUCASIA , milima Yao Inaitwa Caucasus mountains. Bahari Yao Inaitwa Black Sea, haisapoti hata samaki... Ina kemikali zisizoruhusu uwepo wa wayama. Tofauti na sisi great lakes zetu za chimbuko la mababu zetu zote...
Back
Top Bottom