wachina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Nyerere na Wachina waliwezaje kujenga reli ya TAZARA kwa miaka minne tu KM zaidi ya 2000?

    Je, kuna hujuma za muda wa kukamilika mradi unaofanywa na makandarasi? Reli ya TAZARA ilipitia njia ngumu Sana yenye milima na mabonde mengi. Lakini mradi ulichukua muda mchache Sana. Ilijengwa kwa miaka tokea '70 mpaka '75 tu. Yenye taaluma za zege Kama hii ya kisasa. Kilomita zaidi ya 1800...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Wachina wanasubiri Rais Magufuli aondoke kwenye bandari

    Mradi wa bandari ya bagamoyo ambao ulikuwa mbaya sana haujafutwa kwa ujumla wake. Kuna watu wengi serikalini wamekaa mkao wa kula wakisubiri Magufuli aondoke ili warudishe mradi kwa manufaa yao binafsi. Kuna watu wengi sana walikuwa wameshawekwa mfukoni. China watahakikisha wanatumia kila namna...
  3. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Utumwa katika picha: Hivi iliwezekana vipi? Mbona Waarabu, Wahindi, Wachina hawakufanywa slaves?

    Unajua for most of us utumwa ni kama hadithi za kufikirika tu, ni ngumu sana kuamini kwamba eti mwarabu mmoja mwenye bunduki ya kipuuzi anaweza akateka watu 100 wenye akili zao, akawafunga minyororo wote na kuwasafirisha for miles bila shida yoyote ile, iliwezekanaje? Watumwa ndani ya...
Back
Top Bottom