Mkamanga junior
Senior Member
- Jul 27, 2018
- 159
- 224
Mwaka 2015 wako baadhi ya wabunge wa CCM waliopoteza majimbo yao kutokana na mafuriko ya Lowassa, wabunge wengi wa Kaskazini hawakufanikiwa kurudi tena bungeni kutokana na mafuriko ya Lowassa. Na hii ilitokana na mgombea kutokea ukanda huo.wabunge kama Ole Sendeka, Anna Kilango, Steven Kebwe, Agrey Mwanry, na wengineo walisombwa na mafuriko hayo ya Lowasa
Mwaka huu wabunge wengi wa CCM toka mkoa wa singida hawatarudi. Watasombwa na kimbunga cha Lissu. Kaka yangu Mwigulu alivyobanwa mwaka huu ameacha hadi kufanya kampeni kutwa anashinda ofisi ya msimaizi kupanga ni namna gani atatangazwa mshindi , si kawaida yake Mwigulu .amebanwa sana mwaka huu. lakini wabunge wa ccm wa mkoa wa singida karibu wote wanapumulia mashine.
Na Lissu ameamua kuushambulia mkoa huo si kawaida na wananchi wanamwelewa. Hakika CCM wakishindwa kubanana na mawakala wa chadema na wakawaruhusu kuingia ndani ccm itakuwa imefutika rasmii kwa baadhi ya maeneo. Lakini ninacho kijua Mimi maeneo yote ambayo ccm haikubaliki kama dar,mbeya,arusha kwanza, mkoa wa manyara hawatakubali mawakala wa chadema