wabunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania CCM baada ya kufanya rafu zao walikula mpaka mbegu sasa wanalazimisha wabunge kwa nguvu

    Ukiangalia na ukimsikiliza spika ni kama vile mtu anaongea jambo kama mtu anaenda kuposa kwa mwanamke hasiye mjua, chama cha CHADEMA kina wanachama wake , viongozi wake, sera zake , miongozo yake , kanuni zake pamoja na katiba yake , hivyo jambo lolote linalofanyika kwa Chama linafuata hizo...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuapisha Wabunge waliochaguliwa au kuteuliwa baada ya Uchaguzi Mkuu

    Kwa mujibu Kanuni za Kudumu za Bunge Kifungu cha 30 (2) kinaeleza; Endapo Mbunge atachaguliwa au kuteuliwa baada ya Uchaguzi Mkuu Spika atamuapisha katika: b) Kikao chochote cha Bunge iwapo kuna Mkutano wa Bunge au; b) Eneo litakalopangwa na Spika iwapo hakuna Mkutano wa Bunge unaoendelea...
  3. JamiiForums Tanzania CHADEMA wajipange upya kama kweli wabunge wanawake 20 wenye nguvu ndani ya chama wamenunuliwa na CCM kwa mpigo

    CHADEMA BAWACHA ndio ilibaki nguzo pekee ya CHADEMA ya kuaminiwa. CHADEMA walilisifu sana BAWACHA kuwa eti wabunge na madiwani wote eti kwa kile kinachoitwa kununuliwa wabunge na madiwani walikuwa ni wanaume tu wanawake wa BAWACHA hawakukubali. Msimamo huo ulisababisha wabunge wanawake wawekwe...
  4. JamiiForums Tanzania Sasa Watanzania wanangojea kuona Wabunge wa kuteuliwa na Rais wakiapishwa haraka haraka na Ndugai kama akina Mdee

    Tukio la karne na kihistoria la Spika wa Bunge la Tanzania (Job Ndugai) kuwaapisha chap chap wakina Halima Mdee na wenzake 18 nje ya ukumbi wa Bunge bila kuwepo kwa Wabunge wengine, wala kikao rasmi cha Bunge au kusimikwa kwa Siwa kumezusha mjadala wa kisiasa na Kikatiba. Mtihani huo sasa...
  5. JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole: Natoa rai kwa vyama vya siasa kuheshimu nafasi wanazopewa Wanawake

  6. I

    JamiiForums Tanzania Je, Wabunge hutumia vipi vipato vyao? Inakuaje Mbunge baada ya miaka 10 bado njaa inamuendesha?

    Kufuatia sakata hili la 19 ambalo ni wazi inaonesha msukumo wake ni njaa ya mapesa na anasa za Ubunge, nachelea kuhoji sasa hawa Wabunge wetu wanapanga vipi bajeti zao kutokana na mapesa wanayolipwa? Fikiria mtu kama Halima, miaka 10 ya Ubunge lakini anakuja kuishia kujimaliza kisiasa kwa...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Pius Msekwa: Kwa mujibu wa Katiba, mpaka sasa Halima Mdee na wenzake hawana sifa za kuwa Wabunge

    Spika Mstaafu wa Bunge, Pius Msekwa, amesema kwa mujibu wa katiba mpaka sasa Halima Mdee na wenzake 18, hawana tena sifa za kuwa Wabunge kwa kuwa hawana chama kilichowapeleka Bungeni na hata wakihamia chama kingine hawawezi kupata nafasi hizo, labda mpaka uchaguzi ujao. Kauli hiyo ameitoa hii...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Viti Maalum feki waliotimuliwa uanachama CHADEMA wataendelea kuwa Wabunge wa Mahakama kimkakati kwa miaka mitano

    Waliokuwa wanachama wa Chadema, Halima mdee na wenzake waliofukuzwa chama na kamati kuu kwa usaliti! Wanaweza kujipanga upya kufungua kesi jumatatu kupinga kufukuzwa kwa sababu zifuatazo; Watadai kwamba taratibu za kumfukuza uanachama zilikiukwa kwa sababu hawakusikilizwa kutokana na dharula...
  9. JamiiForums Tanzania Katiba inatamka kuapa Bungeni. Haijasema wataapa mbele ya Wabunge au ukumbi wa Bunge

    Katiba inatamka kuapa Bungeni. Haijasema wataapa mbele ya wa Wabunge. Bungeni ni kwenye majengo ya Bunge waweza apishwa hata kwenye jiko la Bunge au bafu ya Bunge ili mradi ni Bungeni. Kwa sababu Katiba haijatamka kuwa wataapishwa ukumbi wa Bunge inasema tu Bungeni yaweza kuwa hata viwanja vya...
  10. JamiiForums Tanzania Kundi la Wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno. Wakizibwaga, CHADEMA inasambaratika

    Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga CHADEMA inasambaratika. Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi. Kamati Kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii...
  11. JamiiForums Tanzania Tuwaogope wabunge watakaofanya vituko ili wateuliwe kwenye uwaziri

    Tunapoenda kuunda Timu ya Serikali yenye muelekeo wa uhuru kamili na kujitegemea tunatakiwa kuwaogopa sana wabunge wasanii wenye mbinu za kujipitisha,kujionesha na kufanya vibweka ili waonekane. Wito ni kwa all government organs and machineries kuhakikisha anayepenya kwenye uwaziri au unaibu...
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 NEC: Tulifanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum baada ya orodha ya majina hayo kuwasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA 19 Novemba 2020

    NEC: Tulifanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum baada ya orodha ya majina hayo kuwasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA 19 Novemba 2020.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe ndiye kiongozi pekee wa upinzani ambaye wabunge wake zaidi ya 20% walihamia CCM

    Kwanini ni CHADEMA tu chini ya Mbowe ndio wabunge wake hutamani sana kuitumikia CCM. Hebu fikiria katika bunge la 11 zaidi ya 20% ya wabunge wa kuchaguliwa wa CHADEMA walikimbilia CCM, hili siyo jambo dogo kabisa. Hapo CHADEMA kuna biashara gani. Morrison funga hao Nigeria. Maendeleo hayana...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Mbona wanaoshangilia Viti Maalum vya CHADEMA ni CCM?

    Nimekua nikijiuliza, hivi kwanini CCM wanashangilia sana kuapa kwa wabunge wa Viti Maalum wa CHADEMA kuliko hata wanaCHADEMA wenyewe? Jibu lililowazi ni kuwa Uchaguzi wa October umefanya viongozi wateule kukosa uhalali wa uongozi ndani na nje ya nchi (haswa nchi za magharibi). Hili sio tatizo...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Nitawalinda wabunge wa Viti Maalumu CHADEMA kwa nguvu zote, Mnyika akajifunze kwa Dkt. Bashiru kazi za Katibu Mkuu

    Spika Ndugai amesema kanuni za bunge zinamtaka kuwalinda wabunge walio wachache na maslahi yao naye atafanya hivyo kwa nguvu zake zote. Ndugai amesema wabunge 19 wa CHADEMA wameteuliwa kihalali na kama CHADEMA wana matatizo nao walipaswa kuwaita kwa heshima na kuwasikiliza badala ya kuwahukumu...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Kwa haya yanayoendelea, Wafadhili hawatatoa fedha na huo ndio utakuwa mwanzo wa Wabunge wasio na ridhaa ya chama kugeukwa

    Ni imani yangu kuwa Wafadhili mpaka sasa wana taarifa zote za nini kinaendelea, taarifa zinazotuweka pabaya kama nchi katika swala zima la demokrasia kitu ambacho wenzetu wanakipa uzito na kukipigania. Kwahiyo, kutokana na haya yanayojiri, Wahisani wataona huu ni upuuzi wa kiwango cha SGR na...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu: Wabunge wa CHADEMA wa Viti Maalumu waliapishwa kwa mujibu wa Sheria na Katiba, CHADEMA isiwaguse

    Mwanasheria Mkuu wa Tanzania Profesa Adelardus Kilangi amewaonya CHADEMA kutowabugudhi wabunge wa chama hicho wa viti maalum kutoka chama hicho. Profesa Kilangi amesema, mchakato wa Wabunge wa viti Maalum kutoka CHADEMA umefuata Sheria na Katiba, hivyo hawapaswi kubugudhiwa. Awali Spika wa...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Ukistaajabu "magumashi" wabunge viti maalum CHADEMA utayaona ya wanafunzi waliofutiwa mitihani darasa la 7...

    Najaribu kujiuliza kwa uchungu mkubwa eti kuna watoto wamefutiwa matokeo ya darasa la saba(7) mwaka huu kwa makosa ya ulaghai yaliyofanywa na wamiliki wa shule zao bila kuwahusisha watoto kwa malengo ya kupata ufauru bora (wa ulaghai) huku upande mwingine wa siasa kuna sarakasi zinafanyika...
  19. JamiiForums Tanzania Ombi Maalum kwa wale ambao tunawacheka na kuwadhihaki hapa JamiiForums Wabunge Viti Maalum CHADEMA

    Naona Watu wengi (Members) hapa tunawasema, tunawacheka, tunawadhihaki hadi kuwatukana huku tukiwaambia sijui wamenunuliwa na wana Njaa sana. Sitaki Kuwakatalia au Kupinga haya Maneno yenu Kwao hawa Wabunge Viti Maalum CHADEMA kutokea BAWACHA, ila GENTAMYCINE nina Ombi moja Maalum tu Kwenu na...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe alimleta Lowassa, akamleta Dkt. Mashinji, akampa Bulaya "unadhimu" Bungeni na Kamati Kuu ikabariki baadaye, hata Wabunge watabarikiwa!

    Ndani ya CHADEMA, Mbowe wanamwita " MWAMBA" na ni mwamba kweli kweli kama Petro. Hakuna jambo lililetwa na Mbowe au liliamuliwa awali na Mbowe kamati kuu ya CHADEMA ikagoma kulibariki. Hata kesho tarehe 27/11/2020 siku ya Ijumaa saa 3.00 asubuhi Halima James Mdee akiithibitishia kamati kuu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…