wabunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    JamiiForums Tanzania Tetesi: TAKUKURU, TISS wadaiwa kuchunguza rushwa ya Wizara ya Nishati kwa Wabunge

    Taarifa kutoka ndani ya TAKUKURU zinadai kuwa taasisi hiyo imefungua jalada la uchunguzi wa tuhuma kuwa Waziri wa Nishati, January Makamba, alitoa rushwa kwa wabunge ili wapitishe bajeti ya wizara yake ya 2023/24 wiki iliyopita. Inadaiwa Makamba alitumia taasisi zilizo chini ya Wizara yake...
  2. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Nasubiri kuona Wabunge watakaopinga Muswada wa Sheria ya Fedha

    Rais huyo wa Kenya ametoa kauli hiyo na kueleza kuwa Kura ya Wazi itafanya awatambue Viongozi watakaopinga mpango huo kuwa maadui wa Maendeleo na hawana nia ya kuondoa tatizo la ajira kwa vijana wanaomaliza Vyuo bila kupata kazi. Kauli ya Ruto inakuja ikiwa ni masaa kadhaa yamepita tangu Naibu...
  3. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Wabunge na hadaa kwa Watanganyika kwa Cement na Bati huku wanapitisha kila kitu pale Dodoma

    Ni bahati mbaya sana Tanzania ujinga ni mkubwa sana, Wabunge hawapimwi kwa michango yao kwa Taifa bali kwa uwezo wa kununua Cement, Bati na Misumari na kwenda kugawa Jimboni siku za weekend. Pale Dodoma wanapitisha kila kitu kinacho jadiliwa pale na wengine hawaongei kabisa ila wanajua Jimboni...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Januari Makamba hajatoa rushwa kwa Spika wala Wabunge

    Kumekuwa na kelele nyingi wiki hii kwamba Januari Makamba ametoa sijui bilioni 3 kuwahonga Wabunge ili wapiteshe Bajeti yake na kutumia sijui milioni 700 kuhonga Vyombo vya Habari vyote ili visiripoti Michango ya Wabunge wanaokosoa Utendaji wa Wizara. Hizo tuhuma ni za uongo na hazina...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Eswatini: Wabunge waliopinga utawala wa Mfalme Mswati III kuhukumiwa

    Wabunge wawili Mduduzi Bacede Mabuza na Mthandeni Dube walioshiriki katika maandamano ya Mwaka 2021 wameshtakiwa kwa makosa ya mauaji na ugaidi na wanaweza kuhukumiwa kifungo cha hadi miaka 20 jela japokuwa wamekana mashtaka ya kuchochea machafuko. Waandamanaji walidai kukasirishwa na kuzorota...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini wabunge wengi wamesusia mjadala wa bajeti ya Wizara ya Nishati? Wengi hawapo

    Naangalia Bunge lipo tupu. Viti vingi havina watu. Hadi wabunge wameomba iangaliwe akidi kama imetimia. Spika kadai linafanyiwa kazi.
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wabunge Wataka Deni la TPDC Lilipwe

    WABUNGE WATAKA DENI LA TPDC LILIPWE Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini, Dunstan Kitandula akiwasilisha bungeni maoni ya kamati hiyo kuhusu makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Nishati kwa mwaka wa fedha 2023/2024, jijini Dodoma leo Jumatatu Mei 31, 2023. Wabunge wataka...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wabunge wataka deni la Tsh. Bilioni 720 la TPDC lilipwe

    Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini imeitaka Serikali kulipa deni la Sh720 bilioni mauzo ya gesi kutoka Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kwenda Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) ambalo linaendelea kukuwa. Hayo yamesemwa leo Mei 31, 2023 na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Wabunge kugawiwa mitungi ya Gesi linaleta ukakasi mkubwa. Je, haiwezi kuwa rushwa au waziri kutafuta kukubalika?

    Wadau hongereni kwa majukumu yenu ya kila siku ya kulijenga taifa letu. Kwanza niunge mkono juhudi za serikali na wadau mbalimbali wa mazingira ktk nishati safi ya kupikia Wakuu najiuliza majukumu ya wabunge ni yapi na je wamefanikiwa yote Hadi wapewe jukumu lingine la kugawa gesi kwa...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Wabunge wetu na mapambio kazi zilizofanyika na baadae kukimbizana na muda

    Nipo natazama wachangiaji wa bunge linaloendelea. Cha kushangaza wengi wa wabunge wanatumia muda wao mwingi wakitoa sifa nyingi kwa kazi zilizofanyika. Cha kushangaza zaidi baadae wanakimbizana na muda kutoa pointi za msingi na muda hauwatoshi. Niwambie wapiga kura watakupima kwa kile...
  11. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Wabunge wapatiwa semina kuhusu Hakimiliki

    Ofisi ya Hakimiliki nchini (COSOTA), imetoa Semina kwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusu majukumu na fursa zilizopo katika ofisi hiyo ikiwemo kulinda hakimiliki za Wabunifu. Semina hiyo imefanyika Mei 30, 2023 katika ukumbi wa Msekwa bungeni jijini Dodoma ambapo Waziri...
  12. S

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU chunguzeni haraka madai ya uwepo wa rushwa kwa wabunge kuhongwa na Waziri Makamba

    KUNA TAARIFA ZINASAMBAA KWA KASI SANA ZINAZOMHUSISHA WAZIRI WA NISHATI, JANUARY MAKAMBA KUWAPA RUSHWA WABUNGE YA SHILINGI MILIONI 10 PAMOJA NA RUSHWA NYINGINE YA MAJIKO 300 YA GESI KWA KILA MBUNGE ILI KUMPITISHIA BAJETI YAKE ITAKAYOSOMWA WIKI HII. MAWAZIRI WOTE WAMESOMA BAJETI ZAO HAWAJATOA...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Wabunge wapigwa darasa kuhusu nishati safi na salama ya kupikia. Kila mbunge kupewa mitungi 100 ya gesi

    Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo, tarehe 27 Mei, 2023 wamepata nafasi ya kujifunza kuhusu nishati safi ya kupikia pamoja na kupitishwa kwenye Rasimu ya Dira ya Taifa ya Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia pamoja na Mpango Mkakati wa Utekelezaji kupitia semina maalum...
  14. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania WanaChadema, kama maridhiano ni kuwa CCM watatupa wabunge ili wao waendelee kutawala, huu ni usaliti

    Yaaani kumbe tunawaza matumbo yetu tu? Tunawaza kuingia bungeni ili baada ya miaka mitano tuwe na mafao ya kumaliza ubunge na kusepa. Lakini sio kuwa na uchungu na taifa letu. Sio kuwa na uchungu na namna watanzania wanavyoonewa. Hata 2025 sidhani kama tutapata huo Ubunge.
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wabunge Waalikwa Kutembelea Mradi wa ECOP

    WABUNGE WAALIKWA KUTEMBELEA MRADI WA EACOP Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato amewaalika Wabunge katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutembelea Mradi wa Bomba la kusafirisha Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Hoima Uganda hadi Chongoleani Tanga ili kufahamu...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Mume wa Spika kuwa Bosi wa EWURA haiwazuii wabunge kuisimamia Wizara ya Nishati

    Kitendo cha MUME wa Spika wa Bunge, Dk. Tulia kuteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa EWURA haiwazuii wabunge kujadili matatizo yaliyoko kwenye Wizara ya Nishati hasa yatokanayo na mambo ya mafuta eti kwa sababu Spika anamgongano wa kimaslahi na Wizara ya Nishati. Wabunge mko bungeni kwa ajili ya...
  17. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tusichague wabunge kwa mazoea

    UTANGULIZI Kumekuwa na desturi ya kuchagua wabunge wetu kwa mazoea, yani hakuna upimaji wowote unao ainishwa kwamba mbunge kabla ya kugombea awe amefanya hiki na kile au baada ya miaka 5 awe amefanya na kukamilisha Jambo fulani na endapo akishindwa kukamilisha Jambo hilo iwekwe wazi kwamba hata...
  18. Dr am 4 real PhD

    JamiiForums Tanzania Diamond, Majizo,Melody uso Kwa uso Bungeni Leo, Wabunge walipuka Kwa shangwe

    https://www.google.com/search?q=diamond+majizo+uso+kwa+uso+bungeni+leo&oq=dia&aqs=chrome.1.69i57j69i59j46i67i433i650j0i67i650j0i273i650l2j0i67i650l2j46i67i433i650j0i433i512j46i340i512l3j0i512l2.1906j0j4&client=ms-android-transsion-infinix-rev1&sourceid=chrome-mobile&ie=UTF-8#
  19. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Wabunge washtuka Wahadhiri wa Vyuo Vikuu kufungua bar, saluni

    Wabunge wameibua hoja sita katika mjadala wa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa mwaka 2023/24. Hoja hizo ni miundombinu hatarishi shuleni na vyuoni, mwonekano mbaya wa vijana walioko vyuoni, kuongezeka kwa wanafunzi wanaoondolewa chuoni baada ya kufeli...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wabunge waanza mkakati wa kupiga kura kutokuwa na imani na Waziri Mkuu Majaliwa

    KUNA Tetesi zinaenea bungeni kuhusu wabunge kutaka kumwajibisha Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa baada ya kukithiri kwa vitendo viovu ndani ya Serikali na kama msimamizi mkuu wa SERIKALI hajachukua hatua zozote. Miongoni mwa wabunge wanadai suala la Mbarali lazima litang'oka na Waziri Mkuu...
Back
Top Bottom