Wabunge washtuka Wahadhiri wa Vyuo Vikuu kufungua bar, saluni

Cannabis

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
8,943
25,283
Wabunge wameibua hoja sita katika mjadala wa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa mwaka 2023/24. Hoja hizo ni miundombinu hatarishi shuleni na vyuoni, mwonekano mbaya wa vijana walioko vyuoni, kuongezeka kwa wanafunzi wanaoondolewa chuoni baada ya kufeli mitihani, maslahi duni ya wahadhiri wa vyuo ambapo baadhi yao wamelazimika kufungua saluni na baa, idadi ndogo ya walimu, na shule aliyosoma Rais kutokuwa na maktaba.

Mbunge wa Hai (CCM), Saashisha Mafuwe, aliitaka serikali kuboresha maslahi ya wahadhiri wa vyuo vikuu na kuongeza idadi yao, akionya kuwa wasipotazama eneo hilo na kuwapa heshima stahiki, hata mitaala wanayokwenda kuiandaa haitosaidia kwa sababu watekelezaji na wasimamizi ni hao.

"Unakuta mwalimu anayesimamia utafiti ana wanafunzi zaidi ya 20, hebu niambie tunakwenda kutengeneza watu wa PhD (Shahada ya Uzamivu) wa aina gani? Mimi ni mwanafunzi wa PhD UDOM, ninaona ugumu ulivyo, unamtafuta mwalimu wiki tatu.

“Na si kwa makusudi anafanya hivyo, ana wanafunzi wengi. Akitoka hapo unakuta anamiliki saluni Dodoma. Hata waliko kule SUA (Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo) ambao tungetegemea wamiliki mashamba, wamiliki mifugo, unakutana nao wanamiliki baa huko. Kwanini wanafanya hivyo? Stahiki zao hazitoshelezi.

Akizungumzia nidhamu za wanafunzi vyuo vikuu, mbunge huyo alisema endapo hawatolitazama, litaleta shida kwa kuwa wengi wanasoma shahada kwa lengo la kuandaliwa kuwa viongozi.

"Ukipita Dodoma unajifunza jambo gani au pale UDOM ukimwona kijana wa mwaka wa tatu? Je, anafanana kuandaliwa kuwa kiongozi na msimamizi wa taasisi za serikali? Wakati mwingine wahadhiri kule wanalalamika eti sisi wanasiasa wakiguswa kidogo sisi ndio tunawatetea, hawa ndio viongozi tunaowaandaa? Ukimwona leo mtoto wa shahada huwezi kumtofautisha aliyeko kidato cha pili na wa shahada.

“Utakutana na mtoto kavaa ndala, unakutana naye kwenye mitaa, mwonekano wa kuandaliwa kuwa kiongozi haupo. Wenzetu

SAUT (Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino) wamejitahidi, mambo ya nidhamu yanakwenda sambamba na utoaji wa taaluma," alisema.

Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara, alisema kuna upungufu mkubwa kwa mahitaji ya elimu kwa walimu wenyewe, akifafanua: “Kiingereza anafundisha anakijua? Kiswahili hicho anakijua? Kifaransa anakijua? Au ni walimu wanaofundisha KiswaKinge shuleni?"

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani, Hawa Chakoma alisema kama wanasema wadhibiti ubora ndio CAG (Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali) upande wa walimu, muda umefika wa kuanzisha Taasisi ya Udhibiti Ubora ili wasiishie katika kurugenzi au idara kwa sababu kazi wanayoifanya ndiyo ya kusaidia watoto.

Mbunge wa Manyoni, Dk. Pius Chaya alisema wizara inakwenda kuondoa mitihani ya darasa la saba na kuhoji watawapimaje walimu. Mbunge wa Geita Mjini, Constantine Kanyasu, alisema katika halmashauri yake, kuna upungufu wa walimu 500 na katika mpango wa ugawaji vishikwambi nao wamepata lakini havitawasaidia kama bajeti haina fungu kwa ajili ya bando.

Mbunge wa Viti Maalum, Taska Mbogo alisema kuna halmashauri zinajenga shule za mchepuo wa Kiingereza na kusema hatua hiyo itajenga matabaka kwa watoto wanaosoma shule za umma. Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Lindi, Maimuna Pathan, alisema mitaala mipya ya elimu inatakiwa kuwekeza kwa walimu. Kinyume chake ni kutwanga maji kwenye kinu, kauli iliyoungwa mkono na Mbunge wa Viti Maalum, Ester Matiko, aliyesisitiza kuboreshwa mazingira ya kufundishia.

Pia katika mjadala huo ulioanza juzi, Mbunge wa Vwawa, Japhet Hasunga (CCM), alisema kuwa bila maarifa na ujuzi, umaskini hauwezi kupungua na kuondokana na athari za kiuchumi.

Alisema mabadiliko ya mitaala yataacha alama ndani ya nchi kwa kuwa elimu inatakiwa kuendana na ajenda ya nchi. Hasunga aliongeza: "Tunataka kuona mageuzi ya ufundishaji uendane na mitaala tunayohitaji, lazima tuwe na vifaa vya kuwaandaa vijana."

Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Dk. Thea Ntara, alisema mikoa ya Mtwara na Ruvuma haina vyuo na hata vile

vya sekta binafsi vingi vimekufa na kuomba wasaidiwe.

“Hatuna miradi mikubwa. Wakati mnafikiria kujenga chuo cha IT Dodoma niliwaza sana. Kwanini hamkukipeleka Ruvuma? Dodoma ina UDOM (Chuo Kikuu cha Dodoma) na kimekuwa kikubwa na kina changamoto za kutosha.

“Kila siku mnaongea hapa kuwa UDOM ni kikubwa Afrika Mashariki. Mheshimiwa Naibu Spika, nenda pale utashangaa, yaani majengo yanaporomoka. Dari inaanza kudondoka, vigae chini vimepasuka, mabomba ya maji yamepasuka, halafu nimekwenda pale nikaingia katika choo, yaani mpaka unaona aibu.

"Kuna mlipuko utatokea. Maji yanapotea pale kwa sababu mabomba yote yamepasuka na wana upungufu wa maji karibu lita milioni 1.1. Serikali mpo, sitaki Mheshimiwa Waziri tuongozane, nenda ukaone UDOM. Hali ni mbaya,” alisema.

Pia alisema zipo shule kongwe ikiwamo aliyosoma Rais wa Awamu ya Tatu, Hayati Benjamin Mkapa, haina maktaba na ina kidato cha tano.

Kwa nini kila sehem duniani watu weusi ndio huwa maskini kuliko race zingine na huwa wanabaguliwa kuliko makundi mengine? Na sababu haswa ya hali hii ni nini?
 
Adui namba moja wa elimu ni siasa. Ikitenganishwa na siasa, maendeleo ya elimu yatakuwa bayana na dhahiri.
 
Kuna siku niliona picha moja hapa ya Dr./Prof. mmoja mstaafu mwenye jina la uhayani..hicho kiatu chake na suruali vinatia unyonge..tuwatazame vizuri hawa jamaa.
 
Hello, pub nyingi pale Survey, mlimani city ni za malekcha wa UDSM, pale Law school walimu wengi wana stationaries, maisha yao ni ya kubangaiza japo wanalipwa mishahara minono kulko sekta nyingi na pia wana mazingiza ya kugonga watoto wetu namna watakavyo.
 
Mada kama hizi huwezi ona wachangiaji.
utachangia nini tunajua kinachoendelea.hizo ngonjera ziko kila mwaka na kinachotakiwa ni kutekeleza.kuongea ni jambo moja na kutekeleza ni jambo jingine.kila mwaka hizo longolongo zipo tu lakini ni nani anaimplement?
 
CCM ni ile-ile
 
Wabunge wameibua hoja sita katika mjadala wa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa mwaka 2023/24. Hoja hizo ni miundombinu hatarishi shuleni na vyuoni, mwonekano mbaya wa vijana walioko vyuoni, kuongezeka kwa wanafunzi wanaoondolewa chuoni baada ya kufeli mitihani, maslahi duni ya wahadhiri wa vyuo ambapo baadhi yao wamelazimika kufungua saluni na baa, idadi ndogo ya walimu, na shule aliyosoma Rais kutokuwa na maktaba.

Mbunge wa Hai (CCM), Saashisha Mafuwe, aliitaka serikali kuboresha maslahi ya wahadhiri wa vyuo vikuu na kuongeza idadi yao, akionya kuwa wasipotazama eneo hilo na kuwapa heshima stahiki, hata mitaala wanayokwenda kuiandaa haitosaidia kwa sababu watekelezaji na wasimamizi ni hao.

"Unakuta mwalimu anayesimamia utafiti ana wanafunzi zaidi ya 20, hebu niambie tunakwenda kutengeneza watu wa PhD (Shahada ya Uzamivu) wa aina gani? Mimi ni mwanafunzi wa PhD UDOM, ninaona ugumu ulivyo, unamtafuta mwalimu wiki tatu.

“Na si kwa makusudi anafanya hivyo, ana wanafunzi wengi. Akitoka hapo unakuta anamiliki saluni Dodoma. Hata waliko kule SUA (Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo) ambao tungetegemea wamiliki mashamba, wamiliki mifugo, unakutana nao wanamiliki baa huko. Kwanini wanafanya hivyo? Stahiki zao hazitoshelezi.

Akizungumzia nidhamu za wanafunzi vyuo vikuu, mbunge huyo alisema endapo hawatolitazama, litaleta shida kwa kuwa wengi wanasoma shahada kwa lengo la kuandaliwa kuwa viongozi.

"Ukipita Dodoma unajifunza jambo gani au pale UDOM ukimwona kijana wa mwaka wa tatu? Je, anafanana kuandaliwa kuwa kiongozi na msimamizi wa taasisi za serikali? Wakati mwingine wahadhiri kule wanalalamika eti sisi wanasiasa wakiguswa kidogo sisi ndio tunawatetea, hawa ndio viongozi tunaowaandaa? Ukimwona leo mtoto wa shahada huwezi kumtofautisha aliyeko kidato cha pili na wa shahada.

“Utakutana na mtoto kavaa ndala, unakutana naye kwenye mitaa, mwonekano wa kuandaliwa kuwa kiongozi haupo. Wenzetu

SAUT (Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino) wamejitahidi, mambo ya nidhamu yanakwenda sambamba na utoaji wa taaluma," alisema.

Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara, alisema kuna upungufu mkubwa kwa mahitaji ya elimu kwa walimu wenyewe, akifafanua: “Kiingereza anafundisha anakijua? Kiswahili hicho anakijua? Kifaransa anakijua? Au ni walimu wanaofundisha KiswaKinge shuleni?"

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani, Hawa Chakoma alisema kama wanasema wadhibiti ubora ndio CAG (Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali) upande wa walimu, muda umefika wa kuanzisha Taasisi ya Udhibiti Ubora ili wasiishie katika kurugenzi au idara kwa sababu kazi wanayoifanya ndiyo ya kusaidia watoto.

Mbunge wa Manyoni, Dk. Pius Chaya alisema wizara inakwenda kuondoa mitihani ya darasa la saba na kuhoji watawapimaje walimu. Mbunge wa Geita Mjini, Constantine Kanyasu, alisema katika halmashauri yake, kuna upungufu wa walimu 500 na katika mpango wa ugawaji vishikwambi nao wamepata lakini havitawasaidia kama bajeti haina fungu kwa ajili ya bando.

Mbunge wa Viti Maalum, Taska Mbogo alisema kuna halmashauri zinajenga shule za mchepuo wa Kiingereza na kusema hatua hiyo itajenga matabaka kwa watoto wanaosoma shule za umma. Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Lindi, Maimuna Pathan, alisema mitaala mipya ya elimu inatakiwa kuwekeza kwa walimu. Kinyume chake ni kutwanga maji kwenye kinu, kauli iliyoungwa mkono na Mbunge wa Viti Maalum, Ester Matiko, aliyesisitiza kuboreshwa mazingira ya kufundishia.

Pia katika mjadala huo ulioanza juzi, Mbunge wa Vwawa, Japhet Hasunga (CCM), alisema kuwa bila maarifa na ujuzi, umaskini hauwezi kupungua na kuondokana na athari za kiuchumi.

Alisema mabadiliko ya mitaala yataacha alama ndani ya nchi kwa kuwa elimu inatakiwa kuendana na ajenda ya nchi. Hasunga aliongeza: "Tunataka kuona mageuzi ya ufundishaji uendane na mitaala tunayohitaji, lazima tuwe na vifaa vya kuwaandaa vijana."

Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Dk. Thea Ntara, alisema mikoa ya Mtwara na Ruvuma haina vyuo na hata vile

vya sekta binafsi vingi vimekufa na kuomba wasaidiwe.

“Hatuna miradi mikubwa. Wakati mnafikiria kujenga chuo cha IT Dodoma niliwaza sana. Kwanini hamkukipeleka Ruvuma? Dodoma ina UDOM (Chuo Kikuu cha Dodoma) na kimekuwa kikubwa na kina changamoto za kutosha.

“Kila siku mnaongea hapa kuwa UDOM ni kikubwa Afrika Mashariki. Mheshimiwa Naibu Spika, nenda pale utashangaa, yaani majengo yanaporomoka. Dari inaanza kudondoka, vigae chini vimepasuka, mabomba ya maji yamepasuka, halafu nimekwenda pale nikaingia katika choo, yaani mpaka unaona aibu.

"Kuna mlipuko utatokea. Maji yanapotea pale kwa sababu mabomba yote yamepasuka na wana upungufu wa maji karibu lita milioni 1.1. Serikali mpo, sitaki Mheshimiwa Waziri tuongozane, nenda ukaone UDOM. Hali ni mbaya,” alisema.

Pia alisema zipo shule kongwe ikiwamo aliyosoma Rais wa Awamu ya Tatu, Hayati Benjamin Mkapa, haina maktaba na ina kidato cha tano.

Kwa nini kila sehem duniani watu weusi ndio huwa maskini kuliko race zingine na huwa wanabaguliwa kuliko makundi mengine? Na sababu haswa ya hali hii ni nini?
Saashisha Mafuwe, ninaomba nikupe ushauri wa bure.

Fedha unazo Tuma kujiendeleza kusomea Phd UDOM, ungeanzisha mradi wa kufuga mbuzi huko kijijini kwenu ungepata faida na baada ya 2025 ungekuwa na mradi wa kufanya.

Kuhusu kurudi tena Dodoma ukiwa mbunge wa Jimbo la Hai ni ndoto brother.
 
Wabunge au wahadhiri? Manake tunaona wahadhiri nao wamejiongeza kwenye betting.
Sawa, Wahadhiri wamo pia.

Ila hao wabunge nao, wamezidi Unafiki.
Wahadhiri nao wangekuwa na sehemu yao kama ya Bunge wangesema maneno kama hayo tu.

Ni wazi wamejifunza sehemu kuwa na biashara kama hizo sehemu ya kazi na wanaelewa hakuna wa kuwabugudhi........well, mpaka sasa.
 
Wabunge au wahadhiri? Manake tunaona wahadhiri nao wamejiongeza kwenye betting.
Aisee, Mkuu sidhani kama wahadhiri wamefikia kwenye betting. Huku kwenye betting tupo sisi ambao hatuna ajira ya kudumu
 
Back
Top Bottom