wabunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. tpaul

    JamiiForums Tanzania Kwanini orodha ya wabunge mashoga inafichwa?

    Tangu suala la ushoga lianze kutikisa hapa nchini na kutua bungeni, umepita takribani mwezi mmoja sasa lakini cha ajabu bado hatujaletewa orodha ya wabunge wasenge waliobainika baada ya zoezi la upimaji. Mara zote wabunge wamekuwa mstari wa mbele kuficha mambo yanayowahusu moja kwa moja. Mfano...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Wanawake wa CHADEMA wanaandamana kudai katiba mpya na kutaka Wabunge 19 waondolewe Bungeni

    BAWACHA wakiwasili katika viwanja vya Posta ya zamani, Dar es Salaam tayari kuanza maandamano kuelekea ofisi ndogo za Bunge Dar es Salaam.
  3. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Wawe wanachaguliwa Wabunge wenye akili. Kuna Wabunge ukiwasikiliza unapata picha wananchi wao wakoje

    Tanzania huwa hawazingatii kigezo cha akili katika kuchagua viongozi. Sehemu nyingi hawachague wenye akili. Wanachaguana tu wenyewe kwa wenyewe. Matokeo yake unakuja yaona Bungeni. Unatizamaaaaaa.... Unasema hiii....
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge wanaoshauri vijana wajitolee ili wapewe kipaumbele kwenye ajira, onyesheni mfano wa ninyi kujitolea kwanza!

    Kuna wabunge wanatoa mawazo ya hila hadi wanakera!! Ni unafiki mkubwa sana!! Lengo lao ni kutaka kuwapitisha watu wao kwenye ajira ya utumishi wa umma kwa mlango wa nyuma wa "kujitolea". Hii itatesa sana wale watakaoingia kichwa kichwa kujitolea wakati wako nje ya kundi hili la wateule...
  5. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina, songa mbele, kichwa chako umekijaza maarifa na akili kubwa, elimu yako unaitendea haki. Wapuuze hao wabunge vilaza

    Niliwahi andika humu, kua Dunia nzima utazunguka lakini Tanzania pekee ndio Utakutana na Bunge lenye wabunge wajinga wajinga Kwa kiwango kikubwa. Wabunge wa Tanzania, Kwa ukilaza wao, Uwezo Mdogo wa akili, kushindwa kufatilia masuala nyeti, wamejikuta wanamshangaa tu Mpina. Mbunge hajui hata...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wabunge wanataka majimbo mengi zaidi?

    Binafsi sielewi kabisa sababu za Wabunge kupigania Majimbo yao yagawanywe ikiwa hatuna mfano bora wa maendeleo katika jimbo dogo. Kwanza, Vigezo vyote vilivyowekwa ndani ya Katika ya JMT havilingani kabisa na Uhalisia maana Zanzibar kuna majimbo hayakidhi vigezo hivyo na sidhani kama Katiba ya...
  7. IamBrianLeeSnr

    JamiiForums Tanzania Wabunge wampongeza Waziri Mkuu

    Viongozi mbalimbali wakimpongeza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa mara baada ya kuwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka wa Fedha 2023/24 kupitshwa na Bunge.
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Uingereza wagomea mwaliko wa Rais Mnagangwa kuhudhuria kusimikwa kwa 'King Charles III'

    Wabunge wa Uingereza wametoa tamko la kumshinikiza Waziri Mkuu, Rishi Sunak kufuta mwaliko wa Rais Emmerson Mnangagwa kushiriki sherehe hizo kwa maelezo kuwa uongozi wake umekuwa ukivunja Haki za Binadamu. Kama mwaliko huo hautafutwa, Mnangagwa atakuwa Rais wa kwanza kuingia jijini London baada...
  9. Liyan

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio wabunge ambao hawatarudi tena 2025, Waanze kubeba virago

    Wafuatao ni baadhi ya wabunge ambao hawatarudi 2025 na waandae kabisa makorokoro yao kabisaaa. Hii ni kutokana na KUTOKUKUBALIKA NA WANANCHI WA JIMBO HUSIKA, KUTOKUPELEKA MAENDELEO MAJIMBONI MWAO, na kadhalika Wengine wadau mtazijazia; 1. Mbunge wa UKONGA (Jerry Silaa) - Huyu ameshindwa...
  10. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Leo ikiwa ni Alhamisi hebu tuwakumbuke wabunge machachari enzi ya Bunge la Spika Marehemu Samwel Sitta!

    Leo ni alhamisi , huwa tunakumbuka mambo ya zamani kidogo. Mnalikumbuka Bunge la Spidi na Viwango chini ya uongozi wa Spika Marehemu Sitta? Hebu leo tuwakumbuke wabunge waliokuwa machachari kwenye kuibua hoja zenye maslahi mapana ya Taifa. Wabunge hao ni wale waliokuwepo katika uongozi wa...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kigwangalla: Sisi Wabunge tuliopita bila kupingwa tunatembea kifua mbele kwakuwa tupo Bungeni kihalali

    Mbunge wa Nzega na Waziri wa zamani, Hamis Kigwangalla amesema haoni tatizo kwa Wabunge kipita bila kupingwa kwa kuwa wapo Bungeni kihalali kabisa licha ya uamuzi wa Mahakama Kuu wa hivi karibuni kueleza kuwa utaratibu huo uko kinyume na sheria.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Wabunge wakemee kwa nguvu zote kigezo cha kujiunga na majeshi kwa sharti la kupitia JKT

    Kuna kitu hakiko sawa katika ajira za Tanzania hasa kwenye upande wa ajira za majeshi. Hivi walioweka kigezo cha mtu ili apate nafasi ya Uhamiaji, JWTZ, Police, Magereza, na Fire eti lazima awe amepitia JKT waliwaza nini na kwa manufaa ya nani? Kama tujuavyo siyo kila mtu au mhitimu yeyote...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa CCM badala ya kujadili kero za ugumu wa maisha, anashauri Mawaziri wajengewe sehemu za starehe. Hii ni aibu

    Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Janejelly James ameishauri Serikali kuandaa eneo maalumu la viongozi kupumzika baada ya kazi akidai kuwa hivi sasa hali imebadilika kwa kuwa viongozi wameondolewa raha ya faragha na kusababaisha waonekane hawana maadili.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wabunge kumpigia kura Spika wa Bunge kutokuwa na imani

    Kuna tetesi kuwa baadhi ya wabunge wamejipanga kuwasilisha hoja bungeni ya kutokuwa na imani na Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson baada ya kuonekana wazi kushindwa kuuongoza mhimili huo kwa manufaa ya watanzania. Hatua ya wabunge hao inakuja baada ya Spika kuzima ajenda za wananchi ambapo baadhi...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Heche ampinga Jerry Silaa hoja ya kuongeza bei ya mafuta

    hechejohn Hivi ccm huwa inatoa wapi wabunge wajinga wa kiwango hiki!!!!! Imagine huyu ni kijana, kwasababu ya mshahara mkubwa na Posho hajui jinsi maisha yalivyo magumu kwa watu.. Bado anataka kuongeza mzigo!!! Pesa zipo za kutosha lakini zinaibiwa kwasababu ya wajinga kama huyu Kushindwa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Mama Masaburi anapaswa kutoa ushahidi kwa kuwataja wabunge ambao ni mashoga

    Bunge linaloongozwa na Tulia Akson limekosa mvuto, limeshuka hadhi na limepoteza meno kabisa. Tangu Tulia akalie kiti cha uspika hatujaona mijadala yenye tija, maazimio yenye tija na maamuzi yenye tija. Bunge halina tofauti na kijiwe. Mbunge anatoa tuhuma za jumla jumla zinazochafua bunge na...
  17. Lugoda lwa chuma

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona wabunge washamba wa kamera kama awamu hii

    Nimeangalia matangazo ya bunge kwa siku tatu mfululizo waheshimiwa wengi ambao ni wageni mjengoni, wamekuwa na katabia kama ka mashabiki wa mpira wa bongo wakiwa uwanja wa taifa wanavyofanya pindi camera ikiwazoom kwenye tv la pale uwanjani nadhani mwafahamu wanavyo fanyaga. Kituko hiki...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tulia Ackson: Naagiza Serikali ifanye utafiti wa Mapungufu ya Sheria ya Ushoga na Usagaji ili iendane na uhalisia wa sasa

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 6 leo Aprili 13, 2023 jijini Dodoma. SERIKALI YAAGIZA NHIF ITOE KIBALI MATUMIZI YA CT SCAN HOSPITALI YA IRINGA Agizo hilo limetolewa baada Mbunge Jesca Msambatavangu kuhoji Bungeni sababu za wagonjwa wanaotumia Bima ya NHIF...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia: Ripoti ya CAG itajadiliwa kwenye Mkutano Novemba, 2023

    Spika Tulia amesema Ripoti ya CAG itajadiliwa kwenye Mkutano wa mwezi November 2023 Huyo ni baada ya Kamati za Bunge kuwa zimeshakamilisha wajibu wake wa kisheria. ========== Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson amesema ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka...
  20. HIMARS

    JamiiForums Tanzania Kuchagua viongozi wasio na elimu ndicho chanzo cha umasikini Tanzania

    Wabunge Madiwani Wenyeviti serikali za mitaa Hawa ndio watu ambao wanasababisha nchi yetu iende hovyo hovyo. Wabunge ambao hawajasoma hawana tija wala msaada kwa taifa na sababu ni kuwa hawaelewi miswada inayopelekwa bungeni, hivyo wao hukubaliana na kila kitu wanachoambiwa. Madiwani kwenye...
Back
Top Bottom