TAKUKURU chunguzeni haraka madai ya uwepo wa rushwa kwa wabunge kuhongwa na Waziri Makamba

Shakari

Senior Member
Jul 6, 2022
157
440
KUNA TAARIFA ZINASAMBAA KWA KASI SANA ZINAZOMHUSISHA WAZIRI WA NISHATI, JANUARY MAKAMBA KUWAPA RUSHWA WABUNGE YA SHILINGI MILIONI 10 PAMOJA NA RUSHWA NYINGINE YA MAJIKO 300 YA GESI KWA KILA MBUNGE ILI KUMPITISHIA BAJETI YAKE ITAKAYOSOMWA WIKI HII.

MAWAZIRI WOTE WAMESOMA BAJETI ZAO HAWAJATOA RUSHWA YA AINA YOYOTE KWA WABUNGE ILI WAPITISHE BAJETI ZAO, KAMA WANANCHI TUNAOMBA TAKUKURU MSIPUUZE MADAI HAYA KWANI FEDHA ZINAZOTUMIKA KUHONGA WABUNGE NA KUNUNULIA MAJIKO YA GESI KUWAHONGA WABUNGE NI FEDHA ZETU WATANZANIA TUNAZOKATWA KODI KILA SIKU.

TUNAOMBA TAKUKURU SUALA HILI MSILIFUMBIE MACHO LIKO WAZI NA KILA MTANZANIA ANALIFUATILIA KWA KARIBU SANA KWANI KWENYE NCHI YETU HAKUNA ALIYE JUU YA SHERIA.
 
Hakuna hongo yoyote, ni imetokea tuu as just a coincidence ya kucoincidencesika karibu na bajeti yake, kama zilivyo zile hesabu za yumkini ya kuyumkinika!.
P
 
Wewe utakuwa umetumwa!
Kwani wewe ndio Takukuru ndio useme hamna rushwa? Taarifa kuhusu tuhuma kama hizo zingepaswa zitolewa na chombo kinachohusika!
Unakumbuka kuna hoja aliibua Mbowe bungeni mbele ya waziri mkuu kuhusu rushwa, ila spika akakataa isijadiliwe?
Btw hawa Takukuru nao sidhani kama wapo huru sana, na hata kama ni kweli hatutegemei waseme kwamba ni kweli!
Takukuru nao wananuka rushwa tu!!!
 
Hakuna rushwa pale, na moja wa wageni waliokuwepo pale ni jamaa yangu ambae huzunguka dunia nzima kuelezea hiyo nishati mbadala na safi ambayo haiathiri chochote kwa afya ya binadamu
 
KUNA TAARIFA ZINASAMBAA KWA KASI SANA ZINAZOMHUSISHA WAZIRI WA NISHATI, JANUARY MAKAMBA KUWAPA RUSHWA WABUNGE YA SHILINGI MILIONI 10 PAMOJA NA RUSHWA NYINGINE YA MAJIKO 300 YA GESI KWA KILA MBUNGE ILI KUMPITISHIA BAJETI YAKE ITAKAYOSOMWA WIKI HII.

MAWAZIRI WOTE WAMESOMA BAJETI ZAO HAWAJATOA RUSHWA YA AINA YOYOTE KWA WABUNGE ILI WAPITISHE BAJETI ZAO, KAMA WANANCHI TUNAOMBA TAKUKURU MSIPUUZE MADAI HAYA KWANI FEDHA ZINAZOTUMIKA KUHONGA WABUNGE NA KUNUNULIA MAJIKO YA GESI KUWAHONGA WABUNGE NI FEDHA ZETU WATANZANIA TUNAZOKATWA KODI KILA SIKU.

TUNAOMBA TAKUKURU SUALA HILI MSILIFUMBIE MACHO LIKO WAZI NA KILA MTANZANIA ANALIFUATILIA KWA KARIBU SANA KWANI KWENYE NCHI YETU HAKUNA ALIYE JUU YA SHERIA.
Sioni ajabu kwani huyu mtu ana vimelea vya ulaji na utoaji rushwa. Ndio maana umma wa wananchi wanamfuatilia sana asije fanikiwa kwa ndoto yake ya kisiasa kuongoza taifa. Hatutasahau yeye na genge lake kumkejeri na kuonesha chuki kwa magufuli na kumuita mshamba kwa vile anadhibiti ulaji rushwa na uzembe.
 
Takukuru hawana lolote wataenda kuchunguza, sana sana na wao watataka wapate mgao. Hao Takukuru huwa wanakamata rushwa za laki 2 mbili.
 
Sioni ajabu kwani huyu mtu ana vimelea vya ulaji na utoaji rushwa. Ndio maana umma wa wananchi wanamfuatilia sana asije fanikiwa kwa ndoto yake ya kisiasa kuongoza taifa. Hatutasahau yeye na genge lake kumkejeri na kuonesha chuki kwa magufuli na kumuita mshamba kwa vile anadhibiti ulaji rushwa na uzembe.

Kwa taarifa yako anaweza kuwa rais, maana viongozi wa nchi hii kupitia CCM hawakai madarakani kwa kura za wananchi, bali kwa utashi wa genge liitwalo system.
 
Na wao walifika hapo watataka mgao wao hivyo hakuna chamaana, mkuu kunywa tu maji upoze koo, wala ni watoto wa Baba mmoja hawadhuliani.

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
KUNA TAARIFA ZINASAMBAA KWA KASI SANA ZINAZOMHUSISHA WAZIRI WA NISHATI, JANUARY MAKAMBA KUWAPA RUSHWA WABUNGE YA SHILINGI MILIONI 10 PAMOJA NA RUSHWA NYINGINE YA MAJIKO 300 YA GESI KWA KILA MBUNGE ILI KUMPITISHIA BAJETI YAKE ITAKAYOSOMWA WIKI HII.

MAWAZIRI WOTE WAMESOMA BAJETI ZAO HAWAJATOA RUSHWA YA AINA YOYOTE KWA WABUNGE ILI WAPITISHE BAJETI ZAO, KAMA WANANCHI TUNAOMBA TAKUKURU MSIPUUZE MADAI HAYA KWANI FEDHA ZINAZOTUMIKA KUHONGA WABUNGE NA KUNUNULIA MAJIKO YA GESI KUWAHONGA WABUNGE NI FEDHA ZETU WATANZANIA TUNAZOKATWA KODI KILA SIKU.

TUNAOMBA TAKUKURU SUALA HILI MSILIFUMBIE MACHO LIKO WAZI NA KILA MTANZANIA ANALIFUATILIA KWA KARIBU SANA KWANI KWENYE NCHI YETU HAKUNA ALIYE JUU YA SHERIA.
1685369156665.png

Nani achunguze nani?
 
Yaani kila mbunge kapewa majiko 300?

Ila hivi kwann Makamba anachukiwa Sana hivi? Sijui aliwafanyaga nini nyie watu huyu jamaa aisee.
 
Hakuna rushwa pale, na moja wa wageni waliokuwepo pale ni jamaa yangu ambae huzunguka dunia nzima kuelezea hiyo nishati mbadala na safi ambayo haiathiri chochote kwa afya ya binadamu

Eti jamaa yako!! Upumbavu na ulimbukeni mkubwa huu!
 
Back
Top Bottom