waafrika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia (WB) yapanga kuwapa chanjo 60% ya Waafrika mwaka 2022

    Benki ya Dunia(WB) inashirikiana na Umoja wa Afrika (AU) walikutana Juni 21 kujadiliana namna ya kupambana na wimbi la tatu la #COVID19 Mpango wa WB ni kusaidia Afrika kununua na kuzigawa dozi za Virusi vya Corona ambapo hadi sasa nchi 35 zimeshaanza mchakato, na wanatarajia kuzifikia nchi 50...
  2. hamis77

    JamiiForums Tanzania Corona: Maiti za Waafrika zitatapakaa mitaani – Melinda Gates

    MELINDA GATES, mke wa bilionea Bill Gates wa Marekani, ameonya kwamba iwapo dunia na hususani Afrika haitachukua hatua za haraka za kukabiliana na janga la virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa COVID-19, maiti za Waafrika zitatapakaa katika kila mitaa ya Afrika mijini na Vijijini. Bi...
  3. tzkwanza

    JamiiForums Tanzania Mateso wanayopata Waafrika Uarabuni hasa nchi za Saudi Arabia na Oman

    Serikali kupitia balozi za Oman na Saudi Arabia, muwe na vikao vya mara kwa mara na Watanzania waishio huko, wengi wanateswa na kuuawa pasipo msaada wowote kutoka Balozi zetu. Muwe mnafanya vikao angalau mara mbili kwa mwaka, ili mjue changamoto mbalimbali wanazopitia watu wenu. Nina uhakika...
  4. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Waafrika weusi ni 15% tu ya idadi ya watu duniani, ni ushenzi kusema tuna overpopulation!

    Juhudu kubwa zimekuwa zikifanywa na mataifa ya magharibi kuhakikisha idadi ya waAfrika weusi inabaki kuwa minority na hivyo oppressed zaidi duniani. Hili limefanyika kwa kusambaza magonjwa ya kuua watu wengi kwa mpigo kama 'Ebola', 'ARV na Ukimwi', Tuskegee syphilis experiment - Wikipedia...
Back
Top Bottom